Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
😂😂😂Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Zitto Kabwe amesema kukutana kwa Mwenyekiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz na rais @SamiaSuluhu ikulu ni miongoni mwa jitihada alizokuwa anazifanya yeye binafsi. 😁😁😁😁😁