πππMwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Zitto Kabwe amesema kukutana kwa Mwenyekiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz na rais @SamiaSuluhu ikulu ni miongoni mwa jitihada alizokuwa anazifanya yeye binafsi. πππππ
Kumbe jiwe ndio alimkamata Mbowe?Hii kesi imeanzia kwa jiwe. Kama kusujudu My angetaka kusujudu, angesujudu kipindi Cha mwendazake, alipofungiwa akaunti, kubomolewa bilcanass, kufungiwa Tanzania daima, kuharibiwa shamba etc
Ni ngumu kwa sababu ina unafiki mwingi sana. Not sure kama mahabusu wengine huwa wanalala mahabusu siku zote.Aise, siasa ni ngumu kuliko physics wakuu
Shida uwa mnasahau mapema.
Zito alimuombea msamaha mbowe alijibiwa nini?
Mshazoea kununuawa upinzani na wananchi. This time mmekutana na Freeman.Ni hatari tu kama hawajamwaga mpunga wakimwaga mpunga tunawauzia chama na form ya urais.
View attachment 2139198
Kachimbe ujifukie na wewe.....ndo IMEISHA HIYOOHiyo nchi nzima lini?
Hampendi kuambiwa ukweli msikate matawi kateni mizizi.
Akili za kitajiri ndio kuwa unasahu kama nyumbu wa ufipa?
Hata Mgogo aliitwa hapo ukilu ila akiitwa mbowe mnaona kama spesho
sana mbowe anastahili zaidi ya kwenda kuitwa ikulu.
Si tayari kalainika?Wewe haukuwahi kilitaja kwa kutoamini kuwa ni mwamba maana uliaminisha watu kuwa yeye ni Gaidi na lazima aozee jela, sasa twambie
Imekuwaje na wapi uliona Gaidi lolote duniani anaingia ikulu, nani kamwita huko?au anaenda kushirikiana na Rais kufanya ugaidi? Acha porojo za eti kafika bei,
Ndipo muone ujinga wenu ulivyo mwingi.
Yule mtu alikuwa wa ajabu sana kupata kutokeaHii kesi imeanzia kwa jiwe. Kama kusujudu My angetaka kusujudu, angesujudu kipindi Cha mwendazake, alipofungiwa akaunti, kubomolewa bilcanass, kufungiwa Tanzania daima, kuharibiwa shamba etc
Haija isha mpaka mnakapo acha kulia lia na kumjua adui yenu ni naniKachimbe ujifukie na wewe.....ndo IMEISHA HIYOO
Kama ilichongwa kipindi cha Magufuli, imetekelezwa kipindi cha Samia!Wakati fulani tusitoe hoja za Kitoto nakulaumu tu. Kwa hiyo una conclude kwamba Mama Samia ndio alimfunga Mbowe? Umesahau kuwa hii kesi imekuwa formulated enzi ya Ndugu yako Mwendazake? Ok Mbowe kafutiwa kase then kaitwa Ikulu kuitikia wito wa Rais. What is wrong with that?? Angekataa kuitikia wito ungemwita shujaa?.
Kumbe jiwe ndio alimkamata Mbowe?
Kumbe yule aliehojiwa na bbc na kusema Mbowe ni gaidi alikuwa jiwe?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo hakukamatwa kwa sababu ya kudai katiba kama mlivyokuwa mnasema?Kuwa mwelewa, nakuambia kesi ilianza kipindi Cha jiwe, Mbowe alichomekewa katikati. Rais alipelekewa taarifa na vyombo vya usalama kuhusu ugaidi wa mbowe.
Kwani Ikulu ni Baba yako kwamba Mbowe haruhusiwi kufika huko hasa akiitwa na Citizen no.1? MICCM imekasirika. Kunywa dawa ya Panya changanya kwenye JuiceHaija isha mpaka mnakapo acha kulia lia na kumjua adui yenu ni nani
Acheni kuchek cheka kwa karanga za kuonjeshwa nyie vichwa panzi.
Haija isha mpaka mnakapo acha kulia lia na kumjua adui yenu ni nani
Acheni kuchek cheka kwa karanga za kuonjeshwa nyie vichwa panzi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi hapa sina mbavu kwa jinsi machadema yanavyoshangilia!
Kamata, weka ndani miezi nane, aahhh sina nia na kesi, njoo ikulu, shangilia!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mmm. Taratibu mkubwa. Udhalilishaji wa kijinsia huu.Covid19 Pichu zimelowa muda huu
Unaona sasa tatizo la kuwa kichwa panziiiKwani Ikulu ni Baba yako kwamba Mbowe haruhusiwi kufika huko hasa akiitwa na Citizen no.1? MICCM imekasirika. Kunywa dawa ya Panya changanya kwenye Juice
Ulitaka Samia aifute kesi prematurely wakati akina Siro, Kingai na Biswalo walishaandaa mashitaka mapema kabisa? Mama Samia anabeba Gunia la Misumari ya irresponsible Elite Figures wanao tumia Madaraka vibaya..Kama ilichongwa kipindi cha Magufuli, imetekelezwa kipindi cha Samia!
Kwa nini Samia aliendelea nayo ilhali mengine [ya mwendazake] aliyatupilia mbali haraka na upesi?
Kulikuwa na haja gani ya Samia kuendelea na kesi ya mchongo wa namna hiyo?
Yaani hata pasipostahili nyie mnamlaumu Magufuli tu!
He must have scarred you for life!
Hapana, hili binafsi nalipinga, akiteuliwa kuwa kiongozi kwa ngazi yoyote serikalini atakuwa ameuliwa/kajiua kisiasa.Amteue basi awe hata mkuu wa wilaya ya Arumeru
Ili kukuza Demcrasia