Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Zitto Kabwe amesema kukutana kwa Mwenyekiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz na rais @SamiaSuluhu ikulu ni miongoni mwa jitihada alizokuwa anazifanya yeye binafsi. 😁😁😁😁😁
😂😂😂
 
Hii kesi imeanzia kwa jiwe. Kama kusujudu My angetaka kusujudu, angesujudu kipindi Cha mwendazake, alipofungiwa akaunti, kubomolewa bilcanass, kufungiwa Tanzania daima, kuharibiwa shamba etc
Kumbe jiwe ndio alimkamata Mbowe?

Kumbe yule aliehojiwa na bbc na kusema Mbowe ni gaidi alikuwa jiwe?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo nchi nzima lini?
Hampendi kuambiwa ukweli msikate matawi kateni mizizi.
Akili za kitajiri ndio kuwa unasahu kama nyumbu wa ufipa?
Hata Mgogo aliitwa hapo ukilu ila akiitwa mbowe mnaona kama spesho
sana mbowe anastahili zaidi ya kwenda kuitwa ikulu.
Kachimbe ujifukie na wewe.....ndo IMEISHA HIYOO
 
Wewe haukuwahi kilitaja kwa kutoamini kuwa ni mwamba maana uliaminisha watu kuwa yeye ni Gaidi na lazima aozee jela, sasa twambie

Imekuwaje na wapi uliona Gaidi lolote duniani anaingia ikulu, nani kamwita huko?au anaenda kushirikiana na Rais kufanya ugaidi? Acha porojo za eti kafika bei,

Ndipo muone ujinga wenu ulivyo mwingi.
Si tayari kalainika?

Hujamuona akimsujudia hangaya?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Hii kesi imeanzia kwa jiwe. Kama kusujudu My angetaka kusujudu, angesujudu kipindi Cha mwendazake, alipofungiwa akaunti, kubomolewa bilcanass, kufungiwa Tanzania daima, kuharibiwa shamba etc
Yule mtu alikuwa wa ajabu sana kupata kutokea
 
Wakati fulani tusitoe hoja za Kitoto nakulaumu tu. Kwa hiyo una conclude kwamba Mama Samia ndio alimfunga Mbowe? Umesahau kuwa hii kesi imekuwa formulated enzi ya Ndugu yako Mwendazake? Ok Mbowe kafutiwa kase then kaitwa Ikulu kuitikia wito wa Rais. What is wrong with that?? Angekataa kuitikia wito ungemwita shujaa?.
Kama ilichongwa kipindi cha Magufuli, imetekelezwa kipindi cha Samia!

Kwa nini Samia aliendelea nayo ilhali mengine [ya mwendazake] aliyatupilia mbali haraka na upesi?

Kulikuwa na haja gani ya Samia kuendelea na kesi ya mchongo wa namna hiyo?

Yaani hata pasipostahili nyie mnamlaumu Magufuli tu!

He must have scarred you for life!
 
Kumbe jiwe ndio alimkamata Mbowe?

Kumbe yule aliehojiwa na bbc na kusema Mbowe ni gaidi alikuwa jiwe?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Kuwa mwelewa, nakuambia kesi ilianza kipindi Cha jiwe, Mbowe alichomekewa katikati. Rais alipelekewa taarifa na vyombo vya usalama kuhusu ugaidi wa mbowe.
 
Haija isha mpaka mnakapo acha kulia lia na kumjua adui yenu ni nani
Acheni kuchek cheka kwa karanga za kuonjeshwa nyie vichwa panzi.
Kwani Ikulu ni Baba yako kwamba Mbowe haruhusiwi kufika huko hasa akiitwa na Citizen no.1? MICCM imekasirika. Kunywa dawa ya Panya changanya kwenye Juice
 
Haija isha mpaka mnakapo acha kulia lia na kumjua adui yenu ni nani
Acheni kuchek cheka kwa karanga za kuonjeshwa nyie vichwa panzi.

Wewe ndio kichwa panzi peleka hasira zako Kenya. Tanzania nchi ya amani. Ulitaka Mh Mbowe amkate vibao Rais Samiah ndio ufurahie?. Mbowe ameonesha ushujaa usio na mipaka.
 
Acha kujifariji tunajua nia yako ya ushetani haijatimia kama ambavyo ulikuwa unajiapiza humu kwamba lazima Mbowe afungwe kuwa ni Gaidi,

Swali je leo Gaidi anaenda kupanga ugaidi na mwenyekiti wako Ikulu?

Imekuwaje hajafungwa? Mbona haya unayoyaongea leo haukuyaongea kabla ya kuachiwa kwa Mbowe.

Kunywa maji uondoe hilo fundo la ushetani kooni mwako.

[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi hapa sina mbavu kwa jinsi machadema yanavyoshangilia!

Kamata, weka ndani miezi nane, aahhh sina nia na kesi, njoo ikulu, shangilia!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Ikulu ni Baba yako kwamba Mbowe haruhusiwi kufika huko hasa akiitwa na Citizen no.1? MICCM imekasirika. Kunywa dawa ya Panya changanya kwenye Juice
Unaona sasa tatizo la kuwa kichwa panziii
dalili za kuwa kichwa panzi moja wapo ni kukutupuka kama hivi.
Mbowe amefanya la maana sana kukutana na SSH lakini kwa wewe mshabiki maandazi
sio kitu cha kushangilia.
Yule aliyemfunga mbowe ndiyo yeye anamwita ikulu unashangilia nini kama sio zuzu na lofa alivyo
waita Mkapa.
 
Kama ilichongwa kipindi cha Magufuli, imetekelezwa kipindi cha Samia!

Kwa nini Samia aliendelea nayo ilhali mengine [ya mwendazake] aliyatupilia mbali haraka na upesi?

Kulikuwa na haja gani ya Samia kuendelea na kesi ya mchongo wa namna hiyo?

Yaani hata pasipostahili nyie mnamlaumu Magufuli tu!

He must have scarred you for life!
Ulitaka Samia aifute kesi prematurely wakati akina Siro, Kingai na Biswalo walishaandaa mashitaka mapema kabisa? Mama Samia anabeba Gunia la Misumari ya irresponsible Elite Figures wanao tumia Madaraka vibaya..
 
Back
Top Bottom