Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Hapa inabidi iwapige hawa jamaa wenyewe ndio labda akili itawakaa sawa.Muda si mrefu Corona itapiga jitu kubwa chini na mipaka itafungwa rasmi.
Kwa sasa bado tunacheka na corona ila soon itatugeukia na kuanza kupiga watu chini.
Nadhani tusiipe kiki sana kama huko ulaya wangekuwa na malaria na nadhani corona wangeona cha mtoto
Wanasubiri nini ?
[emoji23]sie tuna kingaHata viongozi wa Iran walikuwa wakiwaza hivyo, sasa imegonga hadi kwa maayotola
Lakini ngoma ikishanoga nyie ndo wazee, kinga zenu ziko chini kuliko sisi damu moto, Corona inapenda kweli watu wa umri wenu
*quarantineChina chanzo korona, tangu 10 March wageni wote lazima wafikie guarantee in kwa siku 14! Viongozi wetu wapate uzoefu na kufanya maamuzi kwa wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bonge la swali..!! Bila shaka tufe kwanza!Wanasubiri nini ?
TwafaaaBas Kama hamfungi akikishen wagen wakiingia wawekwe sehemu hata kwa siku 14 ili tujue mbivu NA mbich sio mnawaruhusu alafu mnaanza kuwatafuta [emoji17]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia huko mkuu! Sisi siyo copy & paste! Tunafanya kitu kwa maslahi ya TZ siyo ya Wamarekani.wenzetu wamepiga marufuku kutoka nje jimbo la califonia bongo ndio bado mnaruhusu watalii waje ili watumalize duh! Argentina nayo imepiga marufuku watu kutoka nje bongo ndio kwanza leo watu walikuwa wamejazana miskitini hii imekaaje?
Hamia huko mkuu mbona unahangaika hivyo?Tena wamekiri kuwa hawana vifaa vya kutosha kuwahudumia watu wote katika hilo jimbo na ndio maana wanachukua hatua hizo.
Sasa Jimbo kubwa kama hilo na lenye uchumi ukubwa,linakiri halini vifaa vya kutosha kuukabili ugonjwa,huo sisi ndio tutaweza?