Vijijini wapo kibao wanakaa kwao ,mjini ndio kuna ubepari ... Wengine huko kijijini wao na watoto wao wanalelewa na wazee wao kazi hawana ,maisha sio rahisi kwa wengine..
😬😬, mjini ni ngumu sana kuishi maisha kama ya bush, maana town kila kitu unanua, tofauti na bush wale ambao brain zao hazijakaa fresh, ni mwendo wa kuwapeleka shamba tu kulima.mjini ndio kuna ubepari ...
Mi kuna group la ukoo sijaungwa huko na sitaki waniunge, group limesheheni wasomi watupu tena ni watu wazito kwenye nchi hii wakiongoza idara nyeti za serikali. Mi darasa la saba na kahela kangu ka chai ya asubuhi nitachangia nini huko, kwanza nitasilizwa hoja zangu na elimu kubwa sina? Sina shobo na group hilo la ukoo sitaki kuwa na inferiority complex nikose raha na amani
Mi kuna group la ukoo sijaungwa huko na sitaki waniunge, group limesheheni wasomi watupu tena ni watu wazito kwenye nchi hii wakiongoza idara nyeti za serikali
Mkuu unazungumzia wazungu hawa hawa au kuna wengine???Tabia asilia za mtu mweusi.
1.Ujivuni
2.Ujuaji
3.Kejeli/Dharau
4.Wivu/Husda
5.Anasa
Tabia asilia za mzungu.
1.Upendo
2.Huruma
3.Kujitoa
4.Kusaidia wasiojiweza
5.Kujali zaidi utu.
NB: Mtu ukishamjua hakupi tabu.
Nakuambia nilishika hela miaka ya nyuma hapo kidogo kwenye 2013 nikiwa yanki tu nakuambia nyumbani nilikua nasikilizwa kama mfalme, kwenye 2018 mambo yakayumba kwa takribani miaka miwili ndio hapo niliona rangi zao wana familia😂 mpaka rangi za girlfriend wangu....aloo asikuambie mtu hela ni muhimu sana nilionja joto ya jiwe.
Mungu si athumani mambo yakaturudi kuwa super mwaka 2020 naona wote wanajipendekeza na mimi nawaonjesha joto ya jiwe sasa😂😂
Nakuambia nilishika hela miaka ya nyuma hapo kidogo kwenye 2013 nikiwa yanki tu nakuambia nyumbani nilikua nasikilizwa kama mfalme,
kwenye 2018 mambo yakayumba kwa takribani miaka miwili ndio hapo niliona rangi zao wana familia😂 mpaka rangi za girlfriend wangu..
wewe acha upotoshaji wewe kwa utafiti upi mpaka useme haya!? wewe a man is still a man whether him rich or poor black or white for sure, the only difference is whether him good or evil...walishaimba Morgan HeritageTabia asilia za mtu mweusi.
1.Ujivuni
2.Ujuaji
3.Kejeli/Dharau
4.Wivu/Husda
5.Anasa
Tabia asilia za mzungu.
1.Upendo
2.Huruma
3.Kujitoa
4.Kusaidia wasiojiweza
5.Kujali zaidi utu.
NB: Mtu ukishamjua hakupi tabu.
Wavuta bangi hawaaminiki! Wewe mwenyewe haujiamini, umejikataa unakula TU ganja na kujijaza matumaini hewa. Hakuna ndugu atakiamini na kukuweka karibuMimi tangu nimeanza kula ganja ndugu na wanafamilia wenyewe wamenitenga automatically....kwa hiyo ni win win situation
Hii joto ya jiwe wapelekee huku ukiwakumbusha, eat your fruit of labor infront of their godamn eyes ili wakumbuke, ndugu wengine wanajisahaulishaga ubaya waliokufanyia wakitegemea mema wakati wote.Nakuambia nilishika hela miaka ya nyuma hapo kidogo kwenye 2013 nikiwa yanki tu nakuambia nyumbani nilikua nasikilizwa kama mfalme, kwenye 2018 mambo yakayumba kwa takribani miaka miwili ndio hapo niliona rangi zao wana familia😂 mpaka rangi za girlfriend wangu....aloo asikuambie mtu hela ni muhimu sana nilionja joto ya jiwe.
Mungu si athumani mambo yakaturudi kuwa super mwaka 2020 naona wote wanajipendekeza na mimi nawaonjesha joto ya jiwe sasa😂😂
Kwa familia zisizo na maadili labdaNi kutafuta hela mkuu, maana kwenye familia ukiwa huna hela, utakua unatumwa tumwa dukani kununua vitu hata kama umri wako ni mkubwa.
Inferiority complex😀😀, Wezio wanaenda na miguu mi nne, alafu wewe unaenda na usafiri wa basi....
Hela sio jawabu la kila kitu waulize wazunguAliyesema hela ni sabuni ya roho hakukosea.....tutafuteni hela bila hiyo n fedhea sanaa.
Hapo pambana angalau ujue kuendesha gari hata kama huna,ili wakikutuma unaendesha magari ya kwaoNi kutafuta hela mkuu, maana kwenye familia ukiwa huna hela, utakua unatumwa tumwa dukani kununua vitu hata kama umri wako ni mkubwa.