figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hata mimi nasubiri. Wanahisi jeshi halina wanaompenda Lissu ambao wanaweza kutoa Location Jamaa alipo. Halafu kutokuja sio kwamba anamdharau Lissu bali mahakama coz ndo imewaitaJana Mahakama ilisema CDF yupo nje lakini kuna tetesi yupo.
Najiuliza, mahakama ni sehemu ya kutoa haki ukiidanganya mahakama unaweza kufungwa, inapotokea mahakama yenyewe ndiyo imedanganya itakuwaje.
Acha uongoNdio
Elimu yako wewe ya drs la 3 unajadili mambo ambayo huyajui.CDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Shahidi unatakiwa uendane na mtazamo wa mtuhumiwa wako. Wakikiuka matakwa yake, mshtakiwa ameshatoa tahadhari! Atawashughulikia kweli kweli!Unawabananishaje mashahidi wako? Mashahidi wako umewaita mwenyewe wakutetee unawabananisha ila ufaidike na nini ?
Vijana wa hovyo kazi yao kupokea 7000 za LUMUMBAUnadhani Lissu hakufikiria yote hayo? Kwamba mhusika hajaona? Mtu alimuita mpaka Rais, unamtishia CDF
Kuna leading questions ni lazima wajibu watalazimishwa na mahakama kujibu na Lissu sio mjinga wa kuuliza maswali ya kujifunga mwenyewe.Unawabananishaje mashahidi wako? Mashahidi wako umewaita mwenyewe wakutetee unawabananisha ila ufaidike na nini ?
Duuh, Bora ungenyamaza!CDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Atamfunga kwa kusema kwamba Lissu alipindua nchi?CDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
πππ kesho ni futuhi mahakamani.Hahahaa ngoja niandae Popukoni.
Umma (public) unapaswa kuifunga mahakama..!Jana Mahakama ilisema CDF yupo nje lakini kuna tetesi yupo.
Najiuliza, mahakama ni sehemu ya kutoa haki ukiidanganya mahakama unaweza kufungwa, inapotokea mahakama yenyewe ndiyo imedanganya itakuwaje.
Fikira zako zimejifunga ndani ya box na kamwe haziwezi toka humo aidha kwa makusudi ama kwa ushabiki.CDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Uhuni upo Afrika ni ngumu sana kufoji viza ya Marekani au nchi za Ulaya.Umma (public) unapaswa kuifunga mahakama..!
Lakini tukumbuke kuwa hii ni serikali ya wahuni hii, wanaweza kufanya lolote kuihalalisha hiyo safari ya wakubwa hawa ionekane kweli walisafiri huku ukweli ukiwa kinyume chake...
Wanaweza kufoji tickets za safari, mihuri ya immigration, mihuri ya passport ya kila nchi na uchafu mwingine ili kuhalalisha uchafu uliopo na unaofuata..
π π π π πIla hii kesi ina mambo ya kikuda
ππππ π π π π
Mahakama itaaminika kwa kusema ukweli, sio kushurutishwa kuiamini.Kwani ikiwa kweli yuko nje ya nchi ndo mtaiamini Mahakama?
Aliitwa akakaataa?Kwani kwenye kesi ya Gachagua Rais Ruto alienda mahakamani? licha ya yeye kuonekana kafanyiwa insurbodination? Politics zinaapply kipolitics kila sehemu. Shida hatufatilii vitu