IGP Camillus Wambura: Rais Samia umefanya mambo ambayo yalitakiwa kufanyika kwa Miaka 50

Huyo IGP atakuwa boga kabisa
 
Ni kweli watu wamepotea wengi na vifo vya watu vimekuwa vingi mno
 
No Reforms no election
 
Duuuuh Asante Mungu sikuwa miongoni mwao wasifuo na kuimba mapambio mimi
 
Huyu lzm asifie kwa sababu ndiye aliyedukuliwa akipitisha miamala ya fedha kubwa kubwa mamilioni fisadi lazima amsifie anaelea ufisadi.
 
IGP kainhilia siasa jeshi linyang'anywe usajiri na akamatwe haraka.

Albert Msando mtekelezaji wa amri za mamlaka yuko wapi?
 
Huyu sindiye niliona bank statement ya billion moja! lazima hamsifu Samia,nimiongoni wanaokula mema ya nchi.
 
Mkuu kila anayesujudu huwa anaimba hilo pambio la 'maendeleo makubwa' aliyoleta Samia, lakini huwa hawayataji!
 
Unakuta mtu kama huyu shule hata c alikuwa hapati ila sasa kwenye account yake unakuta ana b za kutosha..............kweli kulia kupokezana
 
Utekaji anaofanya Mama na mauaji ya vijana kavunja rekodi. Mpaka ulaya, na majirani sasa wanamtambua kwa hilo. IGP kuwekewa Billion moja kwenye account ya CRDB ni rekodi mpya Sirro mwenzake anaona wivu
 
Huy
The Hague ipo njiani mda wowote yeye bashungwa na wenzao
 
Utekaji anaofanya Mama na mauaji ya vijana kavunja rekodi. Mpaka ulaya, na majirani sasa wanamtambua kwa hilo. IGP kuwekewa Billion moja kwenye account ya CRDB ni rekodi mpya Sirro mwenzake anaona wivu
Bilion 15 za kazi maalum wamegawana yaani mateso kwa Lisu imekuwa fursa kwao kupigia pesa
 
Unafiki mbaya sana, 😂😂🤣🤣Bibi mwenyewe anajua hajafanya lolote la maana.
Kinachofanyika sasa ni chawaccm kumchochea Mkoloni Kaburu mama iddy Amin Afanye vitu vya hovyo kwa watanganyika kisha wao kumwendea na kumwambia atoe pesa kwa ajili ya kupoza joto la kisiasa na wakipewa pesa wanagawana kienyeji ni wizi mpya wa pesa za walipa kodi kwa kivuli cha mateso ya chadema
 
Ukiona hadi IGP anakuwa Chawa basi piga alama ya msalaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…