Nyamtajanyalwa
Member
- Jan 31, 2021
- 15
- 10
🤣🤣🤣WAANDAMANE TU SISI TUKO BIZE NA BUNGE LA TOZO ZA MIAMALA, MAANDAMANO TUWAACHIE,KINA HECHE,MNYIKA,NA WENGINEO WASIOJIPENDA🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwapangie cha kuongea bibiye.Katibu Mkuu wa chadema Mnyika anapaswa achunge sana kauli zake za kuhamasisha maandamano yenye lengo la kuvunja amani ya nchi.
Asije akalilaumu Jeshi la Polisi endapo atachukuliwa hatua za kisheria.
Huwezi kuhamasisha maandamano ya kushinikiza mahakama itoe haki!! kitendo hiki ni uvunjaji wa sheria.
Mnyika na Mrema wawe makini sana, watanzania hatuko tayari kuona watu.wachache wanajaribu kuchokonoa amani ya nchi yetu, na tunaliomba Jeshi letu kamwe lisivumilie wala kuwachekea.
hakuna aliyemjaza sifa mtu, alichokuwa akikipigania Mbowe kina manufaa kwangu na kwako na vizazi vinavyokuja, hajakosea,nyinyi mlimjaza misifa kisha akavimba akajiona kweli yeye ni mwamba sasa ona matokeo yake ameangamia kwa matendo yake.
na chadema ushahidi wanao kwamba mnaushahidi wakutengeneza membambikizia kesi feki ya ugaidiView attachment 1877322
IGP Simon Sirro leo Agosti 2, 2021 akizungumza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe
IGP Simon Sirro leo Agost 2,2021 amefanya mkutano na Waandishi wa Habari ambapo amezungumza mbalimbali kuhusu kukamatwa na Mwenyekiti wa Chadema pamoja na vuguvugu la kutaka kufanya maandamano. Akiwa katika mkutano huo SIrro alisema yafuatayo:
“CHADEMA wanaona Mwenyekiti wao (Mbowe) ameonewa na wanasema hawezi kuwa hivyo wanamuona ni Malaika hawezi kufanya kosa”
“Kabla ya Uchaguzi nilisema kuna Watu wamepanga kuhakikisha Uchaguzi haufanyiki, nilisema kuna baadhi ya Watu wamepanga kulipua visima vya mafuta na kufanya mauaji ya Viongozi na nilisema tutawakamata kabla hawajafanya hivyo”
“Tuliwakamata kabla, hayo ya Mwenyekiti wao (Mbowe) sitaki kuzungumzia sana lipo Mahakama ila wajue yeye ni Binadamu kama Binadamu wengine na anaweza kufanya kosa tumempeleka Mahakamani tuache Mahakama itimize wajibu wake”
“Kama kweli ni mkweli Mwenyekiti wao (Mbowe) na anamuamini Mungu waende wamuulize habari hiyo, kuna mambo unaweza kuyafanya kwamba ni siri lakini ndio mana Vyombo vya Habari vipo, niwaombe Watanzania wenzangu usilolijua ni kama usiku wa giza usiingie kwenye mtego ambao hujui aliyeutega ana jambo gani”
“Waende wamuulize huyo Mtu tuliyempeleka Mahakamani (Mbowe) kwamba hili jambo unalijua na kama ni ukweli ana Dini yake na anamjua Yesu Kristo aende aaambiwe, tunamuonea kwa lipi ?, tupate nini?, tuna ushahidi wa kutosha tuache Mahakama iamue, kafanya Yes hakufanya Yes lakini habari ya kikundi cha Watu kusema tunataka kuandamana wewe ni nani Bro!? hiyo nafasi hauna”
Awaonya Wanaotaka kuandamana
“Niwaombe Watanzania tuache wale Watu wachache ambao wanataka kupambana na Serikali wapambane nayo labda wana sababu zake lakini Mtu wenye hekima na busara anielewe, lakini kikubwa kama wameandaa kwenda Canada au Marekani wajiandae ila hatuwezi kuruhusu Watu wachache wavuruge Nchi kwasababu wamekosa madaraka”
“Habari ya kusema mnataka kuandamana mnavunja sheria na ukivunja sheria usilaumu Jeshi, ukivunja sheria umeingia kwenye uhalifu, Sirro hatokuacha na Polisi hawatokuacha na ndio maana wanafanya siasa kwa sababu amani na utulivu upo, Sisi hatufanyi Siasa”
“Niwaombe Watanzania ambao wameambiwa mkusanyike kutoka Mara kutoka wapi sijui na muelewe Mahakamana ni kituo nyeti ni kama Kituo cha Polisi ukitaka kuvamia utakung’utwa kwa mujibu wa sheria sababu umetaka sasa kama kuna Mtu maisha yamemshinda aje ila asije kulalamika, hii kesi iko Mahakamani tuiachie Mahakama iamue”
hahahaha eti ndani ya miaka 20, tuanze na mwaka gani kuhesabu mkuu?Nchi hii ndani ya miaka 20 kuanzia sasa itakuwa sawa na somalia tu. Ni suala la muda tu.
