Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Mara binti akadisco university . Sijui yeye hakuwa kilaza ?!Huwa wanakuwa na akili za punda hao.Mwingine aliita watoto wa watu vilaza.Mara hataki wanafunzi waliopata watoto waendelee na masomo.Tafrani tupu.Saa hizi anapiga soga na mashetani wenzie tu huko kuzimu.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Mkuu ongeza nyama, nani ana bar Chanika ?
Ajabu kabisa.Hawajui watu wana ABC zao hadi za keshokutwa.😂😂😂Mara binti akadisco university . Sijui yeye hakuwa kilaza ?!
kuna watu pia wanataka kupitishia ajenda zao kwenye hili jambo maana kuna wanaoutaka u IGP wameanza kampeni lazima watumie mistake yeyete ambayo Siro atafanya kumu attack awe mwangalifu kwa kauli na matendo yake amalizie muda wake vizuriKwanini mnaeneza chuki?
Itawasaidia nini?!
Mtoa uzi, shikamoo....!!!!. Inawezekana nakuzidi umri,lkn nimekupa salamu hii km ishara ya kuheshimu busara zako zilizoonekana ktk uzi huu, Kweli pale hatuna IGP, nashangaa Kwanini amekuwa na mihemko kiasi kile, nadhani angejikita kujua Kwanini mtu ambaye Chama tawala kilimwani hata kuwa mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Ilala,Dola yenyewe ilimwamini ndio maana alimiliki silaha kisheria,Haya hata ktk kuua,aliua Askari tu,na si raia, Kwanini??.Sirro km mtu mzima ilipaswa atafakari hayo na si kuwalaumu Wazazi wake Hamza na kuwapaka matope.IGP Sirro jana umetoa kauli nzito na ngumu mno kutolewa na kiongozi wa aina yako na mtu mwenye umri mkubwa kama wewe na mtu anayeheshimika kwa cheo chake kama wewe.
Angalia sana ulimi wako jinsi unenavyo, muombe sana Mungu akupe hekima ili kabla ya kutamka neno lolote hekima ikutangulie.
Jana ulitamka maneno haya nami nakunukuu.
" Watanzania kuweni makini msije mkazaa mtoto wa hovyo hovyo kama Hamza aliyetuletea majanga Watanzania, wazazi wa Hamza mnajisikiaje kuzaa mtoto kama huyo? Na nyie ndugu zake mnajisikiaje kuwa na ndugu kama Hamza?".
Mwisho wa kunukuu.
IGP Sirro, hakuna mzazi anayepanga azae mtoto wa aina gani, Binadamu tunazaa mwili hatuzai Roho.
Kuna kijana anasumbua sana mitaani, anajitapa kwamba hakuna wa kumfanya lolote kwa sababu Baba yake ana cheo kikubwa mno serikarini, kijana huyo huvuta unga na kwenda hadi kwenye Hotel ya Baba yake iliyoko Chanika ambako hufanya vituko vya ajabu,ukiwemo kupiga watu.
Je?! unajua huyo mtoto ni wa nani? Tafadhali sana, wazazi wa Hamza hawakujua kama wanazaa mtoto wa aina gani, hata wazazi wako wewe Sirro hawakujua kama ipo siku utakuja kuwa IGP.
JITOKEZE UIOMBE MSAMAHA FAMILIA YA HAMZA ILI ULINDE HESHIMA YAKO.
Umenena vema Mkuu.Na tiba pekee kwake ni toba na kumrudia MUNGU.Siro ukimwangalia mwonekano wake kimwili utadhani ni mtu wa kuheshimika sana!
Hapana, kuna wakati hata matamshi yake yalionekana kuwa ya mtu mwenye busara.
Haieleweki ni kitu gani hasa kimembadilisha akili kiasi hiki alivyokuwa sasa?
Unajua, inasemekana damu za binaadam zikimwagwa kwa uonevu tu, hazimwachi mtu anayesababisha zimwagike, ni lazima atadhurika tu kwa njia moja au nyingine.
Siro ni mhanga wa umwagaji wa damu za waTanzania ambao hawakustahili kuuliwa au kuumizwa.
Maisha yake ya uhai wake uliosalia yatakuwa ya matatizo tupu.
Duh!!!, Kumbe jamaa ni Bonge la Bepari.
Ipo Siku MUNGU atamshusha.IGP Sirro hawezi kuomba msamaha asilani, najiona ni mtu mkubwa sana na sisi wengine ni kama vikaragosi, ongea yake huwa imejaa majivuno na dharau.
Kwahiyo unahalalisha hizo kauli za Sirro? kwanini usione kuwa Sirro pia nae kakosea?Acheni kuwatoa watu kwenye mstari wa kujadili Ugaidi kwa kumnyooshea kidore IGP.
Msomali asingefanya ule Ugaidi IGP asingeyasema hayo na ameyasema kwa uchungu mkubwa kitendo kile cha kuua wale watu kinauma sana!
