Prida hajahalalisha usaliti. Usaliti sio mzuri ukifanywa na yoyote lakini ukweli ni kwamba athari zake ni tofauti unapofanywa na mume na unapofanywa na mke. Chanzo cha utofauti huo ni uwekezaji ambao mwanaume anabebeshwa kuanzia mwanzo wa mahusiano. Mifano ipo wazi sijui ni umeamua tu kuwa mbishi au lah.
Wafaa kwa matumizi kabisa ewe prida wanawake type yako ni wachache sana.
Leo ngojea nijaribu kuandika kwa kifupi.
Kaka zangu,kama una mke/familia ambae unampenda,unamjali na kumlinda kwa namna zote zinazomaanishwa na haya maneno na ikiwa kula yake,mavazi yake,malazi yake na huduma zote anazohitaji binadamu anazipata kutoka kwako halafu ikatokea mke huyu akachit piga chini mshenzi huyo ambae biblia imemuita mpumbavu kisha tafuta mwanamwali mpya atakayethamini mateso na stress unazopitia ili yeye/na watoto aishi vizuri kisha uweke ndani.
Wamama wenzangu,kama mumeo ni kama huyo niliyemuelezea hapo juu imetokea akachit USIMUACHEππππ.πββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈπββοΈβ.
Kama unataka kuwa yule mwanamke mpumbavu anayeongelewa kwa biblia muache ila kama hutaki .mpe jamba jamba za moto ili asirudie tena na hakikisha haiwi tabia yake ila usimuache.
Kaka yangu akisalitiwa nitamchukia huyo wifi na roho itaniuma sana kila nikiwaza kaka yangu anateseka/jinyima ajili yake halafu shukrani ya kukunawirisha ukapendeza ni kumsaliti?!No way.
Ila ππkama shemeji kakamatwa na kamchepuko ila hakuna kilichopungua pale nyumbani kwao nitamshauri sista aongee vizuri na mumewe aache hiyo tabia asije akamletea maradhi ila sitamchukia shemeji yangu.
Kama mwanamke wewe ndo unahudumia huyo baba au wewe baba ndo unahudumiwa hiyo ni kesi nyingine ila kwa maisha ya kawaida ambayo wanaume ndio wamebeba mzigo wa kuhudumia, mtazamo wangu ndio huu.
Namaanisha mwanaume akisalitiwa anaumia zaidi kuliko mwanamkeπ.Na mwanamke ukitaka kushindana na mwanaume kwenye ishu za usaliti sijui kachit na mim namlipa kwa kumchit au usikie wanaume wanasema msaliti hasamehewi na wewe mumeo akuchit ujitie msaliti asamehewi ondoka.
Nb:Kiranga alivyoona naongelea sana haya mambo akauliza kama nimewekeza hata kwenye hisa nikamdanganya ndio nimewekeza kwenye hisa na sehemu nyingine nyingi ila ukweli ni kwamba sijawekeza popote zaidi ya kwenye ndoa yangu.Mimi productive day yangu inajumuisha kufua boxer za mume wangu,kubuni mapishi mapya na kujiremba ili kila jion akirud anikute ninavotia.
Kasema ukweli mchunguNi kama haupo proud na gender yako shida ni nini dear?
Wala mi sikatai hali halisi hivyo ndivyo watu huishi huko mitaani, kesi zote tunazozisikia kila siku ni sababu ndio maisha ya watu.
Ila yes usaliti ni tatizo, kujustify thatβs another story inaonekana mtu thamani yake ni ndogo sana kama anaweza akasalitiwa halafu akaona ni kawaida.
Kesi ni tofauti kwa mitara ya waislamu sina tatizo nao , lakini pia sio supporter.
Probably we share dicks/pussies, but we canβt love sharing. How can one justify this?
On point lakini ifike mahala ujue no one is perfect.Usaliti una destroy a soul.
Umeuwa kabisa hapo.. π Hawajui kuwa tu nachukua jukumu la kulea mtu, na kumhudumia mpaka anazeekaMwanaume anaanza kuwa juu yako kwa kukulipia mahari(kama kakununua fulani hivi uwe property yake) then anatafuta makazi anakua kama anakufuga kwa kukulisha na kukupa huduma zote mpaka siku utakayozeeka ubakie na jino moja la mbele.Mpaka hapo nani yuko juu?
okayKasema ukweli mchungu
Asante kaka yangu wa dhahabuπKaongea ukweli. Athari za kuchepuka mume na kuchepuka mke ni tofauyi. Mume akichepuka bado ndoa inaweza kuendelea kuwepo lakini mke akichepuka ndoa inakufa hapo hapo. Sababu kuu ni uwekezaji ambao mwanaume anaufanya. Akisalitiwa maumivu ni makubwa zaidi, hata akichepuka bado uwekezaji wake utapooza maumivu ya mwanamke. Ndio maana hata wanawake mkisalitiwa na mwanaume asiye na hela wala hawahudumii mtamwita msaliti, lakini mkisalitiwa na mwenye hela na anawapa huduma zote mtamsambulia mchepuko na kumwita mwizi wa waume za watu
ππππbinti kiziwi sikuwepo humu kwa muda kidogo, what kind of bird is this π³?
Haitokaa tukatae hiyo provision kaka yangu.Prida hajahalalisha usaliti, kafanya ulinganisho wa athari za usaliti pale unapofanywa na mume na unapofanywa na mke. Either way usaliti sio kitu kizuri lakini hatuwezi ku-pretend kwamba athari zake ni sawa ukifanywa na jinsia yoyote.
Kuna kimoja kimoja ambacho wanawake mmegoma kukiachia nacho ni "provision demand" kwenye mahusiano. Unapokubali provision kutoka kwa mwanaume lazima ukubali kwamba unauza uhuru wako. Nafikiri unajua anaelipia ndie mmiliki, ndie mwenye sauti na ndie mwenye haki ya kufanya anachotaka. Mkitaka uhuru anzeni kwanza kuikataa hiyo provision demand kwenye mahusiano.