IGP Sirro soma alama za nyakati, jiuzulu
Lete nyuzi hapa, au unadhani nyakati hizo sikuwa hapa JF?? Usichachawe na ID hizi mpya mkuu.
Pamoja na matukio lkn SAIDI MWEMA na SIRRO wameachana mbali sana.
 
Watu wanaleta fujo na mioyo yao ya makuti,analaumiwa IGO Sirro .
Moyo wangu wa makuti
Usiniijie na kibiriti
 
Wafuasi wa Mbowe ndio wanakesha kuwanga usiku na mchana eti IGP Sirro ajiuzulu. Nawaambia wafuasi wa Mbowe/ CHADEMA mtasumbuka sana, na mjue kuwa mboe sio malaika.
Acha kundekeza siasa una haribu maada kwa makusudi ili kulinda majambazi menzako
 
IGP Said Mwema alikuwa bonge la IGP Kwa sababu ya Amiri jeshi Mkuu WA wakati huo hakuwa katiri, Alijua fika kwamba yeye ni Mkuu wa nchi na Kwa katiba yetu Hawezi kuzuiwa kufanya chochote.
Sasa huyu SIRRO kateuliwa enzi za Amiri jeshi Katiri kabisa. Akajifunza ukatiri na akawafundisha Askari wake ukatiri matokeo yake ni kesi ya Sabaya, ya Mbowe na wenzake, mauaji ya mtwara NK.
 
Acha huu uongo, mwenzako hapo juu nimekuwekea Hali ilivyokua kipindi Cha saidi mwema.
Haya yanayotokea yakitokea pia, polisi waliteka na kuua
 
Silo ajiudhuru na polisi TANZANIA iundwe upya ya Sasa Ina virusi
 
Pamoja na mapungufu yake kama binadamu angalau IGP Said Mwema aliitendea haki nafasi yake kama IGP na alifanya reformation muhimu sana ndani ya TPF kabla ya kumwachia muungwana mwingine IGP Ernest Mangu ambaye alikuja kutumbuliwa (jiuzulu) kwa sababu ambazo mtumbuaji anazijua mwenyewe.

Since then, TPF ikageuka rasmi taasisi ya kikatili zaidi nchini, isiyojua/zingatia sheria, taasisi inayoongoza kwa UONGO, RUSHWA, UJAMBAZI, UBAMBIKAJI, DHULUMATI, n.k. TPF inahitaji overhauling kubwa mno ikiwa n pamoja na kuundiwa oversight body to oversee its performance of duties. Vinginevyo, ni genge hatari sana!
IGP mwema was very good
 
Kwanza ni kukithiri kwa kashfa nyingi zinalorihusu Jeshi la polisi juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu kwa kupiga na kutesa watuhumiwa kinyume kabisa na ibara ya 13 (6)(b)(e). Malalamiko yamekuwa mengi kiasi cha kulichafua taifa letu kuwa lina jeshi la wapiga raia na watesa raia wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali.

Kuibuka kwa matukio ya mauaji ambayo yamelikumba taifa letu kiasi cha kuwafanya watanzania wapate hofu kubwa. Kufululiza kwa mauaji haya yanatia hofu kuwa sasa maisha yao yapo hatarini na wauaji wamejiamini kuwa hakuna chombo kinachoweza kuwatia mikononi mwa sheria.

Kujihusisha kwa maafisa wa polisi na siasa waziwazi kiasi cha baadhi ya maafisa kukiri wazi wazi kuwa wanailinda Ccm ibaki madarakani kwa mtutu wa bunduki. Mfano ni afande Kiondo ambaye amefunguka hadharani kabisa.

Rushwa kuwa sehemu ya maisha ya jeshi la polisi huku wasio na pesa wanapotenda makosa ndio hufikishwa mahakamani ambapo wenye pesa hawagusi mahakamani kabisa.

Kwa mukutadha huu Sirro alitakiwa awe amefutwa kazi.
 
Back
Top Bottom