Kwa hiyo mjue mpenzi wako,na kuwa na boundaries..wengi hawajui wanataka nini,mimi kwa upande wangu ni kwamba nikiwa kwenye majukumu yangu simu haina nafasi unless ni ya mambo ya kazi,tuma smms nitajibu ile yenye logic the rest naziacha na simu huwa sipokei.nje ya majukumu ndio narejea huko,Bond ni desire na understandability kati ya mtu na mtu ukielewa mtu ni wa aina gani,anamisingi gani,hulka gani kamwe huwezi kuwa na wasiwasi ila ukiwa kichwa maji kumuelewa mtu ndio taabu,kabla hujakubali kudate na mtu msome kwanza anapenda nini,hapendi nini,ana misimamo gani na hulka gani kisha jiulize utaendana nazo?
Ili aseme umemuona chizi 😂😂Sasa si mnaambiwa kila siku muwe mnapima afya wapenzi zenu wapya,sio HIV tu na afya ya akili🤣😁😁😁
🤣🤣🤣🤣Si vipimo vinaonyesha akiwa na uchizi piga chini.Ili aseme umemuona chizi 😂😂
Na ukimpima baada ya hiyo mienendo lazima umkute na changamoto ya afya ya akili
Nipige chini kivipi 😅🤣🤣🤣🤣Si vipimo vinaonyesha akiwa na uchizi piga chini.
Aaaagghr🤣🤣🤣Nipige chini kivipi 😅
Maana kuna kupiga chini mara mbili
Nipige chini au nipige pale chini 😅😂Aaaagghr🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa alipigia usiku video call Manzil yake akaona kuna kivuli chenye kitambi kinavaa kondomu alilia sana jamaa
Sio kila mtu wa ku date nae 🤣 watoto waacheni wadet na wanafunzi wenzaoHii ya kutumiana text kila mda ndio inakera. Sometimes unaona bora upotezee usijibu uendelee na mishe zako. Usipojibu kwa wakati unaulizwa "Au uko bize unachat na wadada wengine!"... Mtu kila wakati anawaza " negatives" tu arrgh!!!
😂Sio kila mtu wa ku date nae 🤣 watoto waacheni wadet na wanafunzi wenzao
Yaani yaani sijui wanatuweka wapi, mimi mtu asiponipa attention nawalk away tuNgoja akuache wiki bila sms moja uone utakavyopagawa. Mtu akionyesha kukujali hata kwa sms tu, appreciate back, mpe ratiba yako ajue mda gani mnaweza kuongea..
..kuna namna mkiandika hivi ni kama sisi tunajigonga sana kweny(sie wenye mapenzi ya kukabana)
Inaonesha unafuatiliwa sana kuliko hata mkuu wa kaya, next time hakikisha una mingle na watu wenye shughuli za kufanya. Mtu akiwa busy hawezi kumuhangaisha mpenzi wake kila dakika kama kabandika nyama jikoni 🤣Enhee,watu hawapumui
Attention ni muhimu ila iwe kwa kiasiYaani yaani sijui wanatuweka wapi, mimi mtu asiponipa attention nawalk away tu
Hata kama ila sio kuwa sumbufuOoh, kumbe ndiyo sababu
Umechelewa kuna mkuu, humu kushajaa upendo[emoji1787]UKIWA KAMA KIJANA MWENYE AKILI TIMAMU NA AMBAYE NI NGUVUKAZI YA TAIFA USHAURI WANGU KWAKO NI KWAMBA ...
KATAA NDOA.
Yes,hayupo busy sanaInaonesha unafuatiliwa sana kuliko hata mkuu wa kaya, next time hakikisha una mingle na watu wenye shughuli za kufanya. Mtu akiwa busy hawezi kumuhangaisha mpenzi wake kila dakika kama kabandika nyama jikoni 🤣
Yes hiyo ni kwa kila kitu....sema tumetofautiana yani mimi nisipopewa attention ntajaribu hata visivyojaribikaAttention ni muhimu ila iwe kwa kiasi