IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Mimi kama mtoto wa mchugaji nimetulia kama nasubiri mda wa sadaka kanisani, maana Chadema walimsema sana Magufuli na mara tu mama alipoingia mimi nilishangaa kuona mama kuwa Bawacha kama wa Ufipa, ngoja niendelee kusikiliza dozi kutoka kwa mama kama zinazidi za mwendazake au bado.
Chadema ni kama inashangaza yaani, haijijui yenyewe ni kinanani mara wamemchukuwa Lowasa, mara mpaka mama juzi walimuingiza bawacha, sasa sijui wanaotaga kitonga tu hii mambo ya siasa nyepesi sijui mtaachalini, sasa angalia sisi tunaongozwa na sharia na Mboe yupo mikononi mwa sharia sasa sielewi wanataka.

Siro anaonea lugha nyepesi kuwa Mbowe ajatoka mbinguni na si malaika, maana IGP naye hajui kuwa kunamalaika waliwai kuharibu sasa sembuse Mbowe. Minashauri kama polisi wakiwachapa hao waandamanaji hicho kichapo cha mbwa koko wahakikisha wanawapa panado na fenegani.
 
What kind of IGP we have? Is it a Tanzanian or illegal migrant from Rwanda? Tunaelewa mashtaka ya Mbowe Ni ya kipumbavu na hayana msingi wowote,free Freeman Mbowe .
Wewe ndio pumbaffff nadhani kama sio prove hapa kwa kuleta ushahidi wako kwamba mashtaka hayana msingi wowote
 
Acheni utoto, hizo mbinu ni so outdated, na sababu hasa ni kuwa na vyombo vya dola vilivyojaza mazee.
Jibu swali kwanza Wewe zwazwa..kwann unaamini mbowee hawez kuwa Gaidii
 
Matusi ya nini? kwani huwezi kujibu bila matusi. kama matusi ni mazuri , nawe nakutukana ...Inzi wa chooni mama yako, potelea mbali.
 
Jibu swali kwanza Wewe zwazwa..kwann unaamini mbowee hawez kuwa Gaidii

Hao polisi walioshindwa hata kumkamata mtu aliyejiunganishia bomba la mafuta hapa Dar, ndio watakuwa na uwezo wa kumjua gaidi? Huyo Siro ni mla rushwa, anachofanya hapo ni kutekeleza watakacho majizi ya kura ili wasimtoe kwenye cheo cha ulaji rushwa. Mnajua ugaidi nyie, ama mnaendekeza siasa za kisengerema nyie mapunga wajane?
 
IGP bila aibu ameshindwa kuelezea ilikuwaje ukamatwaji wa Mbowe uhusishwe na kuwakamata/kuwadhalilisha wanaodai Katiba mpya...walishindwa nini kumfuata kwake Hai na kumkamata mpaka wasubiri kongomana la Mwanza? uongo mwingine basi upikwge kidogo...
 
Mbona IGP hajataja sheria inayokataza maandamano, na pia anasema wanao ushahidi mbona mashitaka yenyewe haya huo ushahidi hakuna kituo kimetajwa ambacho kilitaka kuchimwa na siku gani hakuna kiasi cha pesa kimetajwa kilichotumika kufadhili ugaidi, na hilo shitaka la kuua viongozi ndio uwongo wake mbona kwenye hati ya mashitaka halipo. Ati wana ushahidi wa kusema upelekze haujakamilika, Kwani wale mashehe mbona ushahidi waliokuwa nao haukuomekana mahakamani.
 
Matusi ya nini? kwani huwezi kujibu bila matusi. kama matusi ni mazuri , nawe nakutukana ...Inzi wa chooni mama yako, potelea mbali.
Hahaha jibu hoja jomba msilopoke hovyo Bila data...mtafungwa
 
Kwahhiyo haya ndio majibu yako....Tanzania kweli bado. ...ndio maana mnapelekeshwa na magaidii bila kujijua
 

Hao ni waongo sana umesikia amezungumzia tuhuma za kutaka kuua viongozi mbona kwenye hati ya mashitaka hakuna huo si uwongo wa waziwazi kabisa IGP anapokuwa muongo ni janga la taifa naona sasa hii amani imefika mwisho
 
Wewe umeshanogewa kumwaga damu za watu,lakini saa yaja na haiko mbali nawe utawekwa kikaangoni. Kuna maisha baada ya upolisi na wewe siye wa kwanza kushika hiyo nafasi. Mwisho wa ubaya ni aibu na mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Wewe kapuku huelewe nchi inaenda wapi. Kwani dola inaongozwa na nani?? Si ni chama tawala
Mbona nimekuuliza swali rahisi. .CCM inahusikaje na ugaidi anaohusishwa mboweree
 
Wewe umeshanogewa kumwaga damu za watu,lakini saa yaja na haiko mbali nawe utawekwa kikaangoni. Kuna maisha baada ya upolisi na wewe siye wa kwanza kushika hiyo nafasi. Mwisho wa ubaya ni aibu na mshahara wa dhambi ni mauti.
Mshahara wa dhambi ni mauti ni kweli kwa hiyo unataka kutuambia dhambi ya ugaidi adhabu yake itakuwa hiyo
 

Labda kama hukumsikiliza amesema maandamano ya amani ambayo yanaruhusiwa kisheria sasa achunge nini Kwani kwenye nchi za demokrasia kuandamana sasa limekuwa kosa la jinai nani amewahi kufungwa kwa kosa la kuandamana hebu tusifanywe wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…