Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Lete nyuzi hapa, au unadhani nyakati hizo sikuwa hapa JF?? Usichachawe na ID hizi mpya mkuu.
Pamoja na matukio lkn SAIDI MWEMA na SIRRO wameachana mbali sana.
IGP Mwema: Jaribu Uzalendo, Madaraka ni Ya Muda tu
IGP Mwema, wananchi hawana imani na jeshi unaloliongoza. Vituko vya jeshi la polisi ungekuwa mzalendo na sio mchumia tumbo, kusema kweli mzee wangu ungejiuzulu. Wananchi badala ya kulindwa wamekuwa wakionewa, kunyanyaswa na kuuwawa na jeshi la polisi ambalo limegeuka kuwa jeshi la majambazi...