Je uko sawa ushahidi huoTuna madhaifu?
Ni kana kwamba kuwa tunakubali kuwa mwamba ana makosa, ila chargesheet ina mapungufu.
Front page ya gazeti la raia mwema limetoa picha kamili kuwa tunabali kuwa mwamba huenda ana makosa, ila charge sheet ndio inamapungufu.
Kwa ufupi tunatakiwa kubadilika sana, maana bado tunamapungufu.
Lwakatale siyupo unamkumbuka kesi yake jeTangu saga la MO, huyu jamaa haaminiki tena na jamii. Sijui analijua hilo.
Hahaha, kweli JF ni sehemu ya kuondoa stress.hahahaha eti ndani ya miaka 20, tuanze na mwaka gani kuhesabu mkuu?
Utayarudia hayo mara elfu lakini hayamsaidii Mbowe au anayetaka kuandamana kwenda mahakamani! Mwisho itafanana na ile ya Lissu alimiminiwa risasi 36! wameirudia mara infinity lakini haisaidii kuwakamata waliotaka kumuua!Mitandao ya kijamii imefurika matusi na kejeli baada ya IGP kutoa press akidai asiyeamini kwamba Mbowe ni Gaidi aende akamuulize. Amekwenda mbali zaid na kudai atakayethubutu kuandamana atapigwa tu.
Hi si ishara nzuri kwa mlinzi wa amani kugeukwa na anaowalinda, naamini Jeshi la Polisi linakila sababu yakujitafakari kuelekea kustaafu kwa huyu Mzee siro ambaye kwa namna yoyote ile awezi Tena kujisafisha.
Ikumbukwe aliyeeleza kwamba Mbowe amekamatwa kwa maelekezo ya Rais alikuwa ni RPC Mwanza na hakuna hatua zilizochukuliwa kupinga kauli hiyo si serikali Wala jeshi lenyewe.
Lakini baadaye tuliambiwa anatuhumiwa kutaka kuua viongozi ila hati ya mashtaka haisemi hivyo na hakuna kiongozi aliyetajwa alitaka kuuwawa.
Hii Nchi umeikuta na utaicha hivi hivi bandugu..Amini, usiamini.Nchi hii ndani ya miaka 20 kuanzia sasa itakuwa sawa na somalia tu. Ni suala la muda tu.
Haya mambo ya mitandaoni mlisusuia kutumia vodacoma makafeli mkasusia kutumia bidhaa za asas mkafeli
Keyboard warriors on freak.Sirro ufahamu kuwa sisi kama watu wenye akili zetu:
1. Tunajua kuwa mwenyekiti Mbowe mmembambikizia kesi
2. Tuko kwenye nafasi za kujua mnambambikizia kesi
3. Tunajua ni haki yetu kuja mahakamani
4. Tunakutaka ujue tutakuwapo mahakamani wala usitutishe
5. Tunakutaka umwogope Mungu wako kwani kushuhudia uongo huku ukilitaja jina lake bure, Mola anakataza
6. Tunakutaka uwashauri wenzio mtafute magereza zaidi ya kutuweka katika mamilioni yetu
7. Tunakutaka uziheshimu haki zetu
8. Tunakutaka uheshimu katiba
Ni hayo tu. Kwako kamanda.
We have a stupid and strange igpIGP amesema kama unaona Mbowe kaonewa nenda kamuulize kama kweli yeye ni mkristu safi atakwambia.
Nimeona IGP kaongea kwa kujiamini sana kuwa wanao ushahidi hivyo tusubiri mahakama. huna haja ya kutoka mishipa kwa sasa, Jambo usilo lijua nisawa na usiku wa giza. Tusijiingize kwenye mitego ukaja kunasa halafu huna wa kumlaumu.
Kwa sasa wacha Mbowe apambane na hali yake