Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma.
Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu.
Umeona eeh! Mambo ndiyo yameanza kwa kupitia Tigo
Wachawi akina Mbowe na genge lake la mabeberu walitumia huu mwanya kutaka kuichonganisha serikali na wananchi.
Hakika Lissu ataendelea kuwa msaliti.
AiseeNi miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma.
Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu.
kwa hiyo lisu ndo msaliti a taifa alietajwa katika hiyo clip?Hii kauli aliyoitoa Magufuli kumwambia Spika awatimue wasaliti bungeni ili wakiwa nje washughulikiwe nae, inaonesha hapa ndipo polisi wetu walipotakiwa kuanzia uchunguzi wao dhidi ya shambulio la Lissu, ajabu polisi bado wanamsubiri Lissu arudi ili wamfanyie mahojiano.
Maneno mengi aliyozungumza Magufuli kwenye hiyo video yana viashiria vingi vya mtu aliyetaka kulipa kisasi, mfano anapomwambia Spika; "watoe huku nje tuwashughulikie, kwa sababu wakiwa kule bungeni wana immunity, wanaweza kuzungumza chochote".
Anaendelea kusema; "hatuwezi kuwa vitani, halafu tukiwa mstari wa mbele, anajitokeza mmoja wetu na kuanza kuwashambulia askari wetu, huyu tuta deal nae; bora unyamaze kimya, au ukalale".
Mpaka hapo, inashangaza bado polisi wetu hawakuona mahala pa kuanzia uchunguzi wao kuhusu shambulio dhidi ya Lissu, maneno yao yamekuwa ya kisiasa sana.
Final and conclusive.Ni miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma.
Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu.
Ili iweje?Ni miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma.
Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu.
wasaliti Mungu alikwisha wapumzisha. Wengine ndio wanaojaribu jaribu, tunawakabidhi madaraka wakiingia ofisini wanatusaliti. Sijui kama tutaendelea kumtegea Mungu awapumzishe au tufuaye mfano wake. Msaliti namba one ni yule aliekua ofisini acha hawa wanaopiga kelele huko nje. Mabichwa kome hamuoniBaada hata ya miaka 1000, hii clip itaonyesha kwamba msaliti wa taifa anapaswa kuuawa! Na Magufuli ataonekana ni kiongozi bora sana aliyetimiza hilo la kudeal na wasaliti wa taifa.
Aidha, hata Rais Samia tuhuma anazotupiwa za kuhusika na tukio la jaribio la mauaji ya Tundu Lissu kule Dodoma yeye pia tuhuma hizo zinamhusu Moja kwa Moja. Rais Magufuli siyo Mtuhumiwa pekee wa shambulizi lililofanywa dhidi ya Tundu Lissu, hata yeye pia anahusika kwa sababu Serikali ya 'MaguSami' (i.e. Magufuli+Samia) ndio iliyokuwa madarakani wakati ule tukio hilo lilipotokea.Hili halina ubishi mkuu. Magufuli ndiye aliyeamuru Lissu auliwe na kikosi cha Makonda. Ila Mungu akaweka mkono wake dhidi ya ile hila
Anayeunga mkono mauaji ni muuaji na muuaji yeyote anatekeleza kazi za shetani naye ni shetani!!Baada hata ya miaka 1000, hii clip itaonyesha kwamba msaliti wa taifa anapaswa kuuawa! Na Magufuli ataonekana ni kiongozi bora sana aliyetimiza hilo la kudeal na wasaliti wa taifa.
😂😂😂😂😂😂😂😬😬😬😬😆😆😆Ni miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma.
Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu.
Mwamba alikua sahihi sanaBaada hata ya miaka 1000, hii clip itaonyesha kwamba msaliti wa taifa anapaswa kuuawa! Na Magufuli ataonekana ni kiongozi bora sana aliyetimiza hilo la kudeal na wasaliti wa taifa.
Samia hahusiki na kushambuliwa kwa Lissu. Ninabisha na hata ukinichuna ngozi nitabisha.Aidha, hata Rais Samia tuhuma anazotupiwa za kuhusika na tukio la jaribio la mauaji ya Tundu Lissu kule Dodoma yeye pia tuhuma hizo zinamhusu Moja kwa Moja. Rais Magufuli siyo Mtuhumiwa pekee wa shambulizi lililofanywa dhidi ya Tundu Lissu, hata yeye pia anahusika kwa sababu Serikali ya 'MaguSami' (i.e. Magufuli+Samia) ndio iliyokuwa madarakani wakati ule tukio hilo lilipotokea.