Afatwe alipo yeye amekua NANI?Kila siku Lissu tangu yupo Nairobi mpaka ameenda Belgium kwenye matibu amekua akiomba kuhojiwa na polisi kwa kufatwa alipo au hata kwa teknolojia ya video mkamkwepa mmesubiri hadi alipoanza kumtia misumari mzee pombe kwenye kampeni ndiyo mnamuita kituo cha polisi,
hivi hata kama ingemuwa wewe ungewaamini na kujipeleka kuhojiwa?
kwa kuwa sio babako alipigwa marisasi[emoji3] [emoji3] [emoji3] Hili tukio la TL nalo ifike wakati liishe na watu wafanye mambo mengine.
Hizi akili za ki-Musiba ndiyo zinakufanya unashupaza fuvu ila ukweli unaujua deep in your heart.Afatwe alipo yeye amekua NANI?
Ukweli ninaoujua ni kwamba Lissu baada ya kuona shambulio lile ni mtaji wa kisiasa na kimaslahi akaamua kulitumia ipasavyo na ndilo linalomuweka mjini Brussels hadi leo hiiHizi akili za ki-Musiba ndiyo zinakufanya unashupaza fuvu ila ukweli unaujua deep in your heart.
Umataga ni shuhuli ngumu sana aisee.Ukweli ninaoujua ni kwamba Lissu baada ya kuona shambulio lile ni mtaji wa kisiasa na kimaslahi akaamua kulitumia ipasavyo na ndilo linalomuweka mjini Brussels hadi leo hii
Alikua anasema magu ndio amempiga risasi magu kafariki arudi atoe maelezo sasaHehe daah,
Jamaa anatumia tukio lake kama njia ya kuipatia kipato na kulelewa na wazungu??
Arudi nyumbani sasa.
Lissu ni mchumia tumbo kila kitu kwake ni maslahi anataka watu wa-solve kesi yake kwa kutumia mazingaombwe ilihali hataki kutoa ushirikiano kama haamini polis kwamba wanaweza tatua tatizo aache kuwalaumu aame na nchi aende mahali salama zaidiUmataga ni shuhuli ngumu sana aisee.
Umataga ni kibarua kigumu sana sijui mnakimudu vipi.Lissu ni mchumia tumbo kila kitu kwake ni maslahi anataka watu wa-solve kesi yake kwa kutumia mazingaombwe ilihali hataki kutoa ushirikiano kama haamini polis kwamba wanaweza tatua tatizo aache kuwalaumu aame na nchi aende mahali salama zaidi
Sina kadi ya chama chochote mpaka wakati huu ... hii inanipa uhuru wa kuona nani mhuni nani anafanya siasa za kweliUmataga ni kibarua kigumu sana sijui mnakimudu vipi.
Siasa gani za kweli hapo.acha ulofa.inaonekana hata hujui majukumu na wajibu wa jeshi la polisi.Unadhani walioanzisha kitengo cha upelelezi ndani ya jeshi la polisi walikua mbulula kama wewe.Nyie ndio mnaolifanya jeshi la polisi lisiwajibike ipasavyo.Sina kadi ya chama chochote mpaka wakati huu ... hii inanipa uhuru wa kuona nani mhuni nani anafanya siasa za kweli
Kiranga ni je linamalizwaje??[emoji3] [emoji3] [emoji3] Hili tukio la TL nalo ifike wakati liishe na watu wafanye mambo mengine.
mlisha muhoji MO ile sinema yenu ya kihindui ya kuvishana khanga? tuanzie hapo.Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo.
Sirro amesema Tundu Lissu anatumia hilo shambulio kama njia ya kujipatia kipato na kuweza kulelewa na wazungu Ulaya.
View attachment 1849358
Kwahyo kama mtu katekwa, inamaana uchunguzi hautafanyika hadi mtegwaji apatikane ili aje kuhojiwa?.Kuna utofauti mkubwa kati ya kesi ya mauaji na kesi ya kujeruhiwa
Lakini wenye akili watamwona mbumbu tu
Kama unalaana ya ufukara hata likiisha haitakufanya utoke kwenye ufukara ulionao. Kwani linakuzuwia nn?[emoji3] [emoji3] [emoji3] Hili tukio la TL nalo ifike wakati liishe na watu wafanye mambo mengine.
Kwa kweli, maana Lissu na vibaraka wake wamelifanya tukio kama mtaji[emoji3] [emoji3] [emoji3] Hili tukio la TL nalo ifike wakati liishe na watu wafanye mambo mengine.
Muambie aje ahojiwe isije ikawa aliiba mke wa mtuSiasa gani za kweli hapo.acha ulofa.inaonekana hata hujui majukumu na wajibu wa jeshi la polisi.Unadhani walioanzisha kitengo cha upelelezi ndani ya jeshi la polisi walikua mbulula kama wewe.Nyie ndio mnaolifanya jeshi la polisi lisiwajibike ipasavyo.