Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siro ame baki kuwa IGP ili andiko litimie.IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkobozi wa jeshi la polisi.
Tunayakumbuka mapambani yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani.
Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Firce Unit, FFU.
Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za uendeshaji jeshi la polisi, GPO, yameibuliwa.
Na jua likaoatwa wakati wa uingizi wa Awamu ya 5.
Askari polisi wamekuwa wakiteka, kuua, na hata kufanya matukio ya kijambazi kwa kupewa kiburi na wanasiasa.
Sasa idara za uchunguzi za polisi zina underperform, askari inaelekea kupora imekuwa tabia, na kuna hisia wameanza kuuana kuficha ushahidi.
Mbaya zaidi imani ya wananchi kwa polisi inaendelea kushuka, hata Makamu w Rais Dr Mpango wameshaonyesha kukerwa na hali hii.
Hili limeanza kuwa jeshi la mamluki.
Serikali ilifikirie sana suala la kulijenga upya jeshi hili.
Lakini Sirro yeye astaafu tu haraka, kwa heshima, kabla halijatokea tukio jingine baya.
Astaafu kwa heshima!!! Kwani anayo hiyo heshima?IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkobozi wa jeshi la polisi.
Tunayakumbuka mapambani yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani.
Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Firce Unit, FFU.
Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za uendeshaji jeshi la polisi, GPO, yameibuliwa.
Na jua likaoatwa wakati wa uingizi wa Awamu ya 5.
Askari polisi wamekuwa wakiteka, kuua, na hata kufanya matukio ya kijambazi kwa kupewa kiburi na wanasiasa.
Sasa idara za uchunguzi za polisi zina underperform, askari inaelekea kupora imekuwa tabia, na kuna hisia wameanza kuuana kuficha ushahidi.
Mbaya zaidi imani ya wananchi kwa polisi inaendelea kushuka, hata Makamu w Rais Dr Mpango wameshaonyesha kukerwa na hali hii.
Hili limeanza kuwa jeshi la mamluki.
Serikali ilifikirie sana suala la kulijenga upya jeshi hili.
Lakini Sirro yeye astaafu tu haraka, kwa heshima, kabla halijatokea tukio jingine baya.
Ndani ya huo mwaka aliobakisha akiachwa hatuna hakika ni uovu kiasi utatendeka chini yake, kama anaondoka aindoke tu ilibkuponya wengine.Bro huyu kabakisha mwaka astaafu,tumwache tusumharibie pensheni yake
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Anaweza kufukuzwa kazi, mwajiri wake kisha inyesha kutoridhishwa na utendaji wake.Astaafu kwa heshima!!! Kwani anayo hiyo heshima?
Wanaomharibia ni hao mapolisi wake wansopora na kuua.Bro huyu kabakisha mwaka astaafu,tumwache tusumharibie pensheni yake
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mtoto umleavyo ndiyo akuavyo, wakati yanatokea matendo machafu kwa wengine, kijani kwa ujumla wao wakaona wanasaidiwa kutimia ilani Yao, Sasa huko wamemaliza, wanaangalia wapi PA kuendeleza maovu Yao hata kama ni katika mtindo mwingine. Katiba mpya wao wanasema haiwasaidii, (kwa maana ya kutojua itakuwa na nini ndani yake, na haki ya raia wa kawaida afanye nini na wakati gani). Bado kuchelewa, tuzidishe juhudi.IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkobozi wa jeshi la polisi.
Tunayakumbuka mapambani yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani.
Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Firce Unit, FFU.
Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za uendeshaji jeshi la polisi, GPO, yameibuliwa.
Na jua likaoatwa wakati wa uingizi wa Awamu ya 5.
Askari polisi wamekuwa wakiteka, kuua, na hata kufanya matukio ya kijambazi kwa kupewa kiburi na wanasiasa.
Sasa idara za uchunguzi za polisi zina underperform, askari inaelekea kupora imekuwa tabia, na kuna hisia wameanza kuuana kuficha ushahidi.
Mbaya zaidi imani ya wananchi kwa polisi inaendelea kushuka, hata Makamu w Rais Dr Mpango wameshaonyesha kukerwa na hali hii.
Hili limeanza kuwa jeshi la mamluki.
Serikali ilifikirie sana suala la kulijenga upya jeshi hili.
Lakini Sirro yeye astaafu tu haraka, kwa heshima, kabla halijatokea tukio jingine baya.
Ogopa sana Mtu anaetoa msaada mbele ya kameraJamaa alipokuwa mbeya kuna siku ITV wakamuonesha akitoa msaada kutoka kwenye kipato chake nikajua ni mtu Mwema kumbe ni muovu ndani yake... ana ngozi ya kondoo na roho ya Chui
AMEN, AMENSiro ame baki kuwa IGP ili andiko litimie.
Ana takiwa aaibishwe kweupe akiwa kazini.
Mungu tuna muabudu hujibu kwa wakati.
Nani alijua Ndugai ange achia ofisi kwa aibu?
