Ikiwa wao wanataka handsome na wenye Pesa Kwa nini wewe iwe kosa ukiwa na vigezo?

na msimamo wetu hatuwataki masingle mother
Ndefu sana!
Kuwa na vigezo na misingi ya kusimamia katika sehemu yoyote ya maisha yako ni ishara kwamba unajua nini unahitaji na una ndoto na maono.
Hii haijalishi kupata mke, mume, elimu watoto, ardhi makazi nk.
Hivyo endelea kusimamia misingi yako
 
Hahaa ipi hiyo??
Mara tukatae ndoa ,mara hakuna mungu , mara single mother mpka uone kaburi , mara tusome vitabu , mara walimu hawafai yani ni burukushani ili mradi kila mtu anawasilisha hisia zake tu[emoji1787][emoji28][emoji28]
 
Ee kwa kweli ni purukushani kila kona hakuna jema.
 
Hoja ina mashiko ila sisi wengine tulishaanza kulitambua hili tangu tukiwa shule ya msingi.
 
Wanawaharibia michongo yenu wanatusanua wanaume
Wala. Mimi sioni tabu mtu kutafuta kitu anachovutiwa nacho, wanaume wenyewe mbona mna vigezo lukuki. Sio mbaya jinsia zote tukitafuta vitu vinavyotupa furaha.
 
Kaka, Mtibeli ni kabila au Nini?
 
Umesahau kuweka namba ya simu mkuu
 
Mimi naona kila mtu afuate haja ya moyo wake.

Kwenye Jambo lolote katika maisha, jitahidi sana kuushirikisha kwanza ubongo, na siyo moyo.

Naamanisha kuwa ni muhimu akili iuongoze moyo, and not the opposite.

-Kaveli-
 
Kwenye Jambo lolote katika maisha, jitahidi sana kuushirikisha kwanza ubongo, na siyo moyo.

Naamanisha kuwa ni muhimu akili iuongoze moyo, and not the opposite.

-Kaveli-
Sawa rafiki.
 
Kwenye Jambo lolote katika maisha, jitahidi sana kuushirikisha kwanza ubongo, na siyo moyo.

Naamanisha kuwa ni muhimu akili iuongoze moyo, and not the opposite.

-Kaveli-
[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…