IGP Simon Sirro afanya mabadiliko madogo kwa Makamanda wa Polisi

Ukiona Mungu kachelewa kujibu maombi, unistue nikupe sapoti. Hii nchi yetu sote hakuna kuwaachia mazwazwa watuonee. Tumempata mkombozi mpya. Kitu cha wave 3
Support ipi iyo mkuu
 
Mi namshauri Afande IGP kuweka Ma RCO wa rank ya ACP maana kwa kweli ma RCO kuwa na rank sawa na MaOCS kwa kweli Dah! OCD kuwa SSP sawa ila SSP kuwa RCO dah!
Unadhani rank ina uhusiano na weledi wa askari au una sababu gani ya kupendekeza hivi?
 
Afande Jenerali nakupongeza kwenye mabadiliko ya Kamisheni ya operesheni na mafunzo itapendeza hata Kamishna wake ukambadilisha ili kuleta aina mpya ya utendaji was jeshi la Polisi inayohubiriwa kwenye muongozo wa sasa wa jeshi lako. Asante.
 
Bora Leo watu wame amka nimakosa makubwa Sana RCO kuwa chini ya RPC coz uchafu unaofanya na ma NCOs Unakuta niamri halali ya RPC Sasa hapo RCO ataiandika ukweli ambao mahakama itamuwajibisha RPC ?
Ofisi ya RCO inshort ilitakiwa ijitegemee moja moja na ndio walitakiwa kama wawe hata na Boss wao ambae ni DCI.
 
Mwanza kulishakuwa na RTO anayelingana cheo na RPC, wote maACP huku RCO akiwa SSP. Na baadae nadhani hadi sasa kukawa na RTO mwenye cheo cha ASP huku maDTO wa nyamagana na ilemela nao wakiwa na cheo hicho hicho cha ASP.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu utakua unapenda madaraka sana eti kutakua hakuna wa kumbabaisha mwenzake ila mi mbona naona polisi wanafanya kazi kwa ushirikiano sana yani coplo anakua anampigia simu Rpc na wanafanyakazi fresh tu kazi ili iende haiitaji mabavu bali weredi na kuheshimiana alafu kijeshi mnaweza kuwa cheo sawa ila mwenye namba ya juu ni bosi wako so kila ukiona askali wawili ujue mmoja ni mkubwa
 
Mi namshauri Afande IGP kuweka Ma RCO wa rank ya ACP maana kwa kweli ma RCO kuwa na rank sawa na MaOCS kwa kweli Dah! OCD kuwa SSP sawa ila SSP kuwa RCO dah!
Kwa hiyo unataka RPC's na RCO's wawe na rank sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…