Mbona wewe hukujitokeza kutoa ushahidi au wewe ndio yule ulikuwa kwenye kile kibanda cha njiwa na Yeriko Njegere.Ushahidi wa kumfunga Lisu, atadhibitisha uhaini wa lisu, jinsi magaidi walivyokuwa wanachoma vituo vya mafuta, stendi za mwendokasi, na kuuwa wapiga kura
Bado huo utakuwa ni Mtego Kwa Mahakama..Watakuambia ushahidi uliokwisha tolewa so far umeprove kosa beyond reasonable doubt!
Kesi ya Lissu itabaki kuwa kwenye histori kwa miaka mingi sana huko mbeleMbona hukujitokeza kutoa ushahidi au wewe ndio yule ulikuwa kwenye kile kibanda cha njiwa.
Mahakama huwa haiko hivyo watajuaje shahidi wa mwisho atasemaje labda ndiye angemaliza kesi.Watakuambia ushahidi uliokwisha tolewa so far umeprove kosa beyond reasonable doubt!
Kwani ikiwa kweli yuko nje ya nchi ndo mtaiamini Mahakama?Jana Mahakama ilisema CDF yupo nje lakini kuna tetesi yupo.
Najiuliza, mahakama ni sehemu ya kutoa haki ukiidanganya mahakama unaweza kufungwa, inapotokea mahakama yenyewe ndiyo imedanganya itakuwaje.
Alipopata uhakika wa DCI anakuja..Ukute ameshapata taarifa zote wako wapi na wanafanya nini
Kwamba yeye hakutoa amri ya waandamanaji kupigwa risasi.Cdf atakuja na ushahidi konki
Kwahiyo CDF alishuhudia vituo vikichomwa au aliambiwa na askari aliowatuma kuua.Ushahidi wa kumfunga Lisu, atadhibitisha uhaini wa lisu, jinsi magaidi walivyokuwa wanachoma vituo vya mafuta, stendi za mwendokasi, na kuuwa wapiga kura
Hawawezi kumaliza kesi bila kuwa na condition kwasababu wanajua kama watamuachia Tundu Lissu jamaa atadai fidia mahakamani kwa kumpotezea muda wake unafikiri watataka iwe hivyo?What if DPP akapuliza kipenga kumaliza mchezo Alhamis hii?
Atamfungaje?CDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Ndio tunautakaCdf atakuja na ushahidi konki
Hapo kwenye kudhibitisha ndipo shida itaanzia hapo. Halafu Jeshi lilikuwa mtaani nani aliwaruhusu waingie mtaani?Ushahidi wa kumfunga Lisu, atadhibitisha uhaini wa lisu, jinsi magaidi walivyokuwa wanachoma vituo vya mafuta, stendi za mwendokasi, na kuuwa wapiga kura
Mwambie aache kujificha huko Maramba aje kutoa ushahidi.CDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Nimeshangaa wanaogopa kwenda kizimbani kwa kisingizio wapo NJE YA NCHI.Sasa mbona wanakimbia kimbia? Wanadanganya wako nje ya nchi, kumbe wapo hapa Dsm.
Itakuwa imeonekana kwamba wamekimbia kesi au anawafichia aibu CDF na IGP.What if DPP akapuliza kipenga kumaliza mchezo Alhamis hii?
Kingine mkuu, Mahakama haisomi magazeti au kuangalia TV Kisha itoe hukumu....Kwahiyo CDF alishuhudia vituo vikichomwa au aliambiwa na askari aliowatuma kuua.
Unadhani Lissu hakufikiria yote hayo? Kwamba mhusika hajaona? Mtu alimuita mpaka Rais, unamtishia CDF