Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Safi sana, moja ya vijana ambao wanapaswa kua mfano kwa wengine ni wewe.

Mimi binafsi ulinishangaza sana ile siku nimewaPM na niseme wazi ulinifundisha kitu kikubwa sana pasipo wewe kujua.

Nmewatext mishale ya saa nne ivi, umenijibu kulingana na Suluhisho .

Sikuridhika bado nikahitaji mfanye navyohitaji.

Naamka asubuh, nakuta Mida ya saa Saba usiku, mkuu Melo umenijibu kua shida yangu imetatuliwa.

Suala lilonishangaza sio Kunijibu, bali ni huo.muda yaan SAA SABA.....

Kijana ambaye una familia yako, CEO wa JF nilitegemea utakua umelala na wakunijibu ni Mods .

Lkn ukanijibu wewe muda huo wa Saa saba, hii ikimaanisha, toka ule muda nawatext hukulala, bali uliamua Kuhakikishia hitaji la mteja wako unalikamilisha na ukaamua kutoa response .

Brother nina mengi yakuandika kuhusu hili tukio, ila niseme WEWE NI KIJANA MAKINI KATIKA VIJANA WALIOMAKINIKA.

Kumbe wenye mafanikio wote hujali muda, sio watu wa usingizi, hawapendi kupoteza wati wao , ni wachapakazi, wanapenda mtu aridhike.

... Basi Anzisha mfuko jamii, nikiwa kama mdau nitakuunga kwa mia mia , siku moja nikuone unatoa msaada kwa vituo mbalimbali vya watoto yatima .

Uishi maisha marefu, uyatimizie ndoto zako , uache Njozi ilofanyika kweli ambayo itaishi milele na kumbukumbu kwa vizazi .
 
Kuna mdada Fulani humu alianza kunishobokea sana Mara akanifollow,ila shobo zikawa nyingi,nilichokifanya ni kumblock kabisa,biashara ikawa imeishia hapo,sipendi upuuzi mid,ebboh!

Sent using Jamii Forums mobile app
Andika tena vibroken uone. Hata hivyo imesaidia siku hizi umeacha kuwakosoa watu kingereza baada ya kukuthibitishia hata wewe haujui.
 

I’m really humbled mkuu wangu [emoji1488]
 
wapo wanachadema wengi tu humu ili wapo wachache wanaojulikana.
 
Mimi nataka niweze kujiignore mwenyewe nafanyaje mkuu?
 
Mpaka toyota corona ipite[emoji16]

Ngoja tuwashughulikie kina Crimea jingalao na vibwengo wengine.

(natabiri "ignore" ikiwachukiza lumumba yatashushwa maagizo)
Sasa kwa akili zako mgando unafikiri hiyo ndio itakusaidia kuipa kura nyingi chadema?

Alafu hiyo ni dalili ya kuzidiwa hoja! Kama unaona maoni mbadala hayakufurahishi nenda kwenye magroup yenu ya kichadema
 
Mawazo mazuri lakini ushajiuliza izo video sharing kwa maisha haya ya Tanzania au wewe upo California USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…