Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Said Mwema kwa mtazamo wangu ndio IGP bora kuliko wengine.
Uhusiano kati ya Jeshi la Polisi na Wananchi ulikua mzuri.
Bora abaki tu ni mgalatia mwenzetu. Akitoka hapo piga ua Kobaaz ndo atateuliwa.SIO RAHISI HIVYO.. USICHEZE NA ILE LIFE YA MA V8, ALICHOFANYA NDUNGAI SIO KITENDO RAHISI WALA CHA KUBEZWA. WENGINE NI MPAKA WAFUKUZWE. HIVIHIVI HATOKI NG'OOOOOO
Kwa taarifa yako tu Mzee wa watu alisha omba kujiuzulu tangu enzi za Magu. Magu akamwambia ata staafu naye mama ndio kabisa kwahiyo mwache tu ndio maana hata juzi kasema waziri atajibu kiufupi amechoka. Na anatamani kupumzika japo mamlakaIGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi. Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU.
Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za uendeshaji jeshi la polisi, GPO, yameibuliwa. Na jua likapatwa wakati wa uongozi wa Awamu ya 5.
Askari polisi wamekuwa wakiteka, kuua, na hata kufanya matukio ya kijambazi kwa kupewa kiburi na wanasiasa.
Sasa idara za uchunguzi za polisi zina underperform, askari inaelekea kupora imekuwa tabia, na kuna hisia wameanza kuuana kuficha ushahidi.
Mbaya zaidi imani ya wananchi kwa polisi inaendelea kushuka, hata Makamu w Rais Dr Mpango wameshaonyesha kukerwa na hali hii.
Hili limeanza kuwa jeshi la mamluki. Serikali ilifikirie sana suala la kulijenga upya jeshi hili.
Lakini Sirro yeye astaafu tu haraka, kwa heshima, kabla halijatokea tukio jingine baya.
Kwa hiyo ujambazi ndani ya jeshi la polisi umeshindikana?Kwa taarifa yako tu Mzee wa watu alisha omba kujiuzulu tangu enzi za Magu. Magu akamwambia ata staafu naye mama ndio kabisa kwahiyo mwache tu ndio maana hata juzi kasema waziri atajibu kiufupi amechoka. Na anatamani kupumzika japo mamlaka
Sirro ameshindwa kudhibiti Polisi hebu mshauri aondoke kwa manufaa ya nchiKwa taarifa yako tu Mzee wa watu alisha omba kujiuzulu tangu enzi za Magu. Magu akamwambia ata staafu naye mama ndio kabisa kwahiyo mwache tu ndio maana hata juzi kasema waziri atajibu kiufupi amechoka. Na anatamani kupumzika japo mamlaka
Mwema aliofanya kazi nzuri enzi zake, kwa kipindi Cha uongozi wa Simon Sirro mengi mazuri kafanya.Miaka 5 iliyopita hatukusikia mabasi na malori kusindikizwa na askari Sirro alikuwa sahani moja na majambazi hadi yakaomba poop.Hukuwahi kusikia uporaji kwenye mabenki.Kibiti magaidi walijifanya kuvimba Cha moto walikiona.Hakuna albino alipoteza maisha kipindi Cha Sirro.Simon Sirro anahitaji kujengewa mnara wa kumbukumbu yenye picha yakePamoja na mapungufu yake kama binadamu angalau IGP Said Mwema aliitendea haki nafasi yake kama IGP na alifanya reformation muhimu sana ndani ya TPF kabla ya kumwachia muungwana mwingine IGP Ernest Mangu ambaye alikuja kutumbuliwa (jiuzulu) kwa sababu ambazo mtumbuaji anazijua mwenyewe.
Since then, TPF ikageuka rasmi taasisi ya kikatili zaidi nchini, isiyojua/zingatia sheria, taasisi inayoongoza kwa UONGO, RUSHWA, UJAMBAZI, UBAMBIKAJI, DHULUMATI, n.k. TPF inahitaji overhauling kubwa mno ikiwa n pamoja na kuundiwa oversight body to oversee its performance of duties. Vinginevyo, ni genge hatari sana!
