IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Jeshi la Polisi limeundwa kwa mujibu wa sheria na moja ya majukumu yake makubwa ni KULINDA RAIA NA MALI ZAO, lkn pia kulinda AMANI na UTULIVU.
haijalishi yeyote atakaye vunja sheria atachukuliwa hatua kali za kisheria bila kujali chama chake awe ccm, chadema au hata kama hana chama atachakazwa vilivyo.
Amani ya nchi yetu ni muhimu zaidi kuliko chama chochote kile.
 
Nenda mtaani kaandamane acha kutokisa mackalio humu mtandaoni
 
Sirro anataka kucheza na akili za nani? kusema mna ushahidi wa kutengeneza sio kigezo cha kuaminiwa.

Kama ni suala la kuchoma vituo vya mafuta wakati wa uchaguzi mlikuwa wapi mpaka mje kumkamata Mbowe baada ya zaidi ya miezi sita toka uchaguzi ufanyike? tena baada ya Mbowe kulazimisha kupigania haki ya kikatiba ya kukutana na kujadili kuhusu katiba mpya?

Sirro kama ofisi ya IGP imemshinda ni vyema akachukue kadi ya CCM au kama anayo atafute namna awaombe CCM wampe cheo, pia aache kuingilia mahakama zetu.
 
safi sana IGP, mbowe sio malaika, anaweza kufanya makosa, amepelekwa mbele ya chombo cha kutoa haki, tusubiri mahakama itoe haki. anayefikiri anaweza kuandamana kuishinikiza mahakama atakuwa anaingilia uhuru wa mahakama, hatuwezi kuishi as if hakuna serikali, lazima tuheshimu serikali na sheria. watakaoandamana wasilaumu mtu, wajilaumu wenyewe au la waishie kuandamana mitandaoni, nako wafuateni wakamatwe humohumo. pia msimsahau maria sarungi, ndio kirusi namba moja wa nchi hii.
 
Nikuulize wewe zwazwa,...mnajuaje kama ni kesi ya kubambika una ushahidi au unalopoka kama inzi wa chooni
Sheria za mahakamani zipo wazi wala sio za kufundishwa Leo. ..mkiamua kuzivunja mnakuwa mmekiuka Sheria name lazima mchukuliwe hatua kali. ..tatizo lenu hamumjui Mbowee
 
Narudia tena, hilo jeshi ni la wala rushwa, wao pamoja na watawala wanalindana kwenye uchafu wao. Hii ndio maana ccm inapora uchaguzi kwa kushirikiana na jeshi la polisi. Haya yote yanafanyika kwa minajili ya nilinde kwa jua, nikulinde kwa mvua. Wafuatilie vizuri vigogo wote wa polisi, na polisi wengi tu wana miradi isiyoendana na vipato vyao. Watawala wanajua uchafu huo, ndio maana inakuwa rahisi wao kuwatumia kulinda utawala wa majizi ya kura. Machafuko pekee yake ndio yataondoka hili kundi la majizi. Ni suala la muda tu tutaheshimiana.
 
Wengi wanao ongea hivi wapo ubeligiji
 
Hii kesi naifananisha na ile kesi ya Lwakatale aliyotengenezewa.
 
We wachuuze tu wenzio wakati wewe utakuwepo mahakamani kwa kutmia mitandao wenzio wakapondwe pondwe wavunjwe miguu keshoyake uje tena kuwapa pole na kulaumu polisi sana
Atakaye waponda na kuwavunja watu wanao tafuta haki yao kwa njia za amani bila kuvunja sheria yoyote, ndiye shetani! Makosa yake huyo pamoja na wewe nyumba ndogo yake, yatahukumiwa, kama siyo leo kesho, kitawapata kile cha March kilichompata kubwa la majambazi!
 
FREE FREEMAN. Kilangila.
 
 
Tangulia tutakukuta huko
 
Huko nyuma tulikuwa na siasa za matusi kudharau viongozi wa kitaifa na kuwadhalilisha...kuyumbisha wananchi na siasa za utapeli na uongo
Kujifanya mnafanya siasa na kutafuta demokrasia kumbe mnattafuta fursa za kujineemesha wenyewe
Tulishuhudia viongozi wenu baadhi wakienda kuficha mahela nye
Siasa za ushoga na kutetea biashara hiyo na mpaka Sasa mnafadhiliwa na taasisi hizo
 
Yes. FREE FREEMAN. Kilangila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…