Mzungu mjanja sana,kaitawala akili ya mtu mweusi,yeye akiufanya mambo yake anaita sayansi,Mtu mweusi akiufanya mambo yake anaita uchawi na ushenzy na kukitangaza hicho ni kitu kibaya,,,na ndio maana Mungu ni mzungu na malaika wema wooote ni wazungu ila shetani na genge lake ni weusiiiiiii....Tafakari4. Umetambuaje mzungu mchawi wakati wenzio wanajua mzungu si mchawi bali anaenda na sayansi?
Nijibu tafadhali.
Yeah familia kama hizo zipo mkuu, lakini ni Asilimia chache sana, Maana matajiri walio wengi hupenda sana kuabudiwa, Ili kuepuka hiki kikombe ni vizuri kusaka pesa tu.Inategemea na aina ya familia zipo familia undugu na upendo baina yao hauunganishwi na pesa Bali misingi waliyowekewa upendana bila kujali kipato
😂😂😂Watakaobisha wabishe tu,ila huo ndio ukweli,jiweke pembeni maana ukiwa kwenye hiyo mikusanyiko au Vikao vya familia ukichangia point unaambiwa"FULANI TUNAOMBA UACHE FUJO, TAFADHALI KETI"unabaki kushangaa umefanya fujo Gani.?• 😀😀, Wapo mkuu, wanasema uzi huu hauna maana,
• ila Ukiwa huna hela, Hata sehem unayokaa, mara utakuta mende wa kutosha, panya ndo usiseme, mijusi, yani kila aina ya wadudu wapo. 😬😬
Kwa mazingira ya mjini Kijijini pesa sio kiunganishi cha undugu kule wanategemea free of nature na sio pesa😀, Maadili bila hela, kuna changamoto zake,
"Utasikia father samahan nifuatie mkate wa buku hapo dukani, samahan lakini 😐"
Miaka inabadilika mkuu, na tabia pia zinabadilika, kwa hiyo tusitegemee mila zitabaki vile vile kama za mwanzo.Kwa makabila ya wachaga labda wao thamani ya mtu upimwa kwa pesa,kwa makabila mengine hawana shida hii wao upendana wote uwe nazo usiwe nazo sawa tu
Wanapata pesa bila kuwa na elimu ya utu ndo shida.Yeah familia kama hizo zipo mkuu, lakini ni Asilimia chache sana, Maana matajiri walio wengi hupenda sana kuabudiwa, Ili kuepuka hiki kikombe ni vizuri kusaka pesa tu.
Yah sisi watu wa maandiko tunaita generation x yaani kizazi Cha siku za mwisho we uoni hata ndoa zilivyo sasa bila pesa hakuna ndoaMiaka inabadilika mkuu, na tabia pia zinabadilika, kwa hiyo tusitegemee mila zitabaki vile vile kama za mwanzo.
Mbinu za kivita hizi, zimekaa poa😊😊,Hapo pambana angalau ujue kuendesha gari hata kama huna,ili wakikutuma unaendesha magari ya kwao
kufuata hiyo mizigo,kama hiyo mikusanyiko inafanyika kijijini watakaokuona unaendesha watajua
na wewe una usafiri ila hujaja nao tu. Usipojifunza mbinu za maisha utakufa na mastress siku si zako.
Huo msemo wa tafuta hela,umewafanya wengine kuchanjwa chale mwili mzima na hela hawajapata.
Hata kama sina mia hunitumi kijinga unless ulenipita umri. Hata kama una hela zako na ni mdogo kwangu, nitakutuma tu. Hela ni zako na hazina msaada wowote kwangu, kwa hiyo tuheshimiane. Siwezi mtuma kaka au dada yangu hivyohovyo kisa hana hela kunishida.• 😀😀, Kabisa, unaonekana huna faida yeyote ile,
• Mtu unafamilia yako, lakini unatumwa tumwa kama mtoto mdogo,
MTU ambaye hajastaharabika na anayetazama mbele ya PUA yake ndo anaweza kuongea hivyo.
Kwamba uKiwa na PESA ndo utapewa heshima.
PESA ni muhimu Ila isifike hatua mkaanza kuwabagua WATU kisa tu wapo financially broke.
Tabia za MTU mweusi hizo , Ebu tazama wenzetu wapemba wanavyoishi Kwa UPENDO bila kubaguana .
Jamii ya Africa, Maisha ndo yapo hivyo, Kama huna hela, Hata kwenye mambo muhimu huwezi kuitwa,Kwamba uKiwa na PESA ndo utapewa heshima.
😬😬😬, Wakaenda mbali zaidi, wakatengeneza na film ya yesu, Ili wazidi kutucheleweshea maendeleo Yetu.Mzungu mjanja sana,kaitawala akili ya mtu mweusi,yeye akiufanya mambo yake anaita sayansi,Mtu mweusi akiufanya mambo yake anaita uchawi na ushenzy na kukitangaza hicho ni kitu kibaya,,,na ndio maana Mungu ni mzungu na malaika wema wooote ni wazungu ila shetani na genge lake ni weusiiiiiii....Tafakari
😂😂😂Watakaobisha wabishe tu,ila huo ndio ukweli,jiweke pembeni maana ukiwa kwenye hiyo mikusanyiko au Vikao vya familia ukichangia point unaambiwa"FULANI TUNAOMBA UACHE FUJO, TAFADHALI KETI"unabaki kushangaa umefanya fujo Gani.?
Ikatokea hujamuona binamu yako Fulani ukaomba namba yake utasikia""NGOJA KWANZA NIMUULIZE"ukijibiwa hivyo jua wanaogopa usumbufu utaanza kuombaomba Hela..
• 🤣🤣🤣🤣, Dah, umetisha sana,Ikatokea hujamuona binamu yako Fulani ukaomba namba yake utasikia""NGOJA KWANZA NIMUULIZE"ukijibiwa hivyo jua wanaogopa usumbufu utaanza kuombaomba Hela.
• Mkuu siyo utandawazi huo? 🤔Yah sisi watu wa maandiko tunaita generation x yaani kizazi Cha siku za mwisho we uoni hata ndoa zilivyo sasa bila pesa hakuna ndoa
😀😀, unatumwa kijanja mkuu,Hata kama sina mia hunitumi kijinga unless ulenipita umri. Hata kama una hela zako na ni mdogo kwangu, nitakutuma tu. Hela ni zako na hazina msaada wowote kwangu, kwa hiyo tuheshimiane. Siwezi mtuma kaka au dada yangu hivyohovyo kisa hana hela kunishida.
Safi sana mkuu wakazie wajifunze.Nakuambia nilishika hela miaka ya nyuma hapo kidogo kwenye 2013 nikiwa yanki tu nakuambia nyumbani nilikua nasikilizwa kama mfalme, kwenye 2018 mambo yakayumba kwa takribani miaka miwili ndio hapo niliona rangi zao wana familia😂 mpaka rangi za girlfriend wangu....aloo asikuambie mtu hela ni muhimu sana nilionja joto ya jiwe.
Mungu si athumani mambo yakaturudi kuwa super mwaka 2020 naona wote wanajipendekeza na mimi nawaonjesha joto ya jiwe sasa😂😂