IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

Muda si mrefu Corona itapiga jitu kubwa chini na mipaka itafungwa rasmi.

Kwa sasa bado tunacheka na corona ila soon itatugeukia na kuanza kupiga watu chini.
Hapa inabidi iwapige hawa jamaa wenyewe ndio labda akili itawakaa sawa.
Ila Mungu anawaona wanachokitaka watakipata
 
Hayo ndo maneno ya watu mliopanga misururu kuwapigia kura waingie madarakani sasa wananchi kwenye maafa hawana maana yeyote waachiwe wafe halafu izo hatua ndio zichukuliwe, wtz ni majuha kiasi gani wanasubiri nini tena kauli kama hizi kipindi ichi
 
DUH this is very serious.

Hili ni suala la kitabibu, polisi analizungumziaje suala hili
 
Hii nchi kila mtu ni mtaalamu. Sasa hata huyu mtaalamu wa uhalifu (criminal scientist) amekuwa mtaalamu wa afya na epidemic
 
Ashukuru Cyber Crime Act inamlinda vinginevyo huu ni upumbavu kabisa.
 
Uganda hana mgonjwa lakini kafunga shule... safi sana
 
Wenzetu wamepiga marufuku kutoka nje jimbo la Califonia Bongo ndio bado mnaruhusu watalii waje ili watumalize duh! Argentina nayo imepiga marufuku watu kutoka nje Bongo ndio kwanza leo watu walikuwa wamejazana misikitini hii imekaaje?
 
Tena wamekiri kuwa hawana vifaa vya kutosha kuwahudumia watu wote katika hilo jimbo na ndio maana wanachukua hatua hizo.

Sasa Jimbo kubwa kama hilo na lenye uchumi mkubwa linakiri halini vifaa vya kutosha kuukabili ugonjwa,huo sisi ndio tutaweza?
 
wenzetu wamepiga marufuku kutoka nje jimbo la califonia bongo ndio bado mnaruhusu watalii waje ili watumalize duh! Argentina nayo imepiga marufuku watu kutoka nje bongo ndio kwanza leo watu walikuwa wamejazana miskitini hii imekaaje?
Hamia huko mkuu! Sisi siyo copy & paste! Tunafanya kitu kwa maslahi ya TZ siyo ya Wamarekani.
 
Tena wamekiri kuwa hawana vifaa vya kutosha kuwahudumia watu wote katika hilo jimbo na ndio maana wanachukua hatua hizo.

Sasa Jimbo kubwa kama hilo na lenye uchumi ukubwa,linakiri halini vifaa vya kutosha kuukabili ugonjwa,huo sisi ndio tutaweza?
Hamia huko mkuu mbona unahangaika hivyo?
 
Back
Top Bottom