wapate tab sanaINSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, magaidi zaidi ya 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoa wa Mtwara na kufanya uhalifu mbalimbali ikiwemo mauaji.
“Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji, walivamia Kijiji chetu cha Kitaya na kufanya uhalifu mbalimbali ikiwemo mauaji,” amesema IGP Sirro aliyekuwa anazungumzia hali ya usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu tarehe 28 Oktoba 2020.
IGP Sirro amesema, “tumefuatilia baadhi ya watu, wamekamatwa na wengine ni wa kwetu hapa tumewakamata tunaendelea kuwahoji.”
IGP Sirro amesema, “tunaendelea kupambana nao ili kuupata mtandao wote ulioanzia kule Kibiti na Rufiji ambao tulipambana nao wakaona wameshindwa.”
Mkuu huyo wa jeshi amesema, watahakikisha wanakamatwa iwe wanakwenda Msumbiji, Kenya au kwingineko ili “mwisho wa siku haki itandendeka na watakamatwa na kupelekwa mahakamani.”
Soma pia > Tetesi: - Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...
Pamoja na kwamba vita ni gharama kubwa naamini Tanzania inatamani ikawavuruge hao magaidi kulekule Msumbiji. Tatizo ni kuwa huingiizi jeshi lako nchi ingine kiholelaholela tu. Inabidi ukubaliwe na nchi husika. Na hiyo ina mambo yake kwa nchi inayokubali jeshi la nchi ingine liingie kwake japo faida ni kubwa kusaidiwa.Hao watu wakizidisha mashambulizi Tanzania itaingia Msumbiji ipende isipende.
Kama walichukua simu zote then Ni rahisi sana ku wa track. Kijana mmoja mzuri kwenye IT anaweza kuwaonyesha polisi hao wahujumu walipo kwa kushirikiana na Telmocambique.kwa mujibu wa taarifa magaidi walipita njia za bahari/maji na walipoondoka walichukua simu zote kijijini
NAOMBA KUJUZWA HIVI MIPAKA INALINDWA NA POLISI AU JWTZ?INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, magaidi zaidi ya 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoa wa Mtwara na kufanya uhalifu mbalimbali ikiwemo mauaji.
“Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji, walivamia Kijiji chetu cha Kitaya na kufanya uhalifu mbalimbali ikiwemo mauaji,” amesema IGP Sirro aliyekuwa anazungumzia hali ya usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu tarehe 28 Oktoba 2020.
IGP Sirro amesema, “tumefuatilia baadhi ya watu, wamekamatwa na wengine ni wa kwetu hapa tumewakamata tunaendelea kuwahoji.”
IGP Sirro amesema, “tunaendelea kupambana nao ili kuupata mtandao wote ulioanzia kule Kibiti na Rufiji ambao tulipambana nao wakaona wameshindwa.”
Mkuu huyo wa jeshi amesema, watahakikisha wanakamatwa iwe wanakwenda Msumbiji, Kenya au kwingineko ili “mwisho wa siku haki itandendeka na watakamatwa na kupelekwa mahakamani.”
Soma pia > Tetesi: - Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...
Huo uwezo haupoNaomba hii Revenge iwe kama ya Israel Kwa magaidi wa Luo uwa watu wao German. Ile ilitisha
...nadhani ni hesabu ya makadirio tu..bila shaka ni wananchi kwa maana hao magaidi inadaiwa waliingia kijijini na kuanza kuchoma nyumba bila kujificha hivo basi lazima wananchi waliwahesabu
...nadhani ni hesabu ya makadirio tu..
Hakuna raia anayeweza kuhesabu magaidi akaacha kukimbia kuokoa maisha yake.
mipaka ni kwa uvamizi ila sidhani n ka kulinda kila kipenyo maana kuko wazi na huwezi juwa wapi ni wapi na ikumbukwe ni kms nyingiKama hivyo sioni umuhimu wa kuweka jeshi huko mipakani,na wanajeshi wakome kujinasibu kwamba wanalinda nchi,kumbe hatupo salama.Huu ni udhaifu mkubwa ktk kazi ya ulinzi,wasipo weka ulinzi ktk hivyo vipenyo watu wata......
Huwezi kufananisha aibu ya Wastegate na lilotokea Mtwara. Kule ni mtu ameingia kwenye mall, na mall ilikuja kuwa surrounded na majeshi ya KDF na private forces, wakaishia kudunguana wenyewe kwa wenyewe kwa bifu zao na majeshi kuondoka na peremende za eclairs.Wanaogopa aibu kama ya Westgate kenya
Hiyo waliyopata huko Kitaya na kuitumia vilivyo haikuwa nafasi?Magaidi hayana nafasi Tanzania
Kuingia msumbiji n swala ambalo lazima msumbiji waridhie na lazma watatubana katika ukubwa wa kikosHuwezi kufananisha aibu ya Wastegate na lilotokea Mtwara. Kule ni mtu ameingia kwenye mall, na mall ilikuja kuwa surrounded na majeshi ya KDF na private forces, wakaishia kudunguana wenyewe kwa wenyewe kwa bifu zao na majeshi kuondoka na peremende za eclairs.
Cha msingi saivi, Jeshi liingie msumbiji kumalizana nao.
Duh kwa walioshuhudia zile clip hawa jamaa hawazidi 20 ni kati ya 10 kuendelea na kuna watoto wamebebeba mipini300?
Aache uwongo hao police hawana jeuri ya kupambana nao,ndio mana jwtz wamepelekwa hukoINSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, magaidi zaidi ya 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoa wa Mtwara na kufanya uhalifu mbalimbali ikiwemo mauaji.