love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
wafuasi wa chadema wamesahau kama huyu ndiye aliyehojiwa na bbc na kusema Mbowe ni gaidiMungu wa mbinguni ni mwema!
Akina Swila na wale waliomnyima chakula Mbowe kwa miezi 5 wakiona hii picha sijui hata wanawazaje!
na wenzake watatu washafungwa.
Mama anaupiga mwingi ngoja tuone hatima yake.