Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

4. Umetambuaje mzungu mchawi wakati wenzio wanajua mzungu si mchawi bali anaenda na sayansi?
Nijibu tafadhali.
Mzungu mjanja sana,kaitawala akili ya mtu mweusi,yeye akiufanya mambo yake anaita sayansi,Mtu mweusi akiufanya mambo yake anaita uchawi na ushenzy na kukitangaza hicho ni kitu kibaya,,,na ndio maana Mungu ni mzungu na malaika wema wooote ni wazungu ila shetani na genge lake ni weusiiiiiii....Tafakari
 
Inategemea na aina ya familia zipo familia undugu na upendo baina yao hauunganishwi na pesa Bali misingi waliyowekewa upendana bila kujali kipato
Yeah familia kama hizo zipo mkuu, lakini ni Asilimia chache sana, Maana matajiri walio wengi hupenda sana kuabudiwa, Ili kuepuka hiki kikombe ni vizuri kusaka pesa tu.
 
• 😀😀, Wapo mkuu, wanasema uzi huu hauna maana,

• ila Ukiwa huna hela, Hata sehem unayokaa, mara utakuta mende wa kutosha, panya ndo usiseme, mijusi, yani kila aina ya wadudu wapo. 😬😬
😂😂😂Watakaobisha wabishe tu,ila huo ndio ukweli,jiweke pembeni maana ukiwa kwenye hiyo mikusanyiko au Vikao vya familia ukichangia point unaambiwa"FULANI TUNAOMBA UACHE FUJO, TAFADHALI KETI"unabaki kushangaa umefanya fujo Gani.?

Ikatokea hujamuona binamu yako Fulani ukaomba namba yake utasikia""NGOJA KWANZA NIMUULIZE"ukijibiwa hivyo jua wanaogopa usumbufu utaanza kuombaomba Hela..
 
Hapo pambana angalau ujue kuendesha gari hata kama huna,ili wakikutuma unaendesha magari ya kwao
kufuata hiyo mizigo,kama hiyo mikusanyiko inafanyika kijijini watakaokuona unaendesha watajua
na wewe una usafiri ila hujaja nao tu. Usipojifunza mbinu za maisha utakufa na mastress siku si zako.
Huo msemo wa tafuta hela,umewafanya wengine kuchanjwa chale mwili mzima na hela hawajapata.
Mbinu za kivita hizi, zimekaa poa😊😊,
 
• 😀😀, Kabisa, unaonekana huna faida yeyote ile,
• Mtu unafamilia yako, lakini unatumwa tumwa kama mtoto mdogo,
Hata kama sina mia hunitumi kijinga unless ulenipita umri. Hata kama una hela zako na ni mdogo kwangu, nitakutuma tu. Hela ni zako na hazina msaada wowote kwangu, kwa hiyo tuheshimiane. Siwezi mtuma kaka au dada yangu hivyohovyo kisa hana hela kunishida.
 
MTU ambaye hajastaharabika na anayetazama mbele ya PUA yake ndo anaweza kuongea hivyo.

Kwamba uKiwa na PESA ndo utapewa heshima.

PESA ni muhimu Ila isifike hatua mkaanza kuwabagua WATU kisa tu wapo financially broke.

Tabia za MTU mweusi hizo , Ebu tazama wenzetu wapemba wanavyoishi Kwa UPENDO bila kubaguana .
Kwamba uKiwa na PESA ndo utapewa heshima.
Jamii ya Africa, Maisha ndo yapo hivyo, Kama huna hela, Hata kwenye mambo muhimu huwezi kuitwa,

Zaidi zaidi utasikia taarifa za juu juu tu. Maana hata wakikuita wanahisi Kabisa hakuna mchango utakao toa, zaidi ya kuwapiga vizinga tu.
 
Mzungu mjanja sana,kaitawala akili ya mtu mweusi,yeye akiufanya mambo yake anaita sayansi,Mtu mweusi akiufanya mambo yake anaita uchawi na ushenzy na kukitangaza hicho ni kitu kibaya,,,na ndio maana Mungu ni mzungu na malaika wema wooote ni wazungu ila shetani na genge lake ni weusiiiiiii....Tafakari
😬😬😬, Wakaenda mbali zaidi, wakatengeneza na film ya yesu, Ili wazidi kutucheleweshea maendeleo Yetu.
 
😂😂😂Watakaobisha wabishe tu,ila huo ndio ukweli,jiweke pembeni maana ukiwa kwenye hiyo mikusanyiko au Vikao vya familia ukichangia point unaambiwa"FULANI TUNAOMBA UACHE FUJO, TAFADHALI KETI"unabaki kushangaa umefanya fujo Gani.?

Ikatokea hujamuona binamu yako Fulani ukaomba namba yake utasikia""NGOJA KWANZA NIMUULIZE"ukijibiwa hivyo jua wanaogopa usumbufu utaanza kuombaomba Hela..

Ikatokea hujamuona binamu yako Fulani ukaomba namba yake utasikia""NGOJA KWANZA NIMUULIZE"ukijibiwa hivyo jua wanaogopa usumbufu utaanza kuombaomba Hela.
• 🤣🤣🤣🤣, Dah, umetisha sana,

• hapo elewa Kabisa kwenye orodha ya watu muhimu wewe haupo Kabisa,
 
Yah sisi watu wa maandiko tunaita generation x yaani kizazi Cha siku za mwisho we uoni hata ndoa zilivyo sasa bila pesa hakuna ndoa
• Mkuu siyo utandawazi huo? 🤔

• Kwamba kuna siku za mwisho kweli hapa duniani ?, Siku bado zipo nyingi sana mkuu,
 
Hata kama sina mia hunitumi kijinga unless ulenipita umri. Hata kama una hela zako na ni mdogo kwangu, nitakutuma tu. Hela ni zako na hazina msaada wowote kwangu, kwa hiyo tuheshimiane. Siwezi mtuma kaka au dada yangu hivyohovyo kisa hana hela kunishida.
😀😀, unatumwa kijanja mkuu,

“Kanunue kitu fulani, alafu salio litakalo baki ni la kwako.. Hapo kama jua limewaka mfukoni, utaenda tu.
 
Nakuambia nilishika hela miaka ya nyuma hapo kidogo kwenye 2013 nikiwa yanki tu nakuambia nyumbani nilikua nasikilizwa kama mfalme, kwenye 2018 mambo yakayumba kwa takribani miaka miwili ndio hapo niliona rangi zao wana familia😂 mpaka rangi za girlfriend wangu....aloo asikuambie mtu hela ni muhimu sana nilionja joto ya jiwe.
Mungu si athumani mambo yakaturudi kuwa super mwaka 2020 naona wote wanajipendekeza na mimi nawaonjesha joto ya jiwe sasa😂😂
Safi sana mkuu wakazie wajifunze.
 
Back
Top Bottom