Ndiyo maana tunamleta hapa mahakama ya wananchi wajadili muenendo wake.
Nimeona hata Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi akamuhoji IGP ana maana gani na aina yake ya uwasilishaji hoja.
IGP ikabidi ajiumeume na kuomba radhi kama ameeleweka 'vibaya' na kukwaza hadhira iliyopo ukumbini.
Sasa tumemleta katika hadhira kubwa zaidi huku kwa wananchi nao watoe maoni yao.
..Nataka nione mkutano nzima.
..nimeutafuta bila mafanikio.
..ila nina wasiwasi IGP kuna kitu anakitafuta kwa Chadema.
..naona kila siku zinavyoendelea IGP anazidi kuvimba na kutoa vitisho.
..Chadema waende naye taratibu, lakini pia wasiache ku-expose mwenendo wake wa upendeleo.
..I still dont believe that he made such stu.pid[for lack of a better word] presentation.