Siyo IGP tu Awamu hii yote ijiuzulu, itoke ni katili sana, watu wanashida wao wanakata keki kusherehekea birthday, evil people!
 
Siro ame baki kuwa IGP ili andiko litimie.
Ana takiwa aaibishwe kweupe akiwa kazini.
Mungu tuna muabudu hujibu kwa wakati.
Nani alijua Ndugai ange achia ofisi kwa aibu?
Yote haya ni Mungu ana waaibisha.
Nani alijua alie mtolea Nape bastola asubuhi kweupe leo angekuwa na kesi ya mauaji wakati tuluambiwa hajulikani?
Yote haya ni matendo mema ya Mungu.
Tuendelee kuomba. Hata Kingai na genge lake wata kiri Mungu ni Mwema..
 
Astaafu kwa heshima!!! Kwani anayo hiyo heshima?
 
Bro huyu kabakisha mwaka astaafu,tumwache tusumharibie pensheni yake

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Wanaomharibia ni hao mapolisi wake wansopora na kuua.
Walipewa kiburi na mwendazake kufanya mauaji ,utekaji, uporaji na maivu mengi.

Umma ndio unakosa imani na utendaji wa polisi hivi sasa, pensheni yake hsituhusu.
 
Mtoto umleavyo ndiyo akuavyo, wakati yanatokea matendo machafu kwa wengine, kijani kwa ujumla wao wakaona wanasaidiwa kutimia ilani Yao, Sasa huko wamemaliza, wanaangalia wapi PA kuendeleza maovu Yao hata kama ni katika mtindo mwingine. Katiba mpya wao wanasema haiwasaidii, (kwa maana ya kutojua itakuwa na nini ndani yake, na haki ya raia wa kawaida afanye nini na wakati gani). Bado kuchelewa, tuzidishe juhudi.
 
Jamaa alipokuwa mbeya kuna siku ITV wakamuonesha akitoa msaada kutoka kwenye kipato chake nikajua ni mtu Mwema kumbe ni muovu ndani yake... ana ngozi ya kondoo na roho ya Chui
Ogopa sana Mtu anaetoa msaada mbele ya kamera
 
Namshangaa IGP SIRRO KUWA OFISINI MPAKA MUDA HUU, ONLY IN TANZANIA
 
AMEN, AMEN
 
Siyo desturi yetu kujiuzulu.
 


Hapa ndio nilijua Tanzania haina IGP
 
Sio kweli, kipindi Cha saidi mwema 2006-2013 kulikua na matukio ya kutisha sana
 
Wafuasi wa Mbowe ndio wanakesha kuwanga usiku na mchana eti IGP Sirro ajiuzulu. Nawaambia wafuasi wa Mbowe/ CHADEMA mtasumbuka sana, na mjue kuwa mboe sio malaika.
Siyo bure, Wewe utakuwa mmoja wa majambazi ndani ya jeshi la polisi yaliyomwua mfanyabiashara Mtwara
 
... hayafikii yale ya Omar Mahita!
Shida watu ni wasahaulifu. Ngoja nikuulize ni tukio gani libalotokea sasa hakikutokea kwa saidi mwema? Au turudishe nyuzi humu za kipindi hicho?
 
... hayafikii yale ya Omar Mahita!
Ninekutqg kwenye baadhi tu ya nyuzi wakati wa mwema, Soma kwa umakini alafu uje hapa useme ni kipi hakikutokea wakati wa mwema
 
Madhalimu na wenye viburi huwa hawawezi kujiuzulu kwa sababu huwa hawana pa kwenda (ndio maana wengine hulazimisha kubaki madarakani kwa ubabe). Kujiuzulu kwa hiyari huonesha uungwana na uwajibikaji... Ndio maana waliojiuzulu kwa uzembe wa wengine hurejea wakiwa wapya. Wanaojiuzulu kwa shinikizo huwa wanaishi kwa aibu milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…