GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Wee rudi bana nikupitie twende tusheniYaani nirudi shule 🙄tena o level,,weeeee ebu sema ata miaka 4 nyuma bwan
😂😂😂Wee rus
Wee rudi bana nikupitie twende tusheni
Kumbe sikukosea kukuita mtotoSioni hata ningejishauri nini, naona njia zote nilizopita ni sawa kasoro njia ya kwenda Advance hapa niliboronga
Mtoto kwa sababu ipiKumbe sikukosea kukuita mtoto
Si icho ulicho andika!Mtoto kwa sababu ipi
FafanuaSi icho ulicho andika!
Sneaky links hukupata?Miaka 15-20 nyuma ningejiambia...ACHA KUNUNUA MAGARI,NUNUA VIWANJA NA MASHAMBA.GARI MOJA YA BEI NAFUU INAKUTOSHA.....Ningefuata ushauri huu ningekuwa mbali sana. Natumia thread hii kuwaambia vijana kuanzia 25-40 achana na magari, kama ni lazima nunua moja la kawaida na usibadili kisa namba zimebadilika,litunze hela zako wekeza kwenye viwanja,majumba na uwekezaji mwingine. Nimepoteza hela nyingi sana kwenye magari ujanani na yote ni historia tu hamna cha maana nilichopata.
According to psychology no one can hide whom they truly are even if they try to do so. They'll something to give you clues and information hidden in their unconscious mind.Fafanua
Kwahiyo ndo umejua mimi ni mtoto?According to psychology no one can hide whom they truly are even if they try to do so. They'll something to give you clues and information hidden in their unconscious mind.
Umetishaaa!!
OK. Let's believe soKwahiyo ndo umejua mimi ni mtoto?
Sina utoto huo niko early 30
That is the best decision in your life Tanzania hakuna elimu nzuri kama high school hata kama baadae utarudi kusoma diploma ila hyo ni njia sahihi advance kuna madini wewe asikwambie mtu.Sioni hata ningejishauri nini, naona njia zote nilizopita ni sawa kasoro njia ya kwenda Advance hapa niliboronga
Big no mkuu hayo yote uliyofanya yalikuwa sahihi haijalishi ulikutana na changamoto kiasi gani.1. Kwenda Advance ilikuwa ni ujinga
2. Kwenda chuo kikuu ilikuwa ujinga( ningeenda VETA)
3. Kuwa na mawazo ya kuja kuoa ( ujinga huu nashukuru sijaufanya)