Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

Ni miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma.

Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu
Baada hata ya miaka 1000, hii clip itaonyesha kwamba msaliti wa taifa anapaswa kuuawa! Na Magufuli ataonekana ni kiongozi bora sana aliyetimiza hilo la kudeal na wasaliti wa taifa.
 
Hii kauli aliyoitoa Magufuli kumwambia Spika awatimue wasaliti bungeni ili wakiwa nje washughulikiwe nae, inaonesha hapa ndipo polisi wetu walipotakiwa kuanzia uchunguzi wao dhidi ya shambulio la Lissu, ajabu polisi bado wanamsubiri Lissu arudi ili wamfanyie mahojiano.

Maneno mengi aliyozungumza Magufuli kwenye hiyo video yana viashiria vingi vya mtu aliyetaka kulipa kisasi, mfano anapomwambia Spika; "watoe huku nje tuwashughulikie, kwa sababu wakiwa kule bungeni wana immunity, wanaweza kuzungumza chochote".

Anaendelea kusema; "hatuwezi kuwa vitani, halafu tukiwa mstari wa mbele, anajitokeza mmoja wetu na kuanza kuwashambulia askari wetu, huyu tuta deal nae; bora unyamaze kimya, au ukalale".

Mpaka hapo, inashangaza bado polisi wetu hawakuona mahala pa kuanzia uchunguzi wao kuhusu shambulio dhidi ya Lissu, maneno yao yamekuwa ya kisiasa sana.
 
Wachawi akina Mbowe na genge lake la mabeberu walitumia huu mwanya kutaka kuichonganisha serikali na wananchi. Hakika lisu ataendelea kuwa msaliti
Dawa yako ni tozo tu, CCM sio ya kwako, wewe kwao ni pawn tu, umeona nafasi za ubunge wa EA, zimeenda wapi!? Watoto wa vigogo! Ambao walipomaliza vyuo tu, wakiwa kwenye 24yrs tu, wakapewa nafasi ubalozini, wewe unatembeza bahasha ya kaki.
 
Tatizo maagizo aliyatoa public na kunji define jinsi alivyo. Operator mkuu hakumfunda jinsi kagame anavyo dili na anaodili nao.

Kivyovyote vile mshahara wa dhambi ni mauti kama alitoa order bila shaka ameshapata adhabu yake. Na kama kweli lissu alikuwa kwenye njia ya kusaliti taifa naye amesha pata ijara yake
 
Liuaji makao yake ni jehanamu ya moto
Alikufa katika umri ambao wataalam tunaita 'late age" so hatukupoteza kitu.

Jiwe liliishi umri mzuri na lilionesha tofauti ya uswahili na u-mkoani🤣🤣

Nafasi aliyoishika kuna watu kizazi chake na kizazi kamwe hawatoishika wataishia tu kuwa na vijikadi vya chama na kutumika kama karatasi.

Rest in peace , John Pombe Magufuli
 
Halafu kuna wale watetezi wa DIKTETA wanakuambia eti Magufuli anachafuliwa? Unamchafuaje mwehu kama huyu anayetangaza kwenye mkutano wa hadhara kuwa "msaliti" huuawa na few hours jaribio la kumuua Lissu linafanyika.

Isitoshe kusema ukimpangia kumdhuru mtu mwema kama Lissu, Shetani anakuingia anakuacha uropoke kama alivyoropoka Magufuli ili tupate ushahidi. Mungu hakupenda adhma mbaya ambayo Magufuli alikuwa nayo dhidi ya Lissu kwa vile Lissu ndiye mtetezi wa kweli wa raslimali za madini tangu miaka ya 2000 wakati wa Mkapa akiwatetea wachimbaji wa Tarime na wakati akiwa Mbunge kipindi chote cha Kikwette akiwa msemaji wa Kambi ya upinzani kwenye sekta ya madini.

Wakati huo Magufuli alikuwa kimya kwenye Kambi ya CCM ambapo Lissu na upinzania walikuwa wanapambana na Serikali bungeni hadi kutoka nje ya Bunge kukataa kuwa rubber stamp ya Sheria mbaya za madini.

Mungu asingeruhusu dhuluma kama hii itokee kwa Lissu hivyo, Magufuli akashindwa kumuua na hatimaye akafa yeye Machi 17, 2021.

Hata kama huamini Mungu, kwenye hili tukio la Lissu na Magufuli Mungu alisima katikati kama alivyosimama dhidi ya Nebukadineza alipotaka kuwadhuru akina Nabii Daniel na hawa akina Meshack, Abdenengo na Shadrack (Danieli 1-3). Muacheni Mungu aitwe Mungu
 
Kama Magufuli aliweza kumshambulia Lissu katika kipindi hicho bila kuhofia kujulikana kwamba atajulikana kuwa ni yeye sasa ni sababu ipi iliyofanya asimmalizie baada ya kujulikana Lissu hakufa? Ni kwamba aliogopa nini ambacho hakukiogopa mwanzo?
 
Alikufa katika umri ambao wataalam tunaita 'late age" so hatukupoteza kitu .
Jiwe liliishi umri mzuri na lilionesha tofauti ya uswahili na u-mkoani🤣🤣

Nafasi aliyoishika kuna watu kizazi chake na kizazi kamwe hawatoishika wataishia tu kuwa na vijikadi vya chama na kutumika kama karatasi.

Rest in peace , John Pombe Magufuli
Acha uwongo wako late age iko wapi hapo? Joe Biden kaingia State House ya USA akiwa 77, Trump yuko above 80 bado anataka kurudi White House, Raila alikuwa anagombea akiwa above 70.

Magufuli hawezi ku REST IN PEACE kama unavyotaka kwa vile yeye mwenyewe aliiba uchaguzi wote wa 2020 na kuweka wabunge wake ambao alitaka waje wampitishe kubadili Katiba na kuondoa ukomo wa utawala pale mwaka 2025 ili aendelee kutawala. Mungu akatenda tulichotaka Watanzania tulio wengi kwa kumpekea Jehanam
 
Back
Top Bottom