IGP Simon Sirro: Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya mkoani Mtwara

yani hao magaidi wangekuwa ndani ya nchi yetu naamini tungewahesabia siku tuu ila kwakuwa wapo nje inatubidi kuwa macho na vipenyo vya mipakani na ulinzi wa pamoja kuweza kujua mienendo yao kitu ambacho nikigumu kiasi flani.
Ila watakaopatikana watasimulia wenzao huko ahera
 
serikali itumie ulinzi shirikishi wa raia na kusurvey mpaka kwa drones
 
Kama hivyo sioni umuhimu wa kuweka jeshi huko mipakani,na wanajeshi wakome kujinasibu kwamba wanalinda nchi,kumbe hatupo salama.Huu ni udhaifu mkubwa ktk kazi ya ulinzi,wasipo weka ulinzi ktk hivyo vipenyo watu wata......
 
Watu 80 wenye silaha wanaweza kuingia bongo na kutoka kirahisi hivyo? Kama ni rahisi hivyo tungekuwa tunashambuliwa kila siku.
Hilo linawezekana,hawa ni magaidi wameingia wameua wameharibu wakaondoka halafu wakatoa taarifa wao ,anachofanya sirro ni kuthibitisha
 
Siro anaidadi ya wavamizi lkn Hana idadi kamili ya walio uaawa.
How can you count three hundred and fail to count a handful

..mwanzoni tulipewa idadi za waliokuwa wanafariki kwa COVID-19, je zilitusaidia nini kama Taifa katika mapambano yale..?
 
JWTZ kazi yao nini mpaka mipaka ya nchi inavamiwa?
Hapo sasa, sijui intelejensia mipakani ikoje hadi watu 300 waingie wavamie kijiji. Tatizo hii nchi siasa tumeipa kipaumbele sana na ni wakati sasa wa kubadilika, watendaji wachukue majukumu yao waachane na ngonjera za wanasiasa...
 
Naomba hii Revenge iwe kama ya Israel Kwa magaidi wa Luo uwa watu wao German. Ile ilitisha
 
Kuna umihimu wa kusambaza maspy huko mikoa inayopakana na Msumbiji ili kuwatrace hawa wapuuzi kabla ya kufanya uharifu maana jeshi peke yake hawataweza
 
..mwanzoni tulipewa idadi za waliokuwa wanafariki kwa COVID-19, je zilitusaidia nini kama Taifa katika mapambano yale..?
Ukijua idadi inatusaidia kujua extent ya tatizo ili uweze kujipanga. Kama kauawa mtu mmoja unaweza ukapeleka hata jeshi la magereza. Kama wameuawa wa 20 jeshi kubwa linahusika.
 
Kuna umihimu wa kusambaza maspy huko mikoa inayopakana na Msumbiji ili kuwatrace hawa wapuuzi kabla ya kufanya uharifu maana jeshi peke yake hawataweza
Yupo RCO na MA DSO kule. Labda tuanze na taarifa zao.
 
Jamaa ajauliza intelejensia ya Israel wala USA
Kauliza intelejensia ya Tanzanian
 
Ni vema kuwa unajua hayo. So far watendaji wa inner core wanatoa hizo security forces wanajua A to Z ya hii issue na kwa sasa naamini wapo wanashughulika nalo kuanzia kwenye Strategic level hadi kwa watendaji wa chini kabisa ikijumuisha vyombo vya usala na wanachi wa kawaida. Tujifunze from MKIRU na COVID-19 namna taarifa za vifo zilivyoleta hofu na taharuki kwa wananchi. So, tulia na fanya shughuli zako za uzalishaji mali huku ukiamini kuwa Govt ipo na inashughulikia tatizo hilo.

Enjoy...!!
 
Jamaa ajauliza intelejensia ya Israel wala USA
Kauliza intelejensia ya Tanzanian
Inamaana intelejensia ya Tanzania ni bora kuliko USA na Israel?

Mimi nilicho jaribu kumwonyesha tu ,haya mambo yanatokea ktk taifa lolote,hizo nchi zina intelejensia nzuri lkn still bado zina shambuliwa.
 
Inamaana intelejensia ya Tanzania ni bora kuliko USA na Israel?

Mimi nilicho jaribu kumwonyesha tu ,haya mambo yanatokea ktk taifa lolote,hizo nchi zina intelejensia nzuri lkn still bado zina shambuliwa.
Sijawai sikia magaidi 300 yamevuka mpaka wa USA or Israel
Magaidi 300 ni wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…