Mkuu nilishindwa kumtaja kwenye uzi live,mods wangeufuta,ni mtoto wa Sirro mwenyewe ndo anavuta unga na kufanya vurugu za ajabu mitaaniMkuu ongeza nyama, nani ana bar Chanika ?
Kuna wqtu wqkizeeka, busara huongezeka, lakini kuna wengine hugeuka na kuwa wendawazimu. Huyu Siro, sielewi kadiri umri wake unavyozidi kwenda, anakuwa kwenye kundi gani!IGP Sirro jana umetoa kauli nzito na ngumu mno kutolewa na kiongozi wa aina yako na mtu mwenye umri mkubwa kama wewe na mtu anayeheshimika kwa cheo chake kama wewe.
Angalia sana ulimi wako jinsi unenavyo, muombe sana Mungu akupe hekima ili kabla ya kutamka neno lolote hekima ikutangulie.
Jana ulitamka maneno haya nami nakunukuu.
" Watanzania kuweni makini msije mkazaa mtoto wa hovyo hovyo kama Hamza aliyetuletea majanga Watanzania, wazazi wa Hamza mnajisikiaje kuzaa mtoto kama huyo? Na nyie ndugu zake mnajisikiaje kuwa na ndugu kama Hamza?".
Mwisho wa kunukuu.
IGP Sirro, hakuna mzazi anayepanga azae mtoto wa aina gani, Binadamu tunazaa mwili hatuzai Roho.
Kuna kijana anasumbua sana mitaani, anajitapa kwamba hakuna wa kumfanya lolote kwa sababu Baba yake ana cheo kikubwa mno serikarini, kijana huyo huvuta unga na kwenda hadi kwenye Hotel ya Baba yake iliyoko Chanika ambako hufanya vituko vya ajabu,ukiwemo kupiga watu.
Je?! unajua huyo mtoto ni wa nani? Tafadhali sana, wazazi wa Hamza hawakujua kama wanazaa mtoto wa aina gani, hata wazazi wako wewe Sirro hawakujua kama ipo siku utakuja kuwa IGP.
JITOKEZE UIOMBE MSAMAHA FAMILIA YA HAMZA ILI ULINDE HESHIMA YAKO.
huyo mtoto wa nani ? tuanzie hapo ili mada inoge, huyo wa hoteli ya chanikaIGP Sirro jana umetoa kauli nzito na ngumu mno kutolewa na kiongozi wa aina yako na mtu mwenye umri mkubwa kama wewe na mtu anayeheshimika kwa cheo chake kama wewe.
Angalia sana ulimi wako jinsi unenavyo, muombe sana Mungu akupe hekima ili kabla ya kutamka neno lolote hekima ikutangulie.
Jana ulitamka maneno haya nami nakunukuu.
" Watanzania kuweni makini msije mkazaa mtoto wa hovyo hovyo kama Hamza aliyetuletea majanga Watanzania, wazazi wa Hamza mnajisikiaje kuzaa mtoto kama huyo? Na nyie ndugu zake mnajisikiaje kuwa na ndugu kama Hamza?".
Mwisho wa kunukuu.
IGP Sirro, hakuna mzazi anayepanga azae mtoto wa aina gani, Binadamu tunazaa mwili hatuzai Roho.
Kuna kijana anasumbua sana mitaani, anajitapa kwamba hakuna wa kumfanya lolote kwa sababu Baba yake ana cheo kikubwa mno serikarini, kijana huyo huvuta unga na kwenda hadi kwenye Hotel ya Baba yake iliyoko Chanika ambako hufanya vituko vya ajabu,ukiwemo kupiga watu.
Je?! unajua huyo mtoto ni wa nani? Tafadhali sana, wazazi wa Hamza hawakujua kama wanazaa mtoto wa aina gani, hata wazazi wako wewe Sirro hawakujua kama ipo siku utakuja kuwa IGP.
JITOKEZE UIOMBE MSAMAHA FAMILIA YA HAMZA ILI ULINDE HESHIMA YAKO.
Na angeuwa raia jamaa angepata upenyo wa kutema nyongo Ila sababu ameuwa polisi imeonekana wazi kabisa alikuwa na chuki na polisi,shida hili jambo halitazungumziwa tena maana wameshajua shida ipo wapi.Hamza angekuwa wa hovyo angeua Raia.
IGP alikuwa saidi Mwema na angalau Mangu kidogo
Simba SC ndio wanapenda kufikia hapo.lenana??!!!??
Pongezi kwa "MTOA KAULI" ' aijipii SILO" kwakuwa una mke mzuri sana, labda mke aliolewa akiwa bikra na labda huyo mke mezaa "malaika" hongera sana, mlipanga kuzaa malaika!IGP Sirro jana umetoa kauli nzito na ngumu mno kutolewa na kiongozi wa aina yako na mtu mwenye umri mkubwa kama wewe na mtu anayeheshimika kwa cheo chake kama wewe.