Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Hahaa ipi hiyo??Mzima kabsa misimamo ya huku tungeifuata dunia isinge kuwa sehemu salama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa ipi hiyo??Mzima kabsa misimamo ya huku tungeifuata dunia isinge kuwa sehemu salama.
Ndefu sana!
Kuwa na vigezo na misingi ya kusimamia katika sehemu yoyote ya maisha yako ni ishara kwamba unajua nini unahitaji na una ndoto na maono.
Hii haijalishi kupata mke, mume, elimu watoto, ardhi makazi nk.
Hivyo endelea kusimamia misingi yako
Mara tukatae ndoa ,mara hakuna mungu , mara single mother mpka uone kaburi , mara tusome vitabu , mara walimu hawafai yani ni burukushani ili mradi kila mtu anawasilisha hisia zake tu[emoji1787][emoji28][emoji28]Hahaa ipi hiyo??
Ee kwa kweli ni purukushani kila kona hakuna jema.Mara tukatae ndoa ,mara hakuna mungu , mara single mother mpka uone kaburi , mara tusome vitabu , mara walimu hawafai yani ni burukushani ili mradi kila mtu anawasilisha hisia zake tu[emoji1787][emoji28][emoji28]
Ila tunajifunza mengi mno kupitia hii platform.Ee kwa kweli ni purukushani kila kona hakuna jema.
Wanawaharibia michongo yenu wanatusanua wanaumeEe kwa kweli ni purukushani kila kona hakuna jema.
Wala. Mimi sioni tabu mtu kutafuta kitu anachovutiwa nacho, wanaume wenyewe mbona mna vigezo lukuki. Sio mbaya jinsia zote tukitafuta vitu vinavyotupa furaha.Wanawaharibia michongo yenu wanatusanua wanaume
Hoja ina mashiko ila sisi wengine tulishaanza kulitambua hili tangu tukiwa shule ya msingi.
Kaka, Mtibeli ni kabila au Nini?Kwema Wakuu!
Vijana, ikiwa usipokuwa na Pesa wanakudharau, wanakunyali, hawakutaki, na Wakati mwingine wanakutukana. Au ukimuoa siku ukafilisika wanakukimbia. Kwa nini kwako iwe kosa ukijiwekea vigezo?
Mfano, Kwa nini iwe kosa ukisema kamwe hautaoa single mothers? Wakati Muda huohuo wao ili uwe NAO lazima wakuulize unafanya kazi gani sijui hauna pesa na blah! Blah! Blah!
Kwa nini wafikiri wao ni spesho au wanataka uwaone spesho, Kwa nini wanataka uwaone hivyo? Na Wakati wakitaka uwaone wao ni spesho wao wanataka aidha kuku-neutralize au kukushusha thamani!
Hiyo kwetu Watibeli haipo hivyo. Sisi hatufanyi hivyo. Na tunajulikana hivyo. Na kila ambaye atakutana na wanaume jamii yetu atakiri hivyo.
Ukishaanza kuleta vigezo basi elewa vigezo vya Watibeli ni vigumu Mno. Ukitaka niwe WA thamani basi lazima ulingane na thamani unayoitaka kwangu.
Vijana wakiume, ninyi ndio wanaume. Ukikutana na Mwanamke ambaye anajifanya ni mtu wa vigezo na masharti basi nawe katika masharti yake ongeza mara Mbili.
Kamwe usijisalimishe Kwa Mwanamke. Kamwe usijihangaishe kisa Mwanamke. Kamwe usijitumikishe kisa Mwanamke. Kamwe! Kamwe! Kamwe!
Upendo sio kujisalimisha! Kujishusha! Yeye ndiye anatakiwa ajisalimishe, yeye ndiye anatakiwa ajishushe. Hataki apite kushoto. Atafute level yake au misukule yake.
Be a Man. Wewe ni Kichwa. Kicha kipo juu na sio Chini. Kichwa kipo Mbele na sio Nyuma.
Mwanaume ndio unatakiwa uwe na vigezo na masharti. Sio Mwanamke akuwekee masharti yake ya kijingajinga alafu nawe kama bwege unamsikiliza.
Msiwe kama Vijana wapuuzi. Jitu linahangaika kutoa jasho Mchana Kutwa Usiku kucha alafu bado linapelekeshwa na Mwanamke. Kudadadeki! Upuuzi tuu! Mara linanyimwa unyumba kisa sijui ujingaujinga. Hiyo kwetu Watibeli kamwe haitowezekana iwe Kwa Mwanamke kufikiri au kutenda. Hilo haliwezekaniki.
Mimi Taikon Mtibeli, naongea mambo haya bayana bila kificho wala kuficha utambulisho wangu. Ili Vijana wakiume muelewe Kwa urahisi. Msijesema ooh! Anayeongea hatumjui, ooh! Anaongea tuu Kwa vile anatumia Fake ID. Noo!
Vijana jitambueni. Sio kijana mzima unawaza kujipodoa na kujinakshi kisa kuwafurahisha mademu. Huko ni kujishusha thamani, Wanawake ndio wanatakiwa wafanye vitu kwaajili ya kukufurahisha.
ATI Vijana kama majinga, yanaambiana tafuta Pesa alafu ATI hizo Pesa zenyewe lengo Lao ni ili yapate Wanawake. Yaani kama majinga hivi. Mwishowe yakipata Pesa yanashangaa bado Wanawake hawawataki yanabaki kubung'aa na kupiga Mayowe kuwa Wanawake hawajui wanachokihitaji. Upuuzi tuu!
Kamwe Mwanamke asikuwekee vigezo vyake. Akijifanya ni MTU wa vigezo na masharti, mwambie Fresh, si anataka Michezo, cheza naye. Kisha akiingia kwenye kumi na nane fanya yako. Kisha pita kushoto. Mwanaume ndiye unayetoa mwongozo, sheria, vigezo na masharti.
Nimemaliza! Leo kiumeni.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Umesahau kuweka namba ya simu mkuuKwema Wakuu!

Umesahau kuweka namba ya simu mkuu
Kaka, Mtibeli ni kabila au Nini?
Sawa, naomba unichambulie kidogo jinsi ilivyoIdeology
Sahiihi kabisaHoja ina mashiko ila sisi wengine tulishaanza kulitambua hili tangu tukiwa shule ya msingi.
Mimi naona kila mtu afuate haja ya moyo wake.
Sawa, naomba unichambulie kidogo jinsi ilivyo
Sawa rafiki.Kwenye Jambo lolote katika maisha, jitahidi sana kuushirikisha kwanza ubongo, na siyo moyo.
Naamanisha kuwa ni muhimu akili iuongoze moyo, and not the opposite.
-Kaveli-
[emoji419][emoji419][emoji419]Kwenye Jambo lolote katika maisha, jitahidi sana kuushirikisha kwanza ubongo, na siyo moyo.