Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Je IGP anamuona Mboye kama sheteani?Ameshasema ambaye maisha yamemshinda aende kuandamana pale mahakamani atapigwa mpaka achakae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je IGP anamuona Mboye kama sheteani?Ameshasema ambaye maisha yamemshinda aende kuandamana pale mahakamani atapigwa mpaka achakae
Nenda mtaani kaandamane acha kutokisa mackalio humu mtandaoniSirro ufahamu kuwa sisi kama watu wenye akili zetu:
1. Tunajua kuwa mwenyekiti Mbowe mmembambikizia kesi
2. Tuko kwenye nafasi za kujua mnambambikizia kesi
3. Tunajua ni haki yetu kuja mahakamani
4. Tunakutaka ujue tutakuwapo mahakamani wala usitutishe
5. Tunakutaka umwogope Mungu wako kwani kushuhudia uongo huku ukilitaja jina lake bure, Mola anakataza
6. Tunakutaka uwashauri wenzio mtafute magereza zaidi ya kutuweka katika mamilioni yetu
7. Tunakutaka uziheshimu haki zetu
8. Tunakutaka uheshimu katiba
Ni hayo tu. Kwako kamanda.
Kwasababu miaka yote amegoma kuwa mateka wa CCM na vibaraka wao.Kwanini una amini Mbowe hawezi kuwa gaidi kamwe....?
safi sana IGP, mbowe sio malaika, anaweza kufanya makosa, amepelekwa mbele ya chombo cha kutoa haki, tusubiri mahakama itoe haki. anayefikiri anaweza kuandamana kuishinikiza mahakama atakuwa anaingilia uhuru wa mahakama, hatuwezi kuishi as if hakuna serikali, lazima tuheshimu serikali na sheria. watakaoandamana wasilaumu mtu, wajilaumu wenyewe au la waishie kuandamana mitandaoni, nako wafuateni wakamatwe humohumo. pia msimsahau maria sarungi, ndio kirusi namba moja wa nchi hii.View attachment 1877322
IGP Simon Sirro leo Agosti 2, 2021 akizungumza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe
IGP Simon Sirro leo Agost 2,2021 amefanya mkutano na Waandishi wa Habari ambapo amezungumza mbalimbali kuhusu kukamatwa na Mwenyekiti wa Chadema pamoja na vuguvugu la kutaka kufanya maandamano. Akiwa katika mkutano huo SIrro alisema yafuatayo:
“CHADEMA wanaona Mwenyekiti wao (Mbowe) ameonewa na wanasema hawezi kuwa hivyo wanamuona ni Malaika hawezi kufanya kosa”
“Kabla ya Uchaguzi nilisema kuna Watu wamepanga kuhakikisha Uchaguzi haufanyiki, nilisema kuna baadhi ya Watu wamepanga kulipua visima vya mafuta na kufanya mauaji ya Viongozi na nilisema tutawakamata kabla hawajafanya hivyo”
“Tuliwakamata kabla, hayo ya Mwenyekiti wao (Mbowe) sitaki kuzungumzia sana lipo Mahakama ila wajue yeye ni Binadamu kama Binadamu wengine na anaweza kufanya kosa tumempeleka Mahakamani tuache Mahakama itimize wajibu wake”
“Kama kweli ni mkweli Mwenyekiti wao (Mbowe) na anamuamini Mungu waende wamuulize habari hiyo, kuna mambo unaweza kuyafanya kwamba ni siri lakini ndio mana Vyombo vya Habari vipo, niwaombe Watanzania wenzangu usilolijua ni kama usiku wa giza usiingie kwenye mtego ambao hujui aliyeutega ana jambo gani”
“Waende wamuulize huyo Mtu tuliyempeleka Mahakamani (Mbowe) kwamba hili jambo unalijua na kama ni ukweli ana Dini yake na anamjua Yesu Kristo aende aaambiwe, tunamuonea kwa lipi ?, tupate nini?, tuna ushahidi wa kutosha tuache Mahakama iamue, kafanya Yes hakufanya Yes lakini habari ya kikundi cha Watu kusema tunataka kuandamana wewe ni nani Bro!? hiyo nafasi hauna”
Awaonya Wanaotaka kuandamana
“Niwaombe Watanzania tuache wale Watu wachache ambao wanataka kupambana na Serikali wapambane nayo labda wana sababu zake lakini Mtu wenye hekima na busara anielewe, lakini kikubwa kama wameandaa kwenda Canada au Marekani wajiandae ila hatuwezi kuruhusu Watu wachache wavuruge Nchi kwasababu wamekosa madaraka”
“Habari ya kusema mnataka kuandamana mnavunja sheria na ukivunja sheria usilaumu Jeshi, ukivunja sheria umeingia kwenye uhalifu, Sirro hatokuacha na Polisi hawatokuacha na ndio maana wanafanya siasa kwa sababu amani na utulivu upo, Sisi hatufanyi Siasa”
“Niwaombe Watanzania ambao wameambiwa mkusanyike kutoka Mara kutoka wapi sijui na muelewe Mahakamana ni kituo nyeti ni kama Kituo cha Polisi ukitaka kuvamia utakung’utwa kwa mujibu wa sheria sababu umetaka sasa kama kuna Mtu maisha yamemshinda aje ila asije kulalamika, hii kesi iko Mahakamani tuiachie Mahakama iamue”
Nikuulize wewe zwazwa,...mnajuaje kama ni kesi ya kubambika una ushahidi au unalopoka kama inzi wa chooniSirro ufahamu kuwa sisi kama watu wenye akili zetu:
1. Tunajua kuwa mwenyekiti Mbowe mmembambikizia kesi
2. Tuko kwenye nafasi za kujua mnambambikizia kesi
3. Tunajua ni haki yetu kuja mahakamani
4. Tunakutaka ujue tutakuwapo mahakamani wala usitutishe
5. Tunakutaka umwogope Mungu wako kwani kushuhudia uongo huku ukilitaja jina lake bure, Mola anakataza
6. Tunakutaka uwashauri wenzio mtafute magereza zaidi ya kutuweka katika mamilioni yetu
7. Tunakutaka uziheshimu haki zetu
8. Tunakutaka uheshimu katiba
Ni hayo tu. Kwako kamanda.
