IGP Sirro: Hatuna barua ya kumkamata Askofu Gwajima, utaratibu ufuatwe

Huyo zero ni kubwa jinga fulani. Zile wanazoita amri kutoka juu huwa kuna barua?
 
Kwa hiyo wale mnaowambabika kesi kumbe mnaandikawaga barua zinazowapa maelekezo ya kuwakamata na za kuwapa kesi za kubumba siyo??
 
Leo wanaenda kwa maandishi!!!! Wakuu wa wilaya na mkoa walisema kamata huyu weka ndani, mbona wanatii!!!!
 
Huyu Siro kipindi kila alikuwa anakoromewa na Makonda..Sasa hivi anajifanya anafuata kanuni na sheria?
 
Kuna baadhi ya Watanzania ni wapumbavu sana, yaani amri ya kumkamata Gwajiboy itoke kwa rais?
Acheni kumpa uspecial huyo tapeli ndio maana anaropoka anavyotaka.
Kipindi alivyokuwa anakamatwa na Makonda rais alihusika?
Sidhani kama umeelewa, kinachopaswa kufanywa ni waziri kumueleza IGP kwa maandishi. Wala sio lazima raisi atoe tamko
 
Kwamba Mkuu wa wilaya anaweza kuitisha majeshi kufanya kitu fulani?
Salute ni ishara ya heshima, hiyo haina maana kwamba kila anaepigiwa salute anaweza kumuamrisha yule anaepiga salute wakati wowote,na kwanza sio simple hivyo kama unavyodhani unless kuwe na go-ahead kutoka kwa Amri jeshi.

Yaani CDF apewe amri na Mkuu wa wilaya? Kwamfano Albert Msando asimame jukwaani kumpa amri MABEYO alafu itekelezwe?😳

Moja Kati ya hoja ya kijinga kabisa kwenye huu mjadala.
 
Huyu mama gwajima wakupuuzwa kabisaaa,ukimuangalia ktk ile video baada ya kuchwanjwa anavyokimbia kimbia utajua kuna nati inechomoka.
Rudi ktk zile video za kupiga nyungu na wakikimbia na mumewe aisee Huyu kuna sehemu ipo tatzo
 
Unaishi Tanzania hii?
Una umri gani?
Kua uyaone.
 
achana na huyo mama hana akili asitake jeshi la polisi lifanyie kazi ushakunanku wake ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…