Donasian kabengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2016
- 791
- 405
Acha upuuziHuo ndio utaratibu kwa sababu kuna watu walitaka kumuua. TL kama mwanasheria analifahamu hilo hata waliomuwekea dhamana kawakimbia. Just imagine inamuwekea dhamana then unapata matatizo, uzuri wameondoa zile dhamana. Hivi vyama vya mfukoni ooops vyama vya Ukoo oops ni SACOS ina shida inamtajirisha Mbowe na familia yake pekee..
Mkuu lile shambulio lina utata
Hujiulizi Kwanini dereva hakuumia?
Ndiyo mkataka kumuua washamba Nyie
Sirro ni UTOPOLO.
Lissu ndiye anakwamisha upelelezi wamemficha dereva
Hapa ngoja nipite kimya kimya
Ni maajabu yanayoweza onekana na wale watekelezaji wa sheria wa Tanzania pekeeKwa hiyo alieshambuliwa anageuka kua mhalifu? 🙆🏿🤷🏿
Kwa nini lile gari alilosema linamfuatilia hawakulikamata?Kwanini dereva wake walimficha? tujiulize hapa
Ulitaka aumie,unashangaa kutoumia kwa dereva wake hushangai kwa nini Lisu hakufa.
Maelezo ni dereva aliruka akaingia uvunguni mwa gari la pembeni yao lisu aliinamisha kiti na alikua anageuka kutokea upande wa dereva alajifiche ndio balaa likamkuta
Huu upumbavu kuna siku utasababisha umwagaji wa damu,
CCTV camera ziko wapi?
CCM na Mataga mna Roho mbaya zaidi ya Shetani mwenyewe, Risasi mumpige na bado mnamkamata
Kwa nini lile gari alilosema linamfuatilia hawakulikamata?
Sasa yeye(Lissu) tena ndie wakuwekwa ndani?Kwa inavyoonekana kuna mchezo kati ya dereva na maadui wa lissu kisiasa kwenye chama
Huna ushahidi ni majungu tu. Twambie basi na Chacha Wangwe ni Serikali? Wacheni upuuzi wenu, mmekalia Sacos kudhulumu hata wabunge wenu leo mje kulalamikia Serikali? Njia za mwongo ni fupi mmeshikwa pabaya. Vipi DJ konyagi ilimtoa knockout!CCM na Mataga mna Roho mbaya zaidi ya Shetani mwenyewe, Risasi mumpige na bado mnamkamata
Khe khe he heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoja zimekushinda sasa unalialia kama katoto kalikokosa lawalawa.Acha upuuzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mambo yamekorogeka
Sasa yeye(Lissy) tena ndie wakuwekwa ndani?