IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

Kwanini na wewe usianzishe chama/saccos yako ufaidike ili usiwe unaumia pale unapoona mbowe anafaidika?
 
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake

Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Unajaribu kutuaminisha nini?.. HEBU JIULIZE HAYA
1;. Kutokuwepo kwa Lissu kuliwazuia polisi kupeleleza nani aling'oa CCTV camera?.
2;.Kutokuwepo kwa Lissu kunawazuia Polisi kupeleleza nani aliwaondoa Walinzi waliotakiwa kuwepo eneo hilo kama kawaida?..
KWA HIYO LISSU ; Polisi UNATAKA tuamini kua Lissu anamjua alien mshambulia ,,ila Hataki kumweka hadharani kwa Nini?.. UNAWEZA mficha Adui anae tishia uhai wako kwa mamlaka zinazokulinda?... (duh inawezekana kama mamlaka hizo ndo Adui mwenyewe)...
NAJUA SIRRO ANAFANYA HIVI KUWALIDHISHA WALIO MTEUA
 
Mbowe peke yake anatumia zaidi ya 50% ya bajeti ya ccm kuua upinzani.
 
Usimfananishe hitler na Rais Mzalendo Magufuli
Rais Magufuli ni mtumishi wa Mungu
 
Mimi naona dereva ni wa muhimu Kwasababu anajua kila kitu
Hilo swali la kifala kwani kila shambulio wote hujeruhiwa? Wapo wanaonusurika, hata ajali wapo wanaokufa na kunusurika acha mifano ya kijuha, Dereva hajafichwa wanasubiria mlete cctv camera na walinzi wa getini kwanza
 
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake

Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Serikali oga kisengeeeee!
 
Lisu akijua mbowe ni mastermind wa tukio lake sijui itakuwaje

Walipanga wote yaani Lissu na Mbowe na wengine pia kwa nia ya kuonyesha kuwa ameshambuliwa lakini asiumie sana. Bahati mbaya kwa Lissu wenzake walibadilisha gear angani wakataka kuchukua roho yake. Hapo yakatokea yaliyotokea.
 
Sio mchezo
 
Hapo kuna mchezo
 
Kumbe ilikuwa hivi!
Walipanga wote yaani Lissu na Mbowe na wengine pia kwa nia ya kuonyesha kuwa ameshambuliwa lakini asiumie sana. Bahati mbaya kwa Lissu wenzake walibadilisha gear angani wakataka kuchukua roho yake. Hapo yakatokea yaliyotokea.
 
Hili jambo linahitaji umakini mkubwa ukienda kwa pupa utaishia kuilamu serkali kuna mambo mengi yamejificha nyuma ya pazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…