... hayo mengine nikipata muda nitarudi; ila hilo la albino (na vikongwe) yalikuwa makafara kusafisha njia.Mwema aliofanya kazi nzuri enzi zake, kwa kipindi Cha uongozi wa Simon Sirro mengi mazuri kafanya.Miaka 5 iliyopita hatukusikia mabasi na malori kusindikizwa na askari Sirro alikuwa sahani moja na majambazi hadi yakaomba poop.Hukuwahi kusikia uporaji kwenye mabenki.Kibiti magaidi walijifanya kuvimba Cha moto walikiona.Hakuna albino alipoteza maisha kipindi Cha Sirro.Simon Sirro anahitaji kujengewa mnara wa kumbukumbu yenye picha yake
Mkuu sahihisha andiko lako.Mwema aliofanya kazi nzuri enzi zake, kwa kipindi Cha uongozi wa Simon Sirro mengi mazuri kafanya.Miaka 5 iliyopita hatukusikia mabasi na malori kusindikizwa na askari Sirro alikuwa sahani moja na majambazi hadi yakaomba poop.Hukuwahi kusikia uporaji kwenye mabenki.Kibiti magaidi walijifanya kuvimba Cha moto walikiona.Hakuna albino alipoteza maisha kipindi Cha Sirro.Simon Sirro anahitaji kujengewa mnara wa kumbukumbu yenye picha yake
Upo sahihiMkuu sahihisha andiko lako.
Tatizo la Kibiti polisi waliingia kichwa kichwa na yaliyotokea hasa ambusha za kigaidi hatujasahau.
Ile ilikuwa joint operation ya vyombo vya ulinzi na usalama.
Makomandoo wa JWTZ kule walinoa mbinu zao, na kufyekekea mbali magaidi.
Lakini Sirro yeye astaafu tu haraka, kwa heshima, kabla halijatokea tukio jingine baya.
Simon Sirro alikuwa mtu mwema sana mpaka alipokuja kuharibiwa na lile SHETANI la Chato.IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi. Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU.
Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za uendeshaji jeshi la polisi, GPO, yameibuliwa. Na jua likapatwa wakati wa uongozi wa Awamu ya 5.
Askari polisi wamekuwa wakiteka, kuua, na hata kufanya matukio ya kijambazi kwa kupewa kiburi na wanasiasa.
Sasa idara za uchunguzi za polisi zina underperform, askari inaelekea kupora imekuwa tabia, na kuna hisia wameanza kuuana kuficha ushahidi.
Mbaya zaidi imani ya wananchi kwa polisi inaendelea kushuka, hata Makamu w Rais Dr Mpango wameshaonyesha kukerwa na hali hii.
Hili limeanza kuwa jeshi la mamluki. Serikali ilifikirie sana suala la kulijenga upya jeshi hili.
Lakini Sirro yeye astaafu tu haraka, kwa heshima, kabla halijatokea tukio jingine baya.
Tuna Genge la Majambazi chini Jambazi Kuu Zero. Mpaka sasa yanauana yenyewe kuficha siri za maovu yaoSina tena imani na polisi hapa nchini. Yaani weshakuwa majambazi kabisa kwa kutumia bunduki na risasi za serikali. What a mess!!
Sasahivi jihami sana unapokuwa mikononi mwa polisi na ukawa na pesa zako halali wakati huo, you are dead!!
Tukio la mfanya biashara kule Mtwara linaumiza sana na kufikirisha mno!
-Kaveli-
Huyu bora aliuacha U-FRATERI vinginevyo asingeyaweza yajayoSimon Sirro alikuwa mtu mwema sana mpaka alipokuja kuharibiwa na lile SHETANI la Chato.
Asingetekeleza UDHALIMU wa Magufuli pengine angefanyiwa yeye Unyama.
Yasemkana Sirro ni Mkatoliki safi na mcha Mungu ambaye malengo yake yalikuwa awe Padre baada ya kufika Seminari Kuu hadi kuvaa mkanda wa U-FRATERI.
Hata Mimi wa sasa namshauri ajiuzulu ili kujitenga na uchafu wa Polisi
Mimi namkumbuka alivyopambana vyema na majambazi ya toka nchi jirani.Simon Sirro alikuwa mtu mwema sana mpaka alipokuja kuharibiwa na lile SHETANI la Chato.
Asingetekeleza UDHALIMU wa Magufuli pengine angefanyiwa yeye Unyama.
Yasemkana Sirro ni Mkatoliki safi na mcha Mungu ambaye malengo yake yalikuwa awe Padre baada ya kufika Seminari Kuu hadi kuvaa mkanda wa U-FRATERI.
Hata Mimi wa sasa namshauri ajiuzulu ili kujitenga na uchafu wa Polisi
Mama wa michongo katika unafiki wake ...halafu nikikuta baadhi ya sehemu unakoti neno la Mungu huwa nafunga kinyeo ili usipate aibu ...mfyuuuAnafanya kazi alizopewa kufanya. Kwani hujui?