Ile ilikuwa sio kesi ya Jinai. Halafu Ile ilikuwa kesi ya madai iliyofinguliwa na Gachagua.Kwani kwenye kesi ya Gachagua Rais Ruto alienda mahakamani? licha ya yeye kuonekana kafanyiwa insurbodination? Politics zinaapply kipolitics kila sehemu. Shida hatufatilii vitu
Kingai ndio kawekwa kitimoto, kesho atakua mahakamani kutoa ushahidi wake.Nimeshangaa wanaogopa kwenda kizimbani kwa kisingizio wapo NJE YA NCHI.
DCI - Kingai tunajua ni MWEUPE kabisa alishawahi kupigwa za uso akitoa ushahidi ,ngoja tuwaone hao CDF na IGP nao watapigwaje pigwaje.
Hahahaa ngoja niandae Popukoni.Kingai ndio kawekwa kitimoto, kesho atakua mahakamani kutoa ushahidi wake.
NdioKwani ikiwa kweli yuko nje ya nchi ndo mtaiamini Mahakama?
Na mahakama ikitoa hukumu bila kuzingatia ushahidi wa hao watatu kwenye rufaa itapigwa chini.Bado huo utakuwa ni Mtego Kwa Mahakama..
Kwamba imeshirikiana na Mamlaka kuwaficha Mashahidi ili watoe Hukumu batili..
si huwa mnasema Mahakama inatumika, iweje leo muanze kuhisi mahakama haijawahi kudanganya au huwa mnatania mnaposema mahakama inatumika na CCM na hata maamuzi yake sio ya hakiJana Mahakama ilisema CDF yupo nje lakini kuna tetesi yupo.
Najiuliza, mahakama ni sehemu ya kutoa haki ukiidanganya mahakama unaweza kufungwa, inapotokea mahakama yenyewe ndiyo imedanganya itakuwaje.
Cdf si shahidi wa serikaliCdf atakuja na ushahidi konki
Hayupo nje nchi. Nakuhakikishia.Kwani ikiwa kweli yuko nje ya nchi ndo mtaiamini Mahakama?
Na alisema angeomba muda wote wa asubuhi akae naye ampe maelekezo huyo Kingai.Alipopata uhakika wa DCI anakuja..
Leo hapo Ukonga..yupo anapitia vifungu vya Sheria.. Muundo wa ofisi ya DCI,
Jinsi inavyofanya kazi...
Yupo anapitia records za DCI na mambo mbalimbali
Pia Mawakili wake Leo watampelekea nondo mbalimbali za kuongezea..
Kiufupi Kingai yupo anasomewa vitabu.. huku yeye anarandaranda mjini...asikimbie tuu
Hapana ni Shahidi wa LissuCdf si shahidi wa serikali
Hii iko sawaNa alisema angeomba muda wote wa asubuhi akae naye ampe maelekezo huyo Kingai.
Kamuulize hili swali yule Kombo wa CCM , ndio alisema Lissu akampigie magoti Samiah ili asinyongwe. Sasa jiulize Samiah anaingiaje kwenye kesi ambayo ipo mahakamani kama sio yeye ndio mwenye kauli ya mwisho.si huwa mnasema Mahakama inatumika, iweje leo muanze kuhisi mahakama haijawahi kudanganya au huwa mnatania mnaposema mahakama inatumika na CCM na hata maamuzi yake sio ya haki
Itathibitisha na itabatilisha kesi zilizopo nabzijazo kuwa hazina mbele wala nyuma na ni za uonevu dhidi ya upinzani.What if DPP akapuliza kipenga kumaliza mchezo Alhamis hii?
Yes. Ushahidi utakaotumika kumfunga ni ushahidi wa serikaliHapana ni Shahidi wa Lissu
Unawabananishaje mashahidi wako? Mashahidi wako umewaita mwenyewe wakutetee unawabananisha ila ufaidike na nini ?Lissu alivyo mjanja ile jana alitulia kimya akijua tayari ameshapata ushahidi wake mwingine muhimu wa kuwabananisha mashahidi wake.
hayo yote nayajua, in fact hayo maelezo ulitakiwia umpe ambaye anauliza kama Mahakama itaaminika ikijulikana ilidanganya as if haijawahi kudanganya katika maamuzi yakeKamuulize hili swali yule Kombo wa CCM , ndio alisema Lissu akampigie magoti Samiah ili asinyongwe. Sasa jiulize Samiah anaingiaje kwenye kesi ambayo ipo mahakamani kama sio yeye ndio mwenye kauli ya mwisho.