Yote haya ni Mungu ana waaibisha.
Nani alijua alie mtolea Nape bastola asubuhi kweupe leo angekuwa na kesi ya mauaji wakati tuluambiwa hajulikani?
Yote haya ni matendo mema ya Mungu.
Tuendelee kuomba. Hata Kingai na genge lake wata kiri Mungu ni Mwema..
Siyo desturi yetu kujiuzulu.IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkobozi wa jeshi la polisi.
Tunayakumbuka mapambani yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani.
Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Firce Unit, FFU.
Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za uendeshaji jeshi la polisi, GPO, yameibuliwa.
Na jua likaoatwa wakati wa uingizi wa Awamu ya 5.
Askari polisi wamekuwa wakiteka, kuua, na hata kufanya matukio ya kijambazi kwa kupewa kiburi na wanasiasa.
Sasa idara za uchunguzi za polisi zina underperform, askari inaelekea kupora imekuwa tabia, na kuna hisia wameanza kuuana kuficha ushahidi.
Mbaya zaidi imani ya wananchi kwa polisi inaendelea kushuka, hata Makamu w Rais Dr Mpango wameshaonyesha kukerwa na hali hii.
Hili limeanza kuwa jeshi la mamluki.
Serikali ilifikirie sana suala la kulijenga upya jeshi hili.
Lakini Sirro yeye astaafu tu haraka, kwa heshima, kabla halijatokea tukio jingine baya.
IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkobozi wa jeshi la polisi. Tunayakumbuka mapambani yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Firce Unit, FFU. Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za uendeshaji jeshi la polisi, GPO, yameibuliwa. Na jua likaoatwa wakati wa uingizi wa Awamu ya 5.
Askari polisi wamekuwa wakiteka, kuua, na hata kufanya matukio ya kijambazi kwa kupewa kiburi na wanasiasa. Sasa idara za uchunguzi za polisi zina underperform, askari inaelekea kupora imekuwa tabia, na kuna hisia wameanza kuuana kuficha ushahidi. Mbaya zaidi imani ya wananchi kwa polisi inaendelea kushuka, hata Makamu w Rais Dr Mpango wameshaonyesha kukerwa na hali hii.
Hili limeanza kuwa jeshi la mamluki. Serikali ilifikirie sana suala la kulijenga upya jeshi hili.
Lakini Sirro yeye astaafu tu haraka, kwa heshima, kabla halijatokea tukio jingine baya.
Sio kweli, kipindi Cha saidi mwema 2006-2013 kulikua na matukio ya kutisha sanaPamoja na mapungufu yake kama binadamu angalau IGP Said Mwema aliitendea haki nafasi yake kama IGP na alifanya reformation muhimu sana ndani ya TPF kabla ya kumwachia muungwana mwingine IGP Ernest Mangu ambaye alikuja kutumbuliwa (jiuzulu) kwa sababu ambazo mtumbuaji anazijua mwenyewe.
Since then, TPF ikageuka rasmi taasisi ya kikatili zaidi nchini, isiyojua/zingatia sheria, taasisi inayoongoza kwa UONGO, RUSHWA, UJAMBAZI, UBAMBIKAJI, DHULUMATI, n.k. TPF inahitaji overhauling kubwa mno ikiwa n pamoja na kuundiwa oversight body to oversee its performance of duties. Vinginevyo, ni genge hatari sana!
... hayafikii yale ya Omar Mahita!Sio kweli, kipindi Cha saidi mwema 2006-2013 kulikua na matukio ya kutisha sana
Siyo bure, Wewe utakuwa mmoja wa majambazi ndani ya jeshi la polisi yaliyomwua mfanyabiashara MtwaraWafuasi wa Mbowe ndio wanakesha kuwanga usiku na mchana eti IGP Sirro ajiuzulu. Nawaambia wafuasi wa Mbowe/ CHADEMA mtasumbuka sana, na mjue kuwa mboe sio malaika.
Shida watu ni wasahaulifu. Ngoja nikuulize ni tukio gani libalotokea sasa hakikutokea kwa saidi mwema? Au turudishe nyuzi humu za kipindi hicho?... hayafikii yale ya Omar Mahita!
Ninekutqg kwenye baadhi tu ya nyuzi wakati wa mwema, Soma kwa umakini alafu uje hapa useme ni kipi hakikutokea wakati wa mwema... hayafikii yale ya Omar Mahita!
Madhalimu na wenye viburi huwa hawawezi kujiuzulu kwa sababu huwa hawana pa kwenda (ndio maana wengine hulazimisha kubaki madarakani kwa ubabe). Kujiuzulu kwa hiyari huonesha uungwana na uwajibikaji... Ndio maana waliojiuzulu kwa uzembe wa wengine hurejea wakiwa wapya. Wanaojiuzulu kwa shinikizo huwa wanaishi kwa aibu mileleIGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi. Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU.
Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za uendeshaji jeshi la polisi, GPO, yameibuliwa. Na jua likapatwa wakati wa uongozi wa Awamu ya 5.