Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

Vijijini wapo kibao wanakaa kwao ,mjini ndio kuna ubepari ... Wengine huko kijijini wao na watoto wao wanalelewa na wazee wao kazi hawana ,maisha sio rahisi kwa wengine..
mjini ndio kuna ubepari ...
😬😬, mjini ni ngumu sana kuishi maisha kama ya bush, maana town kila kitu unanua, tofauti na bush wale ambao brain zao hazijakaa fresh, ni mwendo wa kuwapeleka shamba tu kulima.
 
Mi kuna group la ukoo sijaungwa huko na sitaki waniunge, group limesheheni wasomi watupu tena ni watu wazito kwenye nchi hii wakiongoza idara nyeti za serikali. Mi darasa la saba na kahela kangu ka chai ya asubuhi nitachangia nini huko, kwanza nitasilizwa hoja zangu na elimu kubwa sina? Sina shobo na group hilo la ukoo sitaki kuwa na inferiority complex nikose raha na amani

Mi kuna group la ukoo sijaungwa huko na sitaki waniunge, group limesheheni wasomi watupu tena ni watu wazito kwenye nchi hii wakiongoza idara nyeti za serikali

• 😬😬, kajiunge mkuu, unaweza pewa pande la maana aise,

• Ukisha jiunga, jitahidi sana kuwaamkia kila ikifika asubuhi, mchana na jioni 😋
 
Nakuambia nilishika hela miaka ya nyuma hapo kidogo kwenye 2013 nikiwa yanki tu nakuambia nyumbani nilikua nasikilizwa kama mfalme, kwenye 2018 mambo yakayumba kwa takribani miaka miwili ndio hapo niliona rangi zao wana familia😂 mpaka rangi za girlfriend wangu....aloo asikuambie mtu hela ni muhimu sana nilionja joto ya jiwe.
Mungu si athumani mambo yakaturudi kuwa super mwaka 2020 naona wote wanajipendekeza na mimi nawaonjesha joto ya jiwe sasa😂😂
 
Nakuambia nilishika hela miaka ya nyuma hapo kidogo kwenye 2013 nikiwa yanki tu nakuambia nyumbani nilikua nasikilizwa kama mfalme,

kwenye 2018 mambo yakayumba kwa takribani miaka miwili ndio hapo niliona rangi zao wana familia😂 mpaka rangi za girlfriend wangu..

😀😀😀, Hela imebeba kila aina ya matukio, hela imebeba kila aina ya Raha,
Sasa unaona, ulivyo firisika tu, familia, Girlfriend akaona hauna ishu tena kwa sababu utakuwa tegemezi kutoka kwao.
 
Tabia asilia za mtu mweusi.
1.Ujivuni
2.Ujuaji
3.Kejeli/Dharau
4.Wivu/Husda
5.Anasa

Tabia asilia za mzungu.
1.Upendo
2.Huruma
3.Kujitoa
4.Kusaidia wasiojiweza
5.Kujali zaidi utu.

NB: Mtu ukishamjua hakupi tabu.
wewe acha upotoshaji wewe kwa utafiti upi mpaka useme haya!? wewe a man is still a man whether him rich or poor black or white for sure, the only difference is whether him good or evil...walishaimba Morgan Heritage

KWA HIYO...
hizo tabia za asili za mtu mweusi kama ni tabia za asili za binadamu basi ni tabia za mtu mweupe/mzungu pia, na hizo tabia za asili za mzungu kama ni tabia za binadamu basi ni tabia pia za mtu mweusi...

Hujaishi na wazungu wewe boya njoo hapa canada ukae nao uwaone vile wako wenye roho mbaya kuliko hata Makonda
 
Nakuambia nilishika hela miaka ya nyuma hapo kidogo kwenye 2013 nikiwa yanki tu nakuambia nyumbani nilikua nasikilizwa kama mfalme, kwenye 2018 mambo yakayumba kwa takribani miaka miwili ndio hapo niliona rangi zao wana familia😂 mpaka rangi za girlfriend wangu....aloo asikuambie mtu hela ni muhimu sana nilionja joto ya jiwe.
Mungu si athumani mambo yakaturudi kuwa super mwaka 2020 naona wote wanajipendekeza na mimi nawaonjesha joto ya jiwe sasa😂😂
Hii joto ya jiwe wapelekee huku ukiwakumbusha, eat your fruit of labor infront of their godamn eyes ili wakumbuke, ndugu wengine wanajisahaulishaga ubaya waliokufanyia wakitegemea mema wakati wote.
 
Kwa makabila ya wachaga labda wao thamani ya mtu upimwa kwa pesa,kwa makabila mengine hawana shida hii wao upendana wote uwe nazo usiwe nazo sawa tu
 
Ni kutafuta hela mkuu, maana kwenye familia ukiwa huna hela, utakua unatumwa tumwa dukani kununua vitu hata kama umri wako ni mkubwa.
Hapo pambana angalau ujue kuendesha gari hata kama huna,ili wakikutuma unaendesha magari ya kwao
kufuata hiyo mizigo,kama hiyo mikusanyiko inafanyika kijijini watakaokuona unaendesha watajua
na wewe una usafiri ila hujaja nao tu. Usipojifunza mbinu za maisha utakufa na mastress siku si zako.
Huo msemo wa tafuta hela,umewafanya wengine kuchanjwa chale mwili mzima na hela hawajapata.
 
MTU ambaye hajastaharabika na anayetazama mbele ya PUA yake ndo anaweza kuongea hivyo.

Kwamba uKiwa na PESA ndo utapewa heshima.

PESA ni muhimu Ila isifike hatua mkaanza kuwabagua WATU kisa tu wapo financially broke.

Tabia za MTU mweusi hizo , Ebu tazama wenzetu wapemba wanavyoishi Kwa UPENDO bila kubaguana .
 
Back
Top Bottom