monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
[emoji23] ulishusha au uliwapa za kichwa?Kabisa
Nakumbuka madogo krismas moja Moshi...wananiambia...bro kashushe mkaa kwenye gari...[emoji52]..lilinitoka tusi na babu akanitetea...
Sasa hivi alhamdulilah siendi Moshi kwa kuomba lift.
Why Mo Energy lakini?Na hawana muda wa kukuuliza unatumia kinywaji gan utashangaa tuu unatupiwa li mo energy uhangaike nalo na usijandanye useme hutumii utaambiwa unaleta fujo
ππ, kama huna hela, Hata ukitoa mawazo, wanahisi kama unawapotosha vile.Maisha ni vita,tuendelee kupambana pesa ziwe nyingi kama unacho tuwasitiri wengine.
Bila pesa hata kwenye vikao vya familia unaangaliwa kama kingedere fulani.
πππKabisa
Nakumbuka madogo krismas moja Moshi...wananiambia...bro kashushe mkaa kwenye gari...π..lilinitoka tusi na babu akanitetea...
Sasa hivi alhamdulilah siendi Moshi kwa kuomba lift.
Daahhh!!! Hii dharau mbaya sana..Hii iende sambamba na wale waliooa kwenye familia zenye watoto wengi wa kike halafu ukute wewe ndio umezidiwa kipato na wenzako. Heshima huwa haipo ukweni, wanaopewa hadhi na heshima ni wale wenye hela, hii kitu inaudhi sana ukweni
Ishi maisha yako kivyako vyako wewe ..hata ukienda kwa mguu mbona gud tu!.?ππ, Wezio wanaenda na miguu mi nne, alafu wewe unaenda na usafiri wa basi....
[emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3], Hakikisha chupa za bia/soda hazipotei.
Usipojituma utatumika na kama hukutumia ujana wako kwa faida utakuwa na uzee wa hasaraUsipojituma utatumwa tu π
Ndio maana ya undugu mmoja akiwa tee wenzake wanambebaWewe umejitenga sana mkuu, ila kuna makabila kila mwisho wa mwaka lazima wakutane, wenzio wamekuja wamenona mifukoni, alafu wewe unaenda shingo imenyonyoka, jua limewaka mfukoni. π
Nimecheka mm aki tutafute hela ..vest,t-shirt hizo wameshindw kufua unaachiwa chafu wanakurushia utaskia unaambiwa utavaa hiyo ..hawakuachii hela etiππ,, Siku ya kuondoka sasa, wanakuachia viatu, soksi na kofia.
Upo kama mimi mkuu ata ndugu wengne siwajui.Mambo ya pesa labda kwenu, huku kwetu kawaida kwanza mambo ya ukoo sijawahi kukaa kikao tangu nazaliwa ...Huo muda sana labda emergency kama kuzika hata harusi sishiriki.
Pesa sio kila kitu ila ni muhimu sana.
Kweli kabisaUmaskini ni mbaya sana, hasa pale ikiwa ndani ya ukoo wewe ndiye maskini zaidi kuliko wengine, epuka mikusanyiko ya familia hadi uwe na pesa.
β’ Ikiwa unajua wewe ndiye masikini zaidi kati ya ndugu zako au hufanyi vizuri kwenye masuala ya kifedha, ninapendekeza uepuke matukio ya familia au mikusanyiko hadi uwe na pesa. Kama kuna ulazima wa kuhudhuria, keti kwa huruma kwenye kona kama mgeni. Waruhusu watu wanaotoa chakula na zawadi wakuhudumie kama mmoja wa wageni, ili usije ukajiaibisha. Usikae karibu na mahali ambapo chakula na vinywaji vinatolewa , kaa sehemu ambayo utaonekana ni mtu tu wa kawaida.
Hii itakusaidia:-
β’ Kuepuka Mizozo: Tofauti kubwa za kiuchumi zinaweza kusababisha mizozo na mvutano ndani ya familia. Kwa kuiepuka mikusanyiko, inaweza kupunguza nafasi ya kutokea mizozo inayohusiana na masuala ya pesa.
β’ Kuhifadhi Heshima: Kuepuka mikusanyiko kunaweza kusaidia kuhifadhi heshima ya kila mwanafamilia. Baadhi wanaweza kujisikia vibaya kuhusu hali yao ya kiuchumi, kujitenga au kukaa mbali nao inaweza kusaidia kuzuia aibu au kujisikia kutengwa.
β’ Kupunguza Mizaha na Kupotosha: Kwa kuepuka kuchanganyikana na familia, inaweza kuzuia mizaha au vitendo visivyofaa vinavyoweza kutokea kutokana na tofauti za kiuchumi.
β’ Kutoa Nafasi ya Kibinafsi: Kujitenga inaweza kutoa nafasi kwa kila mwanafamilia kushughulikia masuala yao ya kiuchumi kwa faragha bila shinikizo la umma au kujitetea.
β’ Kuepuka Uonevu: Tofauti za kiuchumi zinaweza kusababisha hisia za uonevu au wivu. Kuepuka mikusanyiko kunaweza kupunguza nafasi ya hali hizo kutokea na kuhifadhi amani ndani ya familia.