Ni hivi anajenga unafiki na wewe na kukuaminisha yeye ni mtu mkubwa jeshi kwa cheo Cha Generali karibia na CDF. Hivyo atajifanya anafahamiana na Waziri Mkuu. Sasa yeye inaonekana ana teknolojia ya kutwist sauti ya viongozi. So anakupigia na kumwambia nimeongea na Waziri Mkuu atakupigia baadae akusaidie kulipia gari kutoka bandarini. Ukikubali tu umeliwa. Kweli utapigiwa Simu na kuongea na fake Waziri Mkuu baada ya hapo utawaachia wenyewe walitoe. Ili walitoe kwenye reli wanakutengenezea kesi ya utakatishaji. Wakati wewe unahangaika na kesi ya utakatishaji wao Wana ondoa gari bandarini kwa njia zao wanazojua.Fafanua
Haitawezekana kamwe.....Nina staili kama mia hivi za kuvuta pesa!!!Sasa mbinu za kisiasa wakati tunakujua. Sema unahonga mapolisi na wapelelezi. Maana imegundulika baada ya kupeleza ni kwamba hiyo simu ya General Mwamwega anayotumia imeandikwa Mwinyi Hassan ila ukifuatilia jina lako linakuja. Nadhani umeshaelewa. Tutakukamata tu.
Weka tena.Ushahidi niliwahi kuweka hapa mapema , JF wakauondoa.
Yeah Pia Ni Kamishna wa Fedha Hazina pale..Huyu mwamwaja nadhani ni lecture kama sijakosea
Ni Generali Charles Mwamwega. Anadai ni Katibu wa Ikulu ya Zanzibar. Ila huyo mtu tumeshamjua jina lake halisi.Ulisema anaitwa mwamwega au Dr. Charles A. Mwamwaja..
maana Nimefatilia Hili Ni jina nililopata So nijibu Nikpe taarifa kuhusu Hilo..
Ni Charles Mwamwega au Charles Mwamwaja
Anhaa Hapo sawa Maana Kwa charles mwamwaja ningeshangaa huyu kakaangy mstarabuNi Generali Charles Mwamwega. Anadai ni Katibu wa Ikulu ya Zanzibar. Ila huyo mtu tumeshamjua jina lake halisi.
Ni Generali Charles Mwamwega. Anadai ni Katibu wa Ikulu ya Zanzibar. Ila huyo mtu tumeshamjua jina lake halisiUlisema anaitwa mwamwega au Dr. Charles A. Mwamwaja..
maana Nimefatilia Hili Ni jina nililopata So nijibu Nikpe taarifa kuhusu Hilo..
Ni Charles Mwamwega au Charles Mwamwaja
Wao wameanza kufahamiana na bosi toka 2021, Mimi nimekuja kulijua Hilo sakata mwezi wa kwanza mwaka huu. Baada ya bosi kuanza kulia kuwa na kesi ya utakatishaji fedha, ikabidi Mimi nijiongeze kufanya upelelezi Kama kweli ni utakatishaji ndio nikagundua hayo.Labda hamkumuelewa, anaweza kuwa ni jina lake ni jenerali kama ulimwengu 😀
Usisite kunitagNgoja nitarudia tena
Mkuu Mimi baada ya kuona bosi anapigwa. Nikajaribu kumdodosa ndio akaniambia Kuna Generali wa JWTZ akimaanisha cheo Cha CDF, ndio anajaribu kumkinga asikamatwe hivyo ameambiwa alipe milioni 60 Kama fine ya serikali. Ndipo hapo na Mimi nikaanza upelelezi wangu kumtafuta huyu Generali Mwamwega.Yeah Pia Ni Kamishna wa Fedha Hazina pale..
"Commissioner for Financial Sector Development"
Na anafundisha Mzumbe pia..
So nimefanya Utafiti wa Haraka haraka So far hapo ndo ilipofikia..
But Jeshini hakuna Hilo Jina la mwamwega hata serkalini pia..
Ila Charles Mwamwaja Yupo..
Huyo namjua ni mtu mwema Sana.Yeah Pia Ni Kamishna wa Fedha Hazina pale..
"Commissioner for Financial Sector Development"
Na anafundisha Mzumbe pia..
So nimefanya Utafiti wa Haraka haraka So far hapo ndo ilipofikia..
But Jeshini hakuna Hilo Jina la mwamwega hata serkalini pia..
Ila Charles Mwamwaja Yupo..
Huenda anakula nao wakubwaMkuu Mimi baada ya kuona bosi anapigwa. Nikajaribu kumdodosa ndio akaniambia Kuna Generali wa JWTZ akimaanisha cheo Cha CDF, ndio anajaribu kumkinga asikamatwe hivyo ameambiwa alipe milioni 60 Kama fine ya serikali. Ndipo hapo na Mimi nikaanza upelelezi wangu kumtafuta huyu Generali Mwamwega.
Kwenda JWTZ hayupo na kwenda ikulu Zanzibar hayupo. Ila kumkamata huyo bosi mpaka Leo anampiga pesa bila huruma. Sijajua anatumia mbinu gani kuchanganya watu.
Ila nimegundua wasomi wengi Tanzania hawana reasoning. Yani bosi wa Taasisi anashindwa kujua cheo Cha Jenerali ni Cha CDF. Anapigwa kesi ya money laundering bila hata kuhoji?. Nimeamua kumsaidia ili kumkamata huyu tapeli anayejifanya untouchable.Cheo cha general kimeshushiwa heshima yake aisee 😡😡😡,
Itakuwa maana kila mtu anamkimbia. Tumeshirikisha polisi hola na wapelezi hola. Kila mtu anakuja na stori zake za uongo na kweli ila jamaa kila siku anatumiwa miamala na bosi sio Chini ya milioni Tano kwa wiki .Huenda anakula nao wakubwa
Mhh,wanajuananae nn!!!?JF hawataki niweke ushahidi. Nina ushahidi mwingi.
Mbona tumeshakujua? Huwezi kudanganya watu kila siku. Wewe sema kiburi chako ni huyo bosi kuendelea kukunyenyekea wakati unampiga pesa. Ila ulijisahau true caller ikatusaidia.Haitawezekana kamwe.....Nina staili kama mia hivi za kuvuta pesa!!!
Kumbe jf inalea pia huu ujinga?Mkuu sio Mimi niliyetapeliwa , Mimi ni whistleblower. Kuna mtu Katapeliwa milioni mia mbili , na hao jamaa kwa kushirikiana na polisi waongo, wakamdanganya huyo bosi kuwa ana kesi ya utakatishaji fedha. Sasa jamaa anahangaika mpaka Leo anawalipa fedha ili wasimkamate. Kwa kifupi Tanzania Ina matapeli waliokubuhu. Wanaweza kukutengenezea scenario mpaka ikakubali. Ni stori ndefu siku Jamii forum wakikubali nitaiweka hapa.