Ikiwa wao wanataka handsome na wenye Pesa Kwa nini wewe iwe kosa ukiwa na vigezo?

Nawashangaaga sana vijana wenzangu, ili mwanamke ajue unampenda eti lazima uwe fala, yan unakuta jitu limekuwa zezeta, linateseka alafu linasema hayo ni mapenz.. Maisha yenyewe mafupi, ni ujinga mtupu...
Kabisa... waige mifano ya akina Sulemani, Daudi nk
 
Hii ni kweli kabisa, haya mambo walioleta wazungu mambo ya equal rights wanatuvurugia sana dada zetu , wanaleta jambo ambalo hta wao in reality hawawez kulipractice..

Mambo ya Wazungu yanahitaji Watu wenye fikra huru. Sasa MTU anataka mambo ya kizungu alafu Akili yake inagiza hapo ndipo tatizo linapoanzia
 
Nani kakwambia kua wanataka Handsome 🫤🫤🫤 💸💸💸💸💸💰💰💰💰💰
 
Nani kakwambia kua wanataka Handsome 🫤🫤🫤 [emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]
Hela kila mtu anazitaka... na ndiyo maana akina J. Lokole wameuza rinders
 
Naam hii ni kiumeni
Dunia ni ya Wanaume
Na Wanaume ndio Dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…