evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Hili tukio haliwezi kwisha nakwambia kuna watu lazima watapandishwa kizimbani.[emoji3] [emoji3] [emoji3] Hili tukio la TL nalo ifike wakati liishe na watu wafanye mambo mengine.
Mama yako au baba yako au kaka yako au dada yako au hata wewe ungepigiwa.
Nyumbu mkubwa
Sasa uhai wake na kampeni kipi bora na je alivyomaliza kampeni alienda?Yani ndiyo sirro anamuita Lissu kituoni umuhoji katikati ya ratiba za mikutano ya kampeni za urais??
Siku zote hizo Lissu alizoomba kuhojiwa hata kwa video call mlikua wapi???
Nani aliyechukiwa?Mbona unamshambulia mtu badala ya kujibu hoja yake? Siyo uungwana huo. Kama hauna hoja ni bora kunyamaza. Sasa hao ndugu zake wanahusikaje hapa? Mnafurahia vifo na maumivu ya watu ambao hawana kosa lolote. Ndio maana Mungu wa mbinguni anafanya analolijua yeye. Chuki ya nini?
Naunga mkono hojaIGP angestaafu tu abakie na heshima yake ya kuwa IGP
Hawataka waelewe kila kitu wamekalia ubishi.Sasa uhai wake na kampeni kipi bora na je alivyomaliza kampeni alienda?
Huyu mzee hana akili timamu, inamaana Lissu angekufa asingefanya uchunguzi? mpuuzi kabisaMkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo.
Sirro amesema Tundu Lissu anatumia hilo shambulio kama njia ya kujipatia kipato na kuweza kulelewa na wazungu Ulaya.
View attachment 1849358
Ukitoa Said Mwema hii nchi haijawahi kuwa na IGP tena ina makada wa CCM tupuHuyu hajui anachokisema
Kwa hio tuseme lissu angekufa siku hio na uchunguzi ndio ungeishia siku hio!?
Haya mambo hay?
Tukio la mo ndio maana hata magu alishawahi kuwaambia kua hawakueleweka kwa jamii ni nini hasa kilimtokea mo
Huyu akiendelea watu hawatakaa wafanye mikutano ya hadhara au kuidai katiba mpya kwa maandamano ya amani
Tusahau hilo
Huyu mzee ataharibu sana, alianza vizuri lakini anamaliza vibaya, Hamduni, Wambura na Ng'hanzi wanspiga jaramba kuukwaa u IGPIGP angestaafu tu abakie na heshima yake ya kuwa IGP
Nakubaliana nawe kuwa Lissu ni muhuni...ndio maana amekuzalisha akakuachia mtotoLissu mhuni kaja hapa kafanya kampeni kalamba posho kisha karudi Ubelgiji kuganga njaa.
Kuna mhuni zaidi yako wewe lesbian?Lissu mhuni kaja hapa kafanya kampeni kalamba posho kisha karudi Ubelgiji kuganga njaa.
Kila siku Lissu tangu yupo Nairobi mpaka ameenda Belgium kwenye matibu amekua akiomba kuhojiwa na polisi kwa kufatwa alipo au hata kwa teknolojia ya video mkamkwepa mmesubiri hadi alipoanza kumtia misumari mzee pombe kwenye kampeni ndiyo mnamuita kituo cha polisi,Sasa uhai wake na kampeni kipi bora na je alivyomaliza kampeni alienda?