Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

Hii kauli aliyoitoa Magufuli kumwambia Spika awatimue wasaliti bungeni ili wakiwa nje washughulikiwe nae, inaonesha hapa ndipo polisi wetu walipotakiwa kuanzia uchunguzi wao dhidi ya shambulio la Lissu, ajabu polisi bado wanamsubiri Lissu arudi ili wamfanyie mahojiano.

Maneno mengi aliyozungumza Magufuli kwenye hiyo video yana viashiria vingi vya mtu aliyetaka kulipa kisasi, mfano anapomwambia Spika; "watoe huku nje tuwashughulikie, kwa sababu wakiwa kule bungeni wana immunity, wanaweza kuzungumza chochote".

Anaendelea kusema; "hatuwezi kuwa vitani, halafu tukiwa mstari wa mbele, anajitokeza mmoja wetu na kuanza kuwashambulia askari wetu, huyu tuta deal nae; bora unyamaze kimya, au ukalale".
Huyu mzee alikuwa kama shetani.
 
Ni miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma.

Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu
Ilikuwa tarehe 7 /09/2017 na kwa mara ya kwanza Makonda hakuwepo hapo alionekana jioni Morogoro akirudi Dar

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Halafu kuna wale watetezi wa DIKTETA wanakuambia eti Magufuli anachafuliwa? Unamchafuaje mwehu kama huyu anayetangaza kwenye mkutano wa hadhara kuwa "msaliti" huuawa na few hours jaribio la kumuua Lissu linafanyika.

Isitoshe kusema ukimpangia kumdhuru mtu mwema kama Lissu, Shetani anakuingia anakuacha uropoke kama alivyoropoka Magufuli ili tupate ushahidi. Mungu hakupenda adhma mbaya ambayo Magufuli alikuwa nayo dhidi ya Lissu kwa vile Lissu ndiye mtetezi wa kweli wa raslimali za madini tangu miaka ya 2000 wakati wa Mkapa akiwatetea wachimbaji wa Tarime na wakati akiwa Mbunge kipindi chote cha Kikwette akiwa msemaji wa Kambi ya upinzani kwenye sekta ya madini. Wakati huo Magufuli alikuwa kimya kwenye Kambi ya CCM ambapo Lissu na upinzania walikuwa wanapambana na Serikali bungeni hadi kutoka nje ya Bunge kukataa kuwa rubber stamp ya Sheria mbaya za madini.

Mungu asingeruhusu dhuluma kama hii itokee kwa Lissu hivyo, Magufuli akashindwa kumuua na hatimaye akafa yeye Machi 17, 2021.

Hata kama huamini Mungu, kwenye hili tukio la Lissu na Magufuli Mungu alisima katikati kama alivyosimama dhidi ya Nebukadineza alipotaka kuwadhuru akina Nabii Daniel na hawa akina Meshack, Abdenengo na Shadrack (Danieli 1-3). Muacheni Mungu aitwe Mungu
Wewe unajulikana kwamba hizi ndio thread zako za kila siku....hivi taifa halina agenda zingine za kujadili, mpaka kila siku utulalamikie kwamba Magufuli alikupiga kwenye mshono? Kwamba ulipapaswa makalio? Shenz kabisa...kila uchawao Magufuli alikufanya hivi...mnakera sana
 
Acha uwongo wako late age iko wapi hapo? Joe Biden kaingia State House ya ISA akiwa 77, Trump yuko above 80 bado anataka kurudi White House, Raila alikuwa anagombea akiwa above 70.

Magufuli hawezi ku REST IN PEACE kama unavyotaka kwa vile yeye mwenyewe aliiba uchaguzi wote wa 2020 na kuweka wabunge wake ambao alitaka wake wampitishe kubadili Katiba na kuondoa ukomo wa utawala pale mwaka 2025 ili aendelee kutawala. Mungu akatenda tulichotaka Watanzania tulio wengi kwa kumpekea Jehanam
Unabisha kwa kutumia negative sio weledi mkuu. Hiyo age ya Magu kwa huku kwetu ni kama late age tuu kwakuwa hawa wazee wetu sio kama hao uliowataja.

Kwanza tambua late age inategemea na mazingira . Kuwa kiongozi katika umri wa 77/79 kwa Wamarekani sawa kwasababu kwao nchi ina mfumo wa kujiendesha katika kila sehemu . Mfano Bunge, Mahakama na Serikali kuu. Mfumo imara ukiwepo mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuwa kiongozi hata Mzee Mwinyi(ruksa) unaweza kumrudisha.

Hapa kwetu kuna shida nyingi sana na serikali haiwezi kujiendesha bila kiongozi sio mfumo. Hapa namaanisha mfumo unamfuata kiongozi sio kiongozi kufuata mfumo.

Ukiachana na hizo akili zako za kuvukia barabara , naweza kukwambia tu Jpm umri wake kiafrika hasa kisiasa ni late age.
 
Mungu fundi bana.
lolbron.png
 
Kama Magufuli aliweza kumshambulia Lissu katika kipindi hicho bila kuhofia kujulikana kwamba atakuwa ni yeye sasa ni sababu ipi iliyofanya asimmalizie baada ya kujulikana Lissu hakufa ni kwamba aliogopa nini ambacho hakikiogopa mwanzo?
Unafikiri kwa nini alipelekwa Kenya na baadae Belgium? Ingekuwa Muhimbili angefanya finishing

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ni miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma.

Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu
😆😆 Na hiki ndicho kinamtesa SSH, amewaachia wanaropoka kila tumbili anaropoka..

Mtu anaenda kwenye TV Kujifanya eti anamsemea mnyonge wakati hana hata msaada Kwa huyo mnyonge..

Unaanza kupinga maendeleo anapinga tozo as if tozo zinaenda kufanya mambo binafsi ya familia..

Watu wa hivi ni ku deal nao Ili Kazi ifanyike vinginevyo utaishia kuyumbishwa kila siku..
 
Hii kauli aliyoitoa Magufuli kumwambia Spika awatimue wasaliti bungeni ili wakiwa nje washughulikiwe nae, inaonesha hapa ndipo polisi wetu walipotakiwa kuanzia uchunguzi wao dhidi ya shambulio la Lissu, ajabu polisi bado wanamsubiri Lissu arudi ili wamfanyie mahojiano.

Maneno mengi aliyozungumza Magufuli kwenye hiyo video yana viashiria vingi vya mtu aliyetaka kulipa kisasi, mfano anapomwambia Spika; "watoe huku nje tuwashughulikie, kwa sababu wakiwa kule bungeni wana immunity, wanaweza kuzungumza chochote".

Anaendelea kusema; "hatuwezi kuwa vitani, halafu tukiwa mstari wa mbele, anajitokeza mmoja wetu na kuanza kuwashambulia askari wetu, huyu tuta deal nae; bora unyamaze kimya, au ukalale".
Matokeo yake yeye ndiye kaondoka nchi ipo na hao aliotaka awashughulike bado wapo.Tukanyage vizuri ardhi ya muumba.
 
Back
Top Bottom