Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwanini una amini Mbowe hawezi kuwa gaidi kamwe....?
Acheni utoto, hizo mbinu ni so outdated, na sababu hasa ni kuwa na vyombo vya dola vilivyojaza mazee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini una amini Mbowe hawezi kuwa gaidi kamwe....?
Wewe ndio pumbaffff nadhani kama sio prove hapa kwa kuleta ushahidi wako kwamba mashtaka hayana msingi wowoteWhat kind of IGP we have? Is it a Tanzanian or illegal migrant from Rwanda? Tunaelewa mashtaka ya Mbowe Ni ya kipumbavu na hayana msingi wowote,free Freeman Mbowe .
Jibu swali kwanza Wewe zwazwa..kwann unaamini mbowee hawez kuwa GaidiiAcheni utoto, hizo mbinu ni so outdated, na sababu hasa ni kuwa na vyombo vya dola vilivyojaza mazee.
Katoe ushahidi umepewa hiyo nafasiWhat kind of IGP we have? Is it a Tanzanian or illegal migrant from Rwanda? Tunaelewa mashtaka ya Mbowe Ni ya kipumbavu na hayana msingi wowote,free Freeman Mbowe .
Una ndoto kama za mashoga weweeNchi hii ndani ya miaka 20 kuanzia sasa itakuwa sawa na somalia tu. Ni suala la muda tu.
Matusi ya nini? kwani huwezi kujibu bila matusi. kama matusi ni mazuri , nawe nakutukana ...Inzi wa chooni mama yako, potelea mbali.Nikuulize wewe zwazwa,...mnajuaje kama ni kesi ya kubambika una ushahidi au unalopoka kama inzi wa chooni
Sheria za mahakamani zipo wazi wala sio za kufundishwa Leo. ..mkiamua kuzivunja mnakuwa mmekiuka Sheria name lazima mchukuliwe hatua kali. ..tatizo lenu hamumjui Mbowee
Jibu swali kwanza Wewe zwazwa..kwann unaamini mbowee hawez kuwa Gaidii
Sasa wewe mwehuu çcm inahusikaje hapaCCM demokrasia imewashinda. Naona mama nae kapoteza uelekeo
Hahaha jibu hoja jomba msilopoke hovyo Bila data...mtafungwaMatusi ya nini? kwani huwezi kujibu bila matusi. kama matusi ni mazuri , nawe nakutukana ...Inzi wa chooni mama yako, potelea mbali.
Kwahhiyo haya ndio majibu yako....Tanzania kweli bado. ...ndio maana mnapelekeshwa na magaidii bila kujijuaHao polisi walioshindwa hata kumkamata mtu aliyejiunganishia bomba la mafuta hapa Dar, ndio watakuwa na uwezo wa kumjua gaidi? Huyo Siro ni mla rushwa, anachofanya hapo ni kutekeleza watakacho majizi ya kura ili wasimtoe kwenye cheo cha ulaji rushwa. Mnajua ugaidi nyie, ama mnaendekeza siasa za kisengerema nyie mapunga wajane?
IGP amesema kama unaona Mbowe kaonewa nenda kamuulize kama kweli yeye ni mkristu safi atakwambia.
nimeona IGP kaongea kwa kujiamini sana kuwa wanao ushahidi hivyo tusubiri mahakama. huna haja ya kutoka mishipa kwa sasa, Jambo usilo lijua nisawa na usiku wa giza. tusijiingize kwenye mitego ukaja kunasa halafu huna wa kumlaumu.
kwa sasa wacha Mbowe apambane na hali yake.
Wewe kapuku huelewe nchi inaenda wapi. Kwani dola inaongozwa na nani?? Si ni chama tawalaSasa wewe mwehuu çcm inahusikaje hapa
Wewe umeshanogewa kumwaga damu za watu,lakini saa yaja na haiko mbali nawe utawekwa kikaangoni. Kuna maisha baada ya upolisi na wewe siye wa kwanza kushika hiyo nafasi. Mwisho wa ubaya ni aibu na mshahara wa dhambi ni mauti.View attachment 1877322
IGP Simon Sirro leo Agosti 2, 2021 akizungumza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe
IGP Simon Sirro leo Agost 2,2021 amefanya mkutano na Waandishi wa Habari ambapo amezungumza mbalimbali kuhusu kukamatwa na Mwenyekiti wa Chadema pamoja na vuguvugu la kutaka kufanya maandamano. Akiwa katika mkutano huo SIrro alisema yafuatayo:
“CHADEMA wanaona Mwenyekiti wao (Mbowe) ameonewa na wanasema hawezi kuwa hivyo wanamuona ni Malaika hawezi kufanya kosa”
“Kabla ya Uchaguzi nilisema kuna Watu wamepanga kuhakikisha Uchaguzi haufanyiki, nilisema kuna baadhi ya Watu wamepanga kulipua visima vya mafuta na kufanya mauaji ya Viongozi na nilisema tutawakamata kabla hawajafanya hivyo”
“Tuliwakamata kabla, hayo ya Mwenyekiti wao (Mbowe) sitaki kuzungumzia sana lipo Mahakama ila wajue yeye ni Binadamu kama Binadamu wengine na anaweza kufanya kosa tumempeleka Mahakamani tuache Mahakama itimize wajibu wake”
“Kama kweli ni mkweli Mwenyekiti wao (Mbowe) na anamuamini Mungu waende wamuulize habari hiyo, kuna mambo unaweza kuyafanya kwamba ni siri lakini ndio mana Vyombo vya Habari vipo, niwaombe Watanzania wenzangu usilolijua ni kama usiku wa giza usiingie kwenye mtego ambao hujui aliyeutega ana jambo gani”
“Waende wamuulize huyo Mtu tuliyempeleka Mahakamani (Mbowe) kwamba hili jambo unalijua na kama ni ukweli ana Dini yake na anamjua Yesu Kristo aende aaambiwe, tunamuonea kwa lipi ?, tupate nini?, tuna ushahidi wa kutosha tuache Mahakama iamue, kafanya Yes hakufanya Yes lakini habari ya kikundi cha Watu kusema tunataka kuandamana wewe ni nani Bro!? hiyo nafasi hauna”
Awaonya Wanaotaka kuandamana
“Niwaombe Watanzania tuache wale Watu wachache ambao wanataka kupambana na Serikali wapambane nayo labda wana sababu zake lakini Mtu wenye hekima na busara anielewe, lakini kikubwa kama wameandaa kwenda Canada au Marekani wajiandae ila hatuwezi kuruhusu Watu wachache wavuruge Nchi kwasababu wamekosa madaraka”
“Habari ya kusema mnataka kuandamana mnavunja sheria na ukivunja sheria usilaumu Jeshi, ukivunja sheria umeingia kwenye uhalifu, Sirro hatokuacha na Polisi hawatokuacha na ndio maana wanafanya siasa kwa sababu amani na utulivu upo, Sisi hatufanyi Siasa”
“Niwaombe Watanzania ambao wameambiwa mkusanyike kutoka Mara kutoka wapi sijui na muelewe Mahakamana ni kituo nyeti ni kama Kituo cha Polisi ukitaka kuvamia utakung’utwa kwa mujibu wa sheria sababu umetaka sasa kama kuna Mtu maisha yamemshinda aje ila asije kulalamika, hii kesi iko Mahakamani tuiachie Mahakama iamue”
Mbona nimekuuliza swali rahisi. .CCM inahusikaje na ugaidi anaohusishwa mbowereeWewe kapuku huelewe nchi inaenda wapi. Kwani dola inaongozwa na nani?? Si ni chama tawala
Mshahara wa dhambi ni mauti ni kweli kwa hiyo unataka kutuambia dhambi ya ugaidi adhabu yake itakuwa hiyoWewe umeshanogewa kumwaga damu za watu,lakini saa yaja na haiko mbali nawe utawekwa kikaangoni. Kuna maisha baada ya upolisi na wewe siye wa kwanza kushika hiyo nafasi. Mwisho wa ubaya ni aibu na mshahara wa dhambi ni mauti.
Katibu Mkuu wa chadema Mnyika anapaswa achunge sana kauli zake za kuhamasisha maandamano yenye lengo la kuvunja amani ya nchi.
Asije akalilaumu Jeshi la Polisi endapo atachukuliwa hatua za kisheria.
Huwezi kuhamasisha maandamano ya kushinikiza mahakama itoe haki!! kitendo hiki ni uvunjaji wa sheria.
Mnyika na Mrema wawe makini sana, watanzania hatuko tayari kuona watu.wachache wanajaribu kuchokonoa amani ya nchi yetu, na tunaliomba Jeshi letu kamwe lisivumilie wala kuwachekea.
Tupe ushahidi tumalize mjadalCCM inahusika kum-bambikia kesi ya ugaidi mbowe