Wengi wanao ongea hivi wapo ubeligijiSirro ufahamu kuwa sisi kama watu wenye akili zetu:
1. Tunajua kuwa mwenyekiti Mbowe mmembambikizia kesi
2. Tuko kwenye nafasi za kujua mnambambikizia kesi
3. Tunajua ni haki yetu kuja mahakamani
4. Tunakutaka ujue tutakuwapo mahakamani wala usitutishe
5. Tunakutaka umwogope Mungu wako kwani kushuhudia uongo huku ukilitaja jina lake bure, Mola anakataza
6. Tunakutaka uwashauri wenzio mtafute magereza zaidi ya kutuweka katika mamilioni yetu
7. Tunakutaka uziheshimu haki zetu
8. Tunakutaka uheshimu katiba
Ni hayo tu. Kwako kamanda.
Hii kesi naifananisha na ile kesi ya Lwakatale aliyotengenezewa.View attachment 1877322
IGP Simon Sirro leo Agosti 2, 2021 akizungumza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe
IGP Simon Sirro leo Agost 2,2021 amefanya mkutano na Waandishi wa Habari ambapo amezungumza mbalimbali kuhusu kukamatwa na Mwenyekiti wa Chadema pamoja na vuguvugu la kutaka kufanya maandamano. Akiwa katika mkutano huo SIrro alisema yafuatayo:
“CHADEMA wanaona Mwenyekiti wao (Mbowe) ameonewa na wanasema hawezi kuwa hivyo wanamuona ni Malaika hawezi kufanya kosa”
“Kabla ya Uchaguzi nilisema kuna Watu wamepanga kuhakikisha Uchaguzi haufanyiki, nilisema kuna baadhi ya Watu wamepanga kulipua visima vya mafuta na kufanya mauaji ya Viongozi na nilisema tutawakamata kabla hawajafanya hivyo”
“Tuliwakamata kabla, hayo ya Mwenyekiti wao (Mbowe) sitaki kuzungumzia sana lipo Mahakama ila wajue yeye ni Binadamu kama Binadamu wengine na anaweza kufanya kosa tumempeleka Mahakamani tuache Mahakama itimize wajibu wake”
“Kama kweli ni mkweli Mwenyekiti wao (Mbowe) na anamuamini Mungu waende wamuulize habari hiyo, kuna mambo unaweza kuyafanya kwamba ni siri lakini ndio mana Vyombo vya Habari vipo, niwaombe Watanzania wenzangu usilolijua ni kama usiku wa giza usiingie kwenye mtego ambao hujui aliyeutega ana jambo gani”
“Waende wamuulize huyo Mtu tuliyempeleka Mahakamani (Mbowe) kwamba hili jambo unalijua na kama ni ukweli ana Dini yake na anamjua Yesu Kristo aende aaambiwe, tunamuonea kwa lipi ?, tupate nini?, tuna ushahidi wa kutosha tuache Mahakama iamue, kafanya Yes hakufanya Yes lakini habari ya kikundi cha Watu kusema tunataka kuandamana wewe ni nani Bro!? hiyo nafasi hauna”
Awaonya Wanaotaka kuandamana
“Niwaombe Watanzania tuache wale Watu wachache ambao wanataka kupambana na Serikali wapambane nayo labda wana sababu zake lakini Mtu wenye hekima na busara anielewe, lakini kikubwa kama wameandaa kwenda Canada au Marekani wajiandae ila hatuwezi kuruhusu Watu wachache wavuruge Nchi kwasababu wamekosa madaraka”
“Habari ya kusema mnataka kuandamana mnavunja sheria na ukivunja sheria usilaumu Jeshi, ukivunja sheria umeingia kwenye uhalifu, Sirro hatokuacha na Polisi hawatokuacha na ndio maana wanafanya siasa kwa sababu amani na utulivu upo, Sisi hatufanyi Siasa”
“Niwaombe Watanzania ambao wameambiwa mkusanyike kutoka Mara kutoka wapi sijui na muelewe Mahakamana ni kituo nyeti ni kama Kituo cha Polisi ukitaka kuvamia utakung’utwa kwa mujibu wa sheria sababu umetaka sasa kama kuna Mtu maisha yamemshinda aje ila asije kulalamika, hii kesi iko Mahakamani tuiachie Mahakama iamue”
Atakaye waponda na kuwavunja watu wanao tafuta haki yao kwa njia za amani bila kuvunja sheria yoyote, ndiye shetani! Makosa yake huyo pamoja na wewe nyumba ndogo yake, yatahukumiwa, kama siyo leo kesho, kitawapata kile cha March kilichompata kubwa la majambazi!We wachuuze tu wenzio wakati wewe utakuwepo mahakamani kwa kutmia mitandao wenzio wakapondwe pondwe wavunjwe miguu keshoyake uje tena kuwapa pole na kulaumu polisi sana
FREE FREEMAN. Kilangila.unaongea utafikiri kweli unaweza kuingia hata huko barabarani hakuna mjinga wa kiwango cha mawazoyako atakaye enda kuandamana kwa taarifa yako mifano iko mingi lissu aliwaambia watu waingie barabarani yeye akaondoka na hakuingia mtu sasa kila mtuyko na shughurizake hakuna mwenye muda mchafu na mbowe
“Niwaombe Watanzania tuache wale Watu wachache ambao wanataka kupambana na Serikali wapambane nayo labda wana sababu zake lakini Mtu wenye hekima na busara anielewe, lakini kikubwa kama wameandaa kwenda Canada au Marekani wajiandae ila hatuwezi kuruhusu Watu wachache wavuruge Nchi kwasababu wamekosa madaraka”
Hatutaki!Waislamu naomba Siro awekewe Fatwa, basi!
Tangulia tutakukuta hukoSirro ufahamu kuwa sisi kama watu wenye akili zetu:
1. Tunajua kuwa mwenyekiti Mbowe mmembambikizia kesi
2. Tuko kwenye nafasi za kujua mnambambikizia kesi
3. Tunajua ni haki yetu kuja mahakamani
4. Tunakutaka ujue tutakuwapo mahakamani wala usitutishe
5. Tunakutaka umwogope Mungu wako kwani kushuhudia uongo huku ukilitaja jina lake bure, Mola anakataza
6. Tunakutaka uwashauri wenzio mtafute magereza zaidi ya kutuweka katika mamilioni yetu
7. Tunakutaka uziheshimu haki zetu
8. Tunakutaka uheshimu katiba
Ni hayo tu. Kwako kamanda.
Huko nyuma tulikuwa na siasa za matusi kudharau viongozi wa kitaifa na kuwadhalilisha...kuyumbisha wananchi na siasa za utapeli na uongoHii nchi wanakoipeleka siyo, kutoka kwenye siasa za hoja kwa hoja mpaka kwenye siasa za kuharibiana maisha, wanatengeneza visasi vitakavyokuja kuleta madhara kwa taifa inaweza isiwe leo wala kesho
Mwendazake ametuachia taifa la ovyo sana katuaribia nchi, hatukua na siasa za hivi na hata kama zilikuepo si kwa kiwango hiki.
Naona ule mkwara wa kuachia watu na kufuta kesi ilikua ni kusafishia njia mashekh wa uamusho
Yes. FREE FREEMAN. Kilangila.Porojo hizi Sirro akawaambie ndege. Mbowe hatapambana peke yake kama ambavyo mngependa. Yote hapa chini ni thabiti:
View attachment 1877325
Tuna ya kumwuliza Sirro wala si Mbowe.
Kwenye hili tambueni, kama ni disko basi kumeingia morani na sime lake. Asije mtu akasema laiti angelijua.
Hatuna haja ya kuendelea kukumbushana:
Kudai haki hakuwezi kuwa bila gharama
Kuna thwawabu kubwa kwa wote wasimamao kuipigania haki kwa ajili ya wote. Kwa maana njia hiyo si kila mtu anaweza kuipita. Njia hii si lazima kwa kila mtu kuipita. Waipitao njia hii ni wale tu walio na wito kamili. Kama ile iendayo uzimani, ina vikwazo vingi. Kipi ambacho kamanda Mbowe...www.jamiiforums.com
Gharama yote tuko tayari kuilipa na kiroho safi.