Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro akutana na Wadau wa Uchaguzi 2020, aitaja JamiiForums na Mitandao mingine kama changamoto ya Uhalifu wa Kimtandao sababu ya Teknolojia

Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro akutana na Wadau wa Uchaguzi 2020, aitaja JamiiForums na Mitandao mingine kama changamoto ya Uhalifu wa Kimtandao sababu ya Teknolojia

Ndiyo maana tunamleta hapa mahakama ya wananchi wajadili muenendo wake.

Nimeona hata Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi akamuhoji IGP ana maana gani na aina yake ya uwasilishaji hoja.

IGP ikabidi ajiumeume na kuomba radhi kama ameeleweka 'vibaya' na kukwaza hadhira iliyopo ukumbini.

Sasa tumemleta katika hadhira kubwa zaidi huku kwa wananchi nao watoe maoni yao.

..Nataka nione mkutano nzima.

..nimeutafuta bila mafanikio.

..ila nina wasiwasi IGP kuna kitu anakitafuta kwa Chadema.

..naona kila siku zinavyoendelea IGP anazidi kuvimba na kutoa vitisho.

..Chadema waende naye taratibu, lakini pia wasiache ku-expose mwenendo wake wa upendeleo.

..I still dont believe that he made such stu.pid[for lack of a better word] presentation.
 
akina nnape wanaongea hadharani kuwa watawashughulikia wapinzani ktk majimbo yao lakini hata hawachukuliwi hatua, kweli ninyi ni policeCCM.
Mkurugenzi katoa fomu za Chadema kugombea ubunge kwa mamluki wa Ccm. Hilo tume iko kimya. Halafu wana hubiri anani!!!

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Asante Sirro na vyombo vingine kwa kutambua hali iliyopo sasa. Amani ya nchi hii unayodhamana nayo na ukishirikiana na vyombo vingine vya usalama. Waambie hao NEC they have to be fair. Hakuna njia mbadala wa hilo. Asante nakutakia kazi njema kujenga taifa.siai wadau wa amani na demokrasia tunakutakia utumishi uliotukuka kipindi hiki na kijacho.
 
Huyo Sirro anajulikana wazi matamko yake mengi anayoyatoa huwa yanalenga kumfurahisha bosi wake, hapo hata sioni kipi cha maana atachoongea.

Wale wanaochoma moto ofisi za Chadema kila siku hata hatumsikii akikemea vile vitendo, yupo tu.
Hata hivyo he is changing for better
 
Asante Sirro na vyombo vingine kwa kutambua hali iliyopo sasa. Amani ya nchi hii unayodhamana nayo na ukishirikiana na vyombo vingine vya usalama. Waambie hao NEC they have to be fair. Hakuna njia mbadala wa hilo. Asante nakutakia kazi njema kujenga taifa.siai wadau wa amani na demokrasia tunakutakia utumishi uliotukuka kipindi hiki na kijacho.

Yes, NEC has to be fair and just. No short cuts!!!
 
IGP Sirro amemtaka Jaji Kaijage kuhakikisha tume ya uchaguzi inajipanga vizuri ili isije ikaliingiza jeshi la polisi katika vurugu zisizo na ulazima.

Sirro amesema ni wajibu wa tume ya uchaguzi kuhakikisha vifaa vyote vinakuwepo zikiwemo taa na zinafikishwa vituoni kwa wakati ili kuondoa dhana ya wizi wa kura.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Hili nimeliona mapema sana. Wasichojua watawala, hakuna uchaguzi unaofuatiliwa Tanzania kama wa mwaka huu. Shauri yake Sirro
We jamaa unajifanya mjuaji sana kila nyuzi unatishia mabeberu wako na jina la kukopa...

Be careful please.
 
Kwa uwezo wake ALLAH uliotukuka na dua tunazoziomba,yeye muumba mbingu na nchi atatujaalia uchaguzi wa AMANI na SALAMA...Aaamin
 
Toka Siro aje na lile igizo la kutekwa Mo, hata aseme nini simuamini. Hapo anataka kujifanya ameshaionya tume, lakini ni maigizo kama maigizo mengine.
 
IGP Sirro amemtaka Jaji Kaijage kuhakikisha tume ya uchaguzi inajipanga vizuri ili isije ikaliingiza jeshi la polisi katika vurugu zisizo na ulazima.

Sirro amesema ni wajibu wa tume ya uchaguzi kuhakikisha vifaa vyote vinakuwepo zikiwemo taa na zinafikishwa vituoni kwa wakati ili kuondoa dhana ya wizi wa kura.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
And he has to mean what he said
 
Back
Top Bottom