Ijue Korea Kaskazini kwa Undani (Known Details of North Korea)



Workers of the Sosong Songdo Leather Shoes Workshop strive to make various forms of shoes favored by the people.
#DPRK #northkorea #Shoes
 
Korea ni ndugu wa karibu wa Japan, sio Wachina
China kuna jamii tofauti tofauti kabisa.

Main ethic group in China

Koreans originated from Manchuria and had established a number of states there in ancient times. Manchuria was also the main route connecting Korean and Han Chinese states in the premodern period. People in the Korean peninsula and Manchuria interacted continuously throughout history.

Kwahiyo Korean are Manchu.
 
Ingia YouTube, tafuta DW documentary ya inside North Korea utakubaliana na mtoa thread. Au tafuta documentary yoyote ya NK. Utakubali wale jamaa wako mbali sana, pamoja na kuwa labelled kuwa ni maskini in terms of GDP
YouTube kuna takataka za kila aina, kumeja pumba na mchele. Tanzania imeizidi Korea ya Kiduku kwa GDP. Ni ukweli pia Korea Kaskazini imekuwa ikipewa msaada wa chakula na China, USA pamoja na Korea Kusini. Hata sasa hivi WFP inagawa msaada wa chakula katika eneo kubwa la nchi hiyo.
 
NOKO si wapo na Sanctions inakuwaje tena WFP wakaingia NOKO.
Au unatuletea taarifa toka kwenye bichwa lako?
 

Premier Kim Tok Hun Makes Field Survey of Several Sectors​


Looking round farms in Unryul and Unchon Counties of South Hwanghae Province, Jungsan County of South Pyongan Province and Onchon County of Nampo City, he stressed the need to cultivate the crops in a scientific and technological way according to the state of their growth. He emphasized that the officials and working people in the agricultural field should make the disastrous abnormal climatic phenomena such as downpour, typhoon and tidal wave a fait accompli and operate the drainage facilities and reinforce the sea dikes in a responsible way to cope with them.
 
NK katika ubora wao
The coal mines have enhanced the performance of the compressors and made an effective use of the loaders and coal wagons, increasing the coal production. The heading workers are speeding up the tunnelling speed per hour to create more reserve coal fields. The coal miners boost the output, overfulfilling their daily production plan by 10 percent.
 

Power Stations along the Ryesong River​





 
Sa
NOKO si wapo na Sanctions inakuwaje tena WFP wakaingia NOKO.
Au unatuletea taarifa toka kwenye bichwa lako?
Safi sana kwa jibu hili.
Halafu Kuna watu vichwani sijui wamejazwa maji ama vipi.
Hivi nchi iliyowekewa vikwazo vingi kama Niko,kupewa misaada na nchi rafiki ni ajabu?
Nchi haipewi nafasi ya kuuza wala kununua bidhaa kutoka nchi nyingine wanategemea iishi vipi?
Kwa kifupi Niko ndio nchi inayoongoza kwa watu wenye IQ kubwa duniani.
 
Population ya NK ni 25.97 million
Lakini wamejenga nchi yao. Hakuna Homeless NK 🀣 🀣 🀣 🀣





 

Where Children’s Talents Are Brought Into Full Bloom​





 
Changsong County, North Pyongan Province of the Democratic People’s Republic of Korea, is mostly covered with mountains.




 

Flocks of Sheep Graze on Muwon Tableland​



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…