Ijue Korea Kaskazini kwa Undani (Known Details of North Korea)

Achana nae huyo choko
 
Kwa kila raia 1 anayekimbia Marekani basi kuna raia 10,000 wanaokimbia Korea Kaskazini, na hawa ni raia wa kawaida tu, sio kama Snowden au Assange.
Julian Assange alikimbilia wapi na akarudishwa wapi?
Je Assange angekimbilia Urusi angerudishwa USA?

Snowden alikimbilia Urusi je amerudishwa USA?
 
Tatizo la Korea ya Kiduku wala sio maadui wanaotaka kuidhuru kwa sababu mpaka wake mkubwa zaidi uko na China na Urusi kwa pamoja, tatizo la hiyo Korea hadi kuwafungia raia wake kwenye chungu ni ili wasiweze kujua maendeleo makubwa sana waliyopiga ndugu zao wa Korea Kusini kwa ushirikiano wa West tangu kusitishwa kwa vita kati yao mwaka 1953.

Ni kama vile dikteta Nikita Khrushchev wa Urusi alivyojenga ukuta kati ya Ujerumani Mashariki kuitenga na Magharibi enzi za USSR.
 
Pwahahah!!! Kajamba nani utawaweza Noko. Hakuna mbumbumbu huko mdogo wangu.

 
Marekani mwenyewe anagwaya unafhani NK ni ya kuchezea?

Wewe endelea kunywa mbege na kula watoto wa sinza afrikasana.

 
Kabla ya Corona kwa mwaka huwa kuna defectors/watoroka nchi 3, 000 kutoka Korea ya Kiduku. Marekani kwa miaka mitatu unaweza kusikia mtoroka nchi mmoj tu kama Snowden au mwanajeshi aliyekuwa kwenye base ya Korea Kusini akatakiwa kuadhibiwa kwa utovu wa nidhamu.
 
Kwa kifupi Hawa watu Wana akili sana.
Niliwahi kusoma mahalo kua ndio wanaoongoza kwa IQ kubwa duniani.
Kama sijakosea lkn.
Wangekuwa na akili sana wasingukuwa wanaitegemea China kuwapa msaada wa Chakula, dawa na mafuta kila mara.

Akili walizo nazo kina Kiduku ni za kutengeneza mabomu tu ya kulipualipu baharini kila mwaka huku raia wake wakifa kwa njaa na umasikini uliotopea. Wenzao wa Korea Kusini sasa hivi wanatoa misaada hadi kwa nchi masikini kama ya kwako na zilizopo vitani kama Ukraine. Wanatengeneza bidhaa halisi za electronics zinazokamata soko la dunia kama Samsung na LG, gari kama za Hyundai n.k. Sio hizi picha picha zako unazookoteza mtandaoni na kuzojaza hapa.
 
Acha uongo picha nyingine ni animation na hapo ni centre tu puangyong ukisogea Kama km 50 tu waliobaki bora Kigoma
 
Ulishaona ulaya wanaweka habari za homeless kwenye vituo vyao vikubwa au umejitoa ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…