Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Huko kote ni vijijini kwa mtazamo wanguHata bujumbura ni duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kote ni vijijini kwa mtazamo wanguHata bujumbura ni duniani
Basi sawa, kumbe kibongo bongo dar iko mbele.Kigoma ni kitongoji tu mkuu
Ahahahahah!Mkosni mchicha unachuma tu uani ndani kuna stock ya mpunga na mahindi,dar mchele kilo 3500
Eti mtwara 😅😅😅😅Marafiki wa Dar mara nyingi wanapoongea na washkaji zao wa mikoani waliosoma nao vyuoni au labda walikua udogoni pamoja mikoani hujinasibu wana maisha bora sana huko Dar.
Na pia wana michongo ya kufa mtu si wanawake wala wanaume..
Sasa wanapokuja mikoani washkaji zao huwakaribisha kwa ukarimu sana,huwakuta jamaa zao wanamaisha bora,makazi bora na hata familia bora.
Ila kwa kuwa wengi wao si wazungumzaji wa maisha yao wanayoishi huko mikoani basi huwa ni SURPRISE kubwa sana kwa hawa jamaa zao wa Dar..
Sasa kimbembe kinakujaga pale hawa jamaa wa mikoani wanapokuja Dar labda kuna inshu fulani zimewaleta na kuwapigia simu washkaji zao wenyeji ambao hujitapa wazee wa mishe nyingi za hela kuja kuwapokea ...!!!!
Hapo wasela lazma walale mbele na visingizio kibao ili mradi jamaa yao asijue wanapoishi tokana na zile tambo zao za kila siku kwenye kupiga mastori nao kwenye simu
Jamaa huwaza huwaza watamlaza mgeni wapi ikiwa wanajua mgeni anavyoishi alipotoka
Jamaa huwaza watarudisha vipi lile bata mwenyeji wao alilowapa walipokuja mkoani kwa gharama zake peke yake siku zote walizokuwepo huko..na wao wakijitapa hayo ndio maisha yao ya kila siku huku Dar
Na mambo kibao..HIVYO HUONA KULIKO KUAIBIKA NA KUJULIKANA MAISHA HALISI BORA KULALA MBELE NA KUSINGIZIA AMEPATA SAFARI YA GHAFLA KIKAZI MTWARA HIVYO KACHOMOKA ASUBUHI SANA😅😅😅😅😅😅😅😅
Nyie najua mtakachonilipa hahahhaBado amekubebesha mizigo na mafurushi ya vitu vyake. Ooh! Ahsante Rafiki, acha nimpange Demi utupeleke chimbo, tutakutoa hata ukwaju wa jero. Haurudi midomo Mikavu
Ila watu wa vijijini Wana shobo sana
Chumba kimoja,kina kila kitu ndani kama store ya kimaro,usiku joto kama tunachomwa mishikaki,nimezoea asubuhi na kunywa juice yangu ya 500 ya maembe na chapati 2 je yeye ataweza maisha hayo? Mchana makande ya 500,jioni chapati 2 na maharage hapo hata 5000 sijamaliza,asinichoshe bana akalale guestMarafiki wa Dar mara nyingi wanapoongea na washkaji zao wa mikoani waliosoma nao vyuoni au labda walikua udogoni pamoja mikoani hujinasibu wana maisha bora sana huko Dar.
Na pia wana michongo ya kufa mtu si wanawake wala wanaume..
Sasa wanapokuja mikoani washkaji zao huwakaribisha kwa ukarimu sana,huwakuta jamaa zao wanamaisha bora,makazi bora na hata familia bora.
Ila kwa kuwa wengi wao si wazungumzaji wa maisha yao wanayoishi huko mikoani basi huwa ni SURPRISE kubwa sana kwa hawa jamaa zao wa Dar..
Sasa kimbembe kinakujaga pale hawa jamaa wa mikoani wanapokuja Dar labda kuna inshu fulani zimewaleta na kuwapigia simu washkaji zao wenyeji ambao hujitapa wazee wa mishe nyingi za hela kuja kuwapokea ...!!!!
Hapo wasela lazma walale mbele na visingizio kibao ili mradi jamaa yao asijue wanapoishi tokana na zile tambo zao za kila siku kwenye kupiga mastori nao kwenye simu
Jamaa huwaza huwaza watamlaza mgeni wapi ikiwa wanajua mgeni anavyoishi alipotoka
Jamaa huwaza watarudisha vipi lile bata mwenyeji wao alilowapa walipokuja mkoani kwa gharama zake peke yake siku zote walizokuwepo huko..na wao wakijitapa hayo ndio maisha yao ya kila siku huku Dar
Na mambo kibao..HIVYO HUONA KULIKO KUAIBIKA NA KUJULIKANA MAISHA HALISI BORA KULALA MBELE NA KUSINGIZIA AMEPATA SAFARI YA GHAFLA KIKAZI MTWARA HIVYO KACHOMOKA ASUBUHI SANA😅😅😅😅😅😅😅😅
Marafiki wa Dar mara nyingi wanapoongea na washkaji zao wa mikoani waliosoma nao vyuoni au labda walikua udogoni pamoja mikoani hujinasibu wana maisha bora sana huko Dar.
Na pia wana michongo ya kufa mtu si wanawake wala wanaume..
Sasa wanapokuja mikoani washkaji zao huwakaribisha kwa ukarimu sana,huwakuta jamaa zao wanamaisha bora,makazi bora na hata familia bora.
Ila kwa kuwa wengi wao si wazungumzaji wa maisha yao wanayoishi huko mikoani basi huwa ni SURPRISE kubwa sana kwa hawa jamaa zao wa Dar..
Sasa kimbembe kinakujaga pale hawa jamaa wa mikoani wanapokuja Dar labda kuna inshu fulani zimewaleta na kuwapigia simu washkaji zao wenyeji ambao hujitapa wazee wa mishe nyingi za hela kuja kuwapokea ...!!!!
Hapo wasela lazma walale mbele na visingizio kibao ili mradi jamaa yao asijue wanapoishi tokana na zile tambo zao za kila siku kwenye kupiga mastori nao kwenye simu
Jamaa huwaza huwaza watamlaza mgeni wapi ikiwa wanajua mgeni anavyoishi alipotoka
Jamaa huwaza watarudisha vipi lile bata mwenyeji wao alilowapa walipokuja mkoani kwa gharama zake peke yake siku zote walizokuwepo huko..na wao wakijitapa hayo ndio maisha yao ya kila siku huku Dar
Na mambo kibao..HIVYO HUONA KULIKO KUAIBIKA NA KUJULIKANA MAISHA HALISI BORA KULALA MBELE NA KUSINGIZIA AMEPATA SAFARI YA GHAFLA KIKAZI MTWARA HIVYO KACHOMOKA ASUBUHI SANA😅😅😅😅😅😅😅😅
Ningekua naongea baada ya kupata basi nidingemkaribisha hata nyumbani kwangu kuishi.Mnaongeaga hivi baada ya kupata,lakini ukute mpaka kufikia hapo kuna watu wamekusaidi pakubwa,na usizani labda umemaliza mwendo bado sana ndugu yangu,labda wewe au wanao nao watakuja itaji tena msaada
Coca ni Changamoto sana rfk angu yani changamoto haswa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nimechekaaa mnooo hapa. Lol
Kwani lazima ujue huyo mchizi wako anapoishi? Hamna mtu mwenye muda wa kuchezea mji huu. Wewe umefikia guest house sinza, mimi nafanyakazi vingunguti nakaa mbagala, jioni nianze kuhangaika na madaladala nije sinza tunywe bia au nikakuoneshe ninapoishi ili iweje? Halafu wengine tunafahamiana tu sio marafiki hayo yaliishia chuo/makazini tuendelee kuonana bar tu.
Dar Ni Kijiji kikubwa Cha wavuvi.View attachment 2473403
Mtu mzima ukiwa na safari iwe mkoani au popote pale hakikisha umejipanga.Nyie mkija mkoani(Kwny seminar,'michongo' etc) hua mnakua hamjajipanga kifedha sio?Maana hua hamfikii lodge mnafikia kwa ndg zenu.
Yani sirudii asee hiyo sio tabia nzuri, nimeacha kazi zangu mambo yangu nampeleka mtu yeye anashindwa kuonesha walau anathamini....ila we nitakupeleka[emoji16]
I swear nilijisikia vibaya sana 😔Basi anunue hata chakula